jd41
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,756
- 4,849
Raisi wa mioyo ya watanzania ni kamanda mpambanaji Dr Slaa.
...siku hizi umepotea;vipi, jamaa wanagoma kufika bei nini?!
Raisi wa mioyo ya watanzania ni kamanda mpambanaji Dr Slaa.
Dr.W.Slaa, itisha press conference mjibu DJ anakusingizia kuwa ulisema Ukatibu Mkuu unakutosha.
Teh teh teh!!
...siku hizi umepotea;vipi, jamaa wanagoma kufika bei nini?!
Cc. lizaboni.
Mbowe aachane na mambo ya kumnanga Dr. Slaa.
Anadi sera za CHADEMA.
Mbowe aachane na mambo ya kumnanga Dr. Slaa.
Anadi sera za CHADEMA.
Naona Mbowe kahamua kucheza chandimu na Dr.Slaa patamu hapo.Inabidi jibu likatolewe kulekule Karatu jukwaani kwa audience ileile.
Mbowe kauza Chama sasa anataka kumtupia lawama Slaa...
Inabidi jibu likatolewe kulekule Karatu jukwaani kwa audience ileile.
Mbowe kauza Chama sasa anataka kumtupia lawama Slaa...
Kaanza Mbowe alimsingizia Dr.Slaa alikuwa likizo wakati siyo kweli.Nani ameanza????
Kaanza Mbowe alimsingizia Dr.Slaa alikuwa likizo wakati siyo kweli.
Pitia hii link kiduchu hapa chini.Alianza mshumbushi kuukataa ukatibu mkuu wakati mwenyewe Slaa aliuridhia kwa kumkaribisha lowassa
Mbowe naye ni ziro kabisa. Huyu si ndo alituambia Desemba 2011 kuwa Mgombea ajaye wa CHADEMA ni Dr Slaa? Pia si huyu Mbowe aliyetudanganya kuwa D Slaa yupo likizo?
Pitia hii link kiduchu hapa chini.
https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania/122791-mbowe-aiuza-chadema-kwa-lowassa-37.html
Mkuu mimi nipo huku kijijini kwetu KALINZI nalima nyanya,JF huwa napita kusoma soma coment zenu tu....siku hizi umepotea;vipi, jamaa wanagoma kufika bei nini?!
Ingekuwa hivi ulivyoandika wewe hapa, basi CCM wangekuwa na nafuu mno kwa muda tunavyoongea hapa!!
The truth is the opposite. I hope, umenipata
Nani ameanza????
Kwa nini Slaa ALIYEACHANA na SIASA na Kuondoka CHADEMA, bado anapiga kelele kuhusu CHADEMA?
Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa
Mwambie Mbowe aje kujibu uzi huu!
Kwa nini Slaa ALIYEACHANA na SIASA na Kuondoka CHADEMA, bado anapiga kelele kuhusu CHADEMA?