Elections 2010 Mbowe awekewa pingamizi kugombea Hai

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, anayewania ubunge katika Jimbo la Hai, amewekewa pingamizi kwa madai ya kukwepa kulipa kodi ya serikali inayofikia Sh. milioni 48.
 
mwenyekiti wa chadema, freeman mbowe, anayewania ubunge katika jimbo la hai, amewekewa pingamizi kwa madai ya kukwepa kulipa kodi ya serikali inayofikia sh. Milioni 48.
takbiiir!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, anayewania ubunge katika Jimbo la Hai, amewekewa pingamizi kwa madai ya kukwepa kulipa kodi ya serikali inayofikia Sh. milioni 48.
hebu ilete hiyo habari ifanane na ukweli kidogo japo haiataki
 
Pingamizi hilo limewekwa na mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM, Fuya Kimbita, anayedai kuwa Mbowe alikwepa kulipa kodi ya serikali ya biashara ya hotel ya kitalii anayomiliki ya Aishi Protea iliyopo Machame.

Kwa mujibu wa barua iliyowasilishwa na Kimbita kwa msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo, amedai kuwa Mbowe amekiuka masharti ya kugombea nafasi hiyo kifungu namba 67 (1) cha katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambacho kinamtaka mgombea asiwe ametiwa hatiani kwa kosa lolote la kutokulipa kodi ya serikali.

Barua hiyo imeeleza kuwa kodi inayodaiwa katika hotel hiyo ni ya kipindi cha Desemba 2008 hadi Novemba 2009. Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Hai, Nicholaus Mtega, amethibitisha kupokea barua ya pingamizi kutoka kwa Kimbita.
 
Mbowe amekiuka masharti ya kugombea nafasi hiyo kifungu namba 67 (1) cha katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambacho kinamtaka mgombea asiwe ametiwa hatiani kwa kosa lolote la kutokulipa kodi ya serikali.

Hii ni allegation. Hajatiwa hatiani kwa mujibu wa katiba ya nchi. Hilo dai kwa macho yangu halina mshiko.
 
Kimbita anajua malalamiko yake hayawezi kumzuia Mbowe kugombea anachofanya ni part ya kampaini, kumchafulia mbowe Jina.
 
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, anayewania ubunge katika Jimbo la Hai, amewekewa pingamizi kwa madai ya kukwepa kulipa kodi ya serikali inayofikia Sh. milioni 48.

Pingamizi hilo limewekwa na mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM, Fuya Kimbita, anayedai kuwa Mbowe alikwepa kulipa kodi ya serikali ya biashara ya hotel ya kitalii anayomiliki ya Aishi Protea iliyopo Machame.

Kwa mujibu wa barua iliyowasilishwa na Kimbita kwa msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo, amedai kuwa Mbowe amekiuka masharti ya kugombea nafasi hiyo kifungu namba 67 (1) cha katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambacho kinamtaka mgombea asiwe ametiwa hatiani kwa kosa lolote la kutokulipa kodi ya serikali.

Barua hiyo imeeleza kuwa kodi inayodaiwa katika hotel hiyo ni ya kipindi cha Desemba 2008 hadi Novemba 2009. Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Hai, Nicholaus Mtega, amethibitisha kupokea barua ya pingamizi kutoka kwa Kimbita.
nafikiri hicho kifungu kitakuwa kimebakwa kama hapo kwenye bold ndivyo kinavyodai.
 
Kimbita anachokoza nyati akitegemea mbio ndio zimuokoe? Aache kulilia ushindi wa mezani. Namshauri avae clove zake na aiingie ulingoni tayari kwa pambano. Hana nafasi ya kutoroka pambano kwa kisingizio cha aina yoyote mpaka round ya mwisho tarehe 31 october.
 
Nimesoma kwenye gazeti moja leo asubuhi kuwa Mhe Frreman Mbowe amewekewa pingamizi kwa madai kuwa Mbowe kupitia Hoteli yake ya Aishi Protea Hoteli iliyoko Machame hajalipa kodi ya serikali kiasi cha Milioni 48. Je kuna mwenye taarifa zaidi atujuze tafadhali!
 
kwani yeye ndiye hoteli? hoteli si ina manegement? kama Aishi wakichukua mkopo benki ni Mbowe atakamatwa au ni Hoteli itauzwa?
 
