Mbowe azindua mkakati mzito CHADEMA

Mbowe azindua mkakati mzito CHADEMA

Umeamua kuchomoka mafichoni tena? Vipi ile mipango ya kummaliza mama yake zitto kwa bastola ndio umejikatia tamaa?
Ha ha ha nipo sema ukiona ID yangu unacheck out sio ,pole Mama yako kaamua kujinyamazia nilikutana naye mbeya mwezi uliopita nikamuuliza vipi waliotaka kukuua akasema ni magazeti tu hajawahi kuyasema sasa wewe na mamayo mulidhani mutatikisa nchi ikala kwenu endelea kubaa lubega uko mpanda ndio kilichobaki kwa sasa
 
Tatizo la malezi ukilelewa na wajomba matokeo ni hayo kuropoka tu

Naona leo umeamua kuitumia hii I.D. Sijaiona siku nyingi sana sasa sijui tunapishana au inakuwaje?!

Kijana hii kazi yako ngumu sana.
 
Naona leo umeamua kuitumia hii I.D. Sijaiona siku nyingi sana sasa sijui tunapishana au inakuwaje?!

Kijana hii kazi yako ngumu sana.
Pole mr prefect unadhani niko kwenye roster ya book saba nitashinda Jf ebo utajiju mwaka huu
 
Mbowe juzi tu kafiwa na dada yake leo mikakati kabambe kweli hana uchungu na ndugu zake sijui ni mtu wa namna gani.

Mtu akifa yake yamekufa awe na uchungu dada yake atafufuka?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Mbowe juzi tu kafiwa na dada yake leo mikakati kabambe kweli hana uchungu na ndugu zake sijui ni mtu wa namna gani.
kawaida ya kamanda, hukati tamaa / hapumziki / hadi awe umemaliza kumtokomeza adui yake!! ambaye ni nyie ukoo wa mipanya.....
 
Kuna watu wanafunga na kuloga, Mbowe akome kuwa mwenyekiti CDM. Maana kiukweli kawazidi ujanja CCM kila idara
 
Mbowe juzi tu kafiwa na dada yake leo mikakati kabambe kweli hana uchungu na ndugu zake sijui ni mtu wa namna gani.

Mzee wa Simiyu siku hizi maisha yanabadilika. Zamani wahaya walikuwa wanafanya matanga siku nne na ndugu wa karibu wanaomboleza mwaka mzima, siku hizi matanga siku moja au mbili na maombolezo labda mwezi au chini ya hapo. Kwa wenzetu wanaenda kazini wakati mama au baba wako Chumba cha maiti mpaka siku ya mazishi ndo wanapewa siku moja kwenda kuzika na kesho yake wanarudi kazini.
 
Kuna watu wanafunga na kuloga, Mbowe akome kuwa mwenyekiti CDM. Maana kiukweli kawazidi ujanja CCM kila idara

Mkuu wangu Taratibu wasikusikie wenyewe..!!
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amefungua mkutano maalum wa siku nne wa wataalam na wakufunzi mbalimbali wa chama kutoka Kanda zote nchini hapa jijini Dar es Salaam.

Lengo kubwa la mkutano huu ni wa kuwajengea uwezo wataalam hao namna wanavyoweza kukisimika zaidi chama katika kila kona ya nchi.

Pia inatarajiwa kupanga mikakati mizito namna chama hicho kitakavyoweza kuwaandaa wanachama na wananchi kushiriki uchaguzi mkuu ujao kuanzia ngazi ya chini kabisa.

Itakumbukwa chama hicho tangu kuunda Kanda zake hapa nchini kimepata mafanikio makubwa ikiwa ni chama kushuka chini kwa wananchi wa vijijini na pia kufanikiwa kushinda chaguzi kadhaa ndogo za vijiji na vitongoji.

Mafanikio mengine ni katika uchaguzi mdogo wa madiwani uliopita ambapo chama hicho kilipata kura nyingi sana ikiwemo kuisambaratisha vibaya CCM kwa kuzoa Kata zote Nne za uchaguzi wa udiwani jijini Arusha.

Uchaguzi lini?
 
Mbowe juzi tu kafiwa na dada yake leo mikakati kabambe kweli hana uchungu na ndugu zake sijui ni mtu wa namna gani.

Ni mtu wa mabadiliko, hata yeye binafsi alishasema akifa au kuuwawa watu wasimlilie bali waweke maiti yake pembeni waendelee na harakati za ukombozi. Kwa hiyo ndiyo mtu wa namna hiyo
 
Mbowe juzi tu kafiwa na dada yake leo mikakati kabambe kweli hana uchungu na ndugu zake sijui ni mtu wa namna gani.

pole mkuu. ngoja maumivu yakuingie hakuna namna nyingine ya kutumia dawa hiyo ila ni hivyo, kwani atamfufua !!!? Yule ameshaenda na tumbo lake sharti jamaa agange njaa.
 
Mbowe juzi tu kafiwa na dada yake leo mikakati kabambe kweli hana uchungu na ndugu zake sijui ni mtu wa namna gani.

Msiba wa nini mtu keshakufa? Miafrika bwana bongo zimelala, mbowe kanyaga twende mwanangu
 
WE kikojozi ufahamu wako bado mchanga mno! We kwanza unafahamu maana ya kanisa? Au unaropoka tu!

Kama unaongelea yale majumba ya rusha roho yenye masanamu ya mzungu kavishwa nepi! Basi mi hata kuyaona sitaki! Yanajaza nafasi mijini wakati watu wanahangaika kutafuta mahali pa kujenga!
Pili yanafuga wabakaji tu! Kila mara tunaskia mchungwaji kabaka. Sijui katikista kamuinamisha nani nyuma ya madhabahu!!
Tumechoka nayo! Iko siku tutayateremsha chini yoote!
We kaa kiasara hasara tu!
Galatia wahedi!

Kaka usipende kutumia Lugha ya kudhalilisha twaweza kuwa hatuamini kama mnavyoamini lakini tunawaheshimu kama dini inayoabudu mungu hivyo heshimu dini ya wenzako.Mtukane yeye na siyo dini haihusiki hapa.Unatukwaza wengi wenye imani ya dini katoliki.Hata huyo mchungaji aliyebaka bado ni binadamu kama mimi na wewe na vitendo vyake havihusiani na dini husika.Kuna mashekhe pia waliobaka na ambao wanajulikana lakini kosa lao halistahili kuutukana uislamu.
 
Back
Top Bottom