Mbowe azindua mkakati mzito CHADEMA

Mbowe azindua mkakati mzito CHADEMA

Ni nia nzuri sana kwa maana Mbowe,Slaa,Lisu,Mnyika,Mdee,Lema,Sugu na wengineo wanajitoa sana ktk kujenga Chama, ni jambo la busara na hekima kuona wale wanaopigania haki wanahakikisha haki zinapatikana kwa wote,
Na sio wengine wajenge chama huku wengine wakiwaza kiti cha rais
 
Mbowe juzi tu kafiwa na dada yake leo mikakati kabambe kweli hana uchungu na ndugu zake sijui ni mtu wa namna gani.

Mnaumia akiwa anazindua programu za chama...!? Kuweni wapole..
 
mkuu nachukia sana siasa za ubaguz wa kidin,kanda,makabila.
Mkuu haya mambo hayata tusaidia kabisa kama taifa.

Angalia watu wanavyouana nchi za wenzetu kwa sababu ya ubaguz.
Hiz siasa hazitusaidii kabisa tunatafuta kuuana tu kwa mambo ya kipuuz.
Acha tucheze na siasa kama siasa na tusiichanganye na din,kabila wala kanda.
Tuangalie Tanzania kwanza!

Asante mkuu jitahidi kusambaza ushauri huu kwa makamanda mimi najua wajibu wangu.
 
kwanini vijana wengi wa CCM kwenye mitandao ya kijamii wanaandika comments za kijinga na hata wakianzisha mada hazina mantiki yeyote kwa taifa?

Upeo... upeo wa kufikiri mkuu. Ukigota umegota...
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amefungua mkutano maalum wa siku nne wa wataalam na wakufunzi mbalimbali wa chama kutoka Kanda zote nchini hapa jijini Dar es Salaam.

Lengo kubwa la mkutano huu ni wa kuwajengea uwezo wataalam hao namna wanavyoweza kukisimika zaidi chama katika kila kona ya nchi.

Pia inatarajiwa kupanga mikakati mizito namna chama hicho kitakavyoweza kuwaandaa wanachama na wananchi kushiriki uchaguzi mkuu ujao kuanzia ngazi ya chini kabisa.

Itakumbukwa chama hicho tangu kuunda Kanda zake hapa nchini kimepata mafanikio makubwa ikiwa ni chama kushuka chini kwa wananchi wa vijijini na pia kufanikiwa kushinda chaguzi kadhaa ndogo za vijiji na vitongoji.

Mafanikio mengine ni katika uchaguzi mdogo wa madiwani uliopita ambapo chama hicho kilipata kura nyingi sana ikiwemo kuisambaratisha vibaya CCM kwa kuzoa Kata zote Nne za uchaguzi wa udiwani jijini Arusha.
hiki chama na mwenyekiti wake ni janga la kitaifa
 
Hii mikakati ya CDM inawanyima raha mamilioni ya Magamba.Endeleeni kutokwa na mapovu tu!CDM hatutamuangalia nyani usoni sisi kazi tu.
 
Hii mikakati ya CDM inawanyima raha mamilioni ya Magamba.Endeleeni kutokwa na mapovu tu!CDM hatutamuangalia nyani usoni sisi kazi tu.

sidhani kama mamilioni ya wanachama wa CCM wanaumia kutokana na mikakati ya watu vihiyo kama akina mbowe. Mikakati yao ni kama ya mtu anayepuliza pafyum kinyesi eti anaondoa harufu mbaya
 
Imekuumaee. Waambie hawa viongozi wenu wasitoe siri zao wanazopanga makanisani humu ndani tutawasitiri lakini wakiweka wazi nasi tutakisanua.

Tatizo la malezi ukilelewa na wajomba matokeo ni hayo kuropoka tu
 
Imekuumaee. Waambie hawa viongozi wenu wasitoe siri zao wanazopanga makanisani humu ndani tutawasitiri lakini wakiweka wazi nasi tutakisanua.
Hakuna jambo lingine ambalo CCM wana weza kulifanya kwa sasa isipokuwa ni kuwabaguwa wtz kwa mjibu wa dini zao.
Tunahangaika kuwatafuta wachoma makanisa na walipua makanisa si ajabu wakawa ni CCM wenyewe ndiyo wanayofanya yote haya.
 
Huna akili kabisa...ujue sasa ni jinsi gani anavyopenda wananchi kuliko hata hao magamba..ametisha viva mbowe
 
Hii mikakati ya CDM inawanyima raha mamilioni ya Magamba.Endeleeni kutokwa na mapovu tu!CDM hatutamuangalia nyani usoni sisi kazi tu.

Mbona hivi ni vituko sasa? Yaani mipango ya kijanjajanja kama hii ndio iichanganye ccm?
 
Asante mkuu jitahidi kusambaza ushauri huu kwa makamanda mimi najua wajibu wangu.
kuwa wa kwanza kubadilika mkuu haya mambo ya kijinga tuyapinge bila kujal yanatoka chama gan.
Ukwel haitokuja kutokea nchi hii ikaongozwa kwa quran au biblia!
 
Tatizo la malezi ukilelewa na wajomba matokeo ni hayo kuropoka tu

Umeamua kuchomoka mafichoni tena? Vipi ile mipango ya kummaliza mama yake zitto kwa bastola ndio umejikatia tamaa?
 
kuwa wa kwanza kubadilika mkuu haya mambo ya kijinga tuyapinge bila kujal yanatoka chama gan.
Ukwel haitokuja kutokea nchi hii ikaongozwa kwa quran au biblia!

Nayajua haya mkuu ushauri wangu uwakemee makamanda siri nyingine sio za kuweka wazi humu jukwaani wanasaidia kukimaliza chadema.
 
Kamanda, pambana kwa hoja Mods hawawezi kukupa msaada wowote, kuweni makini vijana wenu ndiyo wanaichafua Chadema, anachosema CHAMVIGA. ni ukweli mtupu, wewe unawaita mods inapoguswa Chadema tu.

CHAMVIGA ni kweli anachosema ni ukweli mtupu ila asipindishe ukweli wake kwa kuzunguka wenye udini ni CCM.
 
Last edited by a moderator:
sidhani kama mamilioni ya wanachama wa CCM wanaumia kutokana na mikakati ya watu vihiyo kama akina mbowe. Mikakati yao ni kama ya mtu anayepuliza pafyum kinyesi eti anaondoa harufu mbaya

Utashangaa modes hata siku moja hakuban unamtukana Mbowe kwamba ni Kihiyo mwenyekiti wako wa CCM asalimu amri mara ngapi kwa mikakati ya Mbowe we ishi kama mbayuwayu huku nchi ikiwa imegota
 
Kwani tatizo ni nini? Hili ni suala la kuimarisha chama udini unakujaje hapa? Halafu miji2 mingine inavyo-comment humu utadhani imezaliwa guest house na kukulia majalalani. Kama mtu huna cha kuchangia si ukae kimya kuliko kuonyesha utaahira wako? Mxiiiiiiiiiii!!
 
Back
Top Bottom