Mbowe: Dr. Slaa alidai Ukatibu Mkuu unamtosha

Mbowe: Dr. Slaa alidai Ukatibu Mkuu unamtosha

Pius J. Kiwarya Lema

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
1,097
Reaction score
571
Utafiti waliofanya Uliwaonyesha atakayewasumbua ni Lowassa Maana hata wapinzani wanamkubali!!!!

Amewaambia wanachi wa Karatu Kwamba alimwambia alimuuliza Dr slaa

Je Lowassa akija itakuwaje kuhusu. We we Urais?

Dr Slaa akamjibu aaaah Mimi Mwenyekiti ' Ukatibu mkuu unanitosha !!

Sasa sijui kilichomsibu !!!

ChanZo :channel ten tv
 
ameyasema hayo leo hii uwanjani wakati wakumnadi lowasa.alisema ni tatizo la kifamilia iliyomfikisha pale.tumsamehe dr.
 
hivi bado kuna mtu anayemuamini huyu kigeugeu mara ameenda likizo sasa tuamini kipi
 
Padri gani anayeomba mtu atoe nguo za ndn!!? Acheni kutukumbusha usaliti katikati ya vita kama alivyofanya Slaa.
 
Utafiti waliofanya Uliwaonyesha atakayewasumbua ni Lowassa Maana hata wapinzani wanamkubali!!!!

Amewaambia wanachi wa Karatu Kwamba alimwambia alimuuliza Dr slaa

Je Lowassa akija itakuwaje kuhusu. We we Urais?

Dr Slaa akamjibu aaaah Mimi Mwenyekiti ' Ukatibu mkuu unanitosha !!

Sasa sijui kilichomsibu !!!

ChanZo :channel ten tv

Mushumbuzi ndio tatizo
 
mbona hiyo propaganda imepitwa na wakati na imetolewa kijujuu dr slaa yupo hapa nchini atawajibu
 
Mbowe naye ni ziro kabisa. Huyu si ndo alituambia Desemba 2011 kuwa Mgombea ajaye wa CHADEMA ni Dr Slaa? Pia si huyu Mbowe aliyetudanganya kuwa D Slaa yupo likizo?
 
mbona hiyo propaganda imepitwa na wakati na imetolewa kijujuu dr slaa yupo hapa nchini atawajibu
Mkuu, hawa wanahangaika tu. kunadi sera kumewashinda wamebaki kuweweseka na Dr Slaa tu
 
Mbowe anajua usanii alioufanya,ila anajaribu kutafuta wa kumwangushia jumba bovu,D.slaa anapewa shutuma zisizomhusu baada ya kuzungukwa kwa usanii wa Mbowe.

Tunajua kuwa Mbowe ameanza mawasiliano na watu wa ccm toka Mwaka 2005, baada kusubiri Kikwete akatwe na NEC ya ccm ikashindikana na yeye akagombea akapata kura laki Sita tu.

Ikaja 2010, akamvizia Mzee Sitta akatwe ccm ili ahamie Chadema, ikashindikana , akatumia mbinu za Kumwomba Dr.Slaa agombee japo Dr.Slaa hakuwa tayari lakini akakubali kwa heshima ya chama chake .

Na sasa 2015, amevizia Lowassa amekatwa ccm, japo mawasiliano na Lowassa yalianza muda mrefu ila alikuwa anawazunguka wenzie ndani ya chama.

Kifupi Mbowe Chadema hakuwai kuijenga kama taasisi inayoweza kutoa mgombea Urais wala kuunda serikali.

Lengo lake Chadema kiwe chama kikuu cha upinzani ili kiuzike kirahisi kwa wanacccm wanaotaka kuhamia upinzani, na hilo amefanikiwa mwaka huu.


Mbowe atuambie toka Mwaka 2005 kama Mwenyekiti aliiandaa vipi Chadema kama taasisi kushika madaraka ya nchi.?

Mbowe anaamini asichokitenda anatenda asichokiamini.

Kifupi anasiasa za kilaghai.
 
karatu
OTH_6374.jpg
 
Inamaana cdm ikishindwa urasi mwaka huu na mwaka 2020 atasubili tena atakae kutwa ccm ndoo awe mgombea urasi kwa cdm?
 
Mmmmmh mbona wanasema sasa walishampitisha kuwa mgombea tangu mwezi 4 kama hakutaka walimpitisha vpi, hapa kamanda Mbowe katikisa masikio.
 
Back
Top Bottom