nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
Chadema jitahidini kusambaza vifaa kama bendera,kadi na katiba ya chama hasa katika mikoa ya ruvuma,njombe na lindi! CHADEMA ndo tegemeo jipya la watanganyika.
Ccm ni chama cha kitaifa wacha kuhangaika mkuu ndio maana hata baba yako hajakiondoka ccm mpaka leo.