Nimesoma kwenye gazeti moja leo asubuhi kuwa Mhe Frreman Mbowe amewekewa pingamizi kwa madai kuwa Mbowe kupitia Hoteli yake ya Aishi Protea Hoteli iliyoko Machame hajalipa kodi ya serikali kiasi cha Milioni 48. Je kuna mwenye taarifa zaidi atujuze tafadhali!

Wewe uliyesoma ndo utupe habari yote
 
Nimesoma kwenye gazeti moja leo asubuhi kuwa Mhe Frreman Mbowe amewekewa pingamizi kwa madai kuwa Mbowe kupitia Hoteli yake ya Aishi Protea Hoteli iliyoko Machame hajalipa kodi ya serikali kiasi cha Milioni 48. Je kuna mwenye taarifa zaidi atujuze tafadhali!

Hizi multiple ID zinaleta tafrani ndani ya Jukwaa!
 
Home » News

NEC starts receiving objection appeals

By Dominic Nkolimwa

23rd August 2010

email.png

Email

printer.png

Print

comment_bubble.png

Comments

KIRAVU.jpg

NEC Director of Elections Rajab Kiravu

The National Electoral Commission (NEC) today starts to receive appeals on objections filed against some contestants in the October general election.
Speaking to The Guardian by telephone yesterday NEC Director of Elections Rajab Kiravu said according to the law all objections were supposed to be resolved by returning officers at the district level, but if the applicants not satisfied, they had the right to appeal to NEC.
“My office starts today to receive appeals for review where any of the parties is not satisfied with the decisions of the returning officers,” Kiravu said.
He noted that both parties had the right to appeal if they were dissatisfied with decisions made by the returning officers at district level.
He, however, called upon the parties intending to file appeals to NEC to do as soon as is practicable so that they could be resolved to allow cleared contestants to proceed with their campaigns peacefully.
NEC chairman Judge Lewis Makame said although the law did not bar anyone from filing appeals against the objections, a person intending to appeal must show the intention of doing so to the responsible returning officer within 24 hours after the objection.
In Dodoma reports said two Bahi parliamentary candidates, Melkzedek Lesaka (SAU) and Eva Habel Kaka (CUF) have filed an appeal to NEC against the ruling made by Bahi district returning officer Frank Ernest.The appeals will be presented to NEC today by Ernest.
The two decided to appeal after Ernest riled in favour of the objection raised by the CCM parliamentary candidate Badwel Omar, that the signatures of the guarantors were forged.
The contestants, who are alleged to have forged the signatures of the guarantors are Habel Kaka, Lesaka and Miriam Kimboi (UPDP).
They said the returning officer had not been fair to them because the signatures of their guarantors was genuine.

Meanwhile, the objections raised against some contestants including Mohamed Dewji in Singida Urban Constituency CCM and Dr Hamis Kigwangala, who is contesting for Nzega in Tabora and Freeman Mbowe for Hai Constituency through Chadema, have been abandoned.

On Friday last week, NEC confirmed that more than 10 parliamentary candidates were at risk of being axed from the election race following objections raised against them by fellow candidates.
Those whose bid to enter the race awaited NEC ruling included three vying for the Ukerewe seat in Mwanza Region, whose candidature is contested by outgoing Ukerewe MP Gertrude Mongela.
They are Salvatory Naluyaga Machemli (Chadema), Japani Joctan Kulwijila (CUF) and Joramu Chalanga Kajeli (NCCR-Mageuzi).
In Bahi Constituency in Dodoma Region, a CCM candidate, Badwel Omar, had raised objection against three opposition candidates - Miriam Kimboi (UPDP),
Melkzedek Lesaka (SAU) and Eva Habel Kaka (CUF).The SAU candidate in turn raised an objection, questioning Badwel’s citizenship.
Mongela tabled her objection before Ukerewe returning officer Dr Leonard Masale stating that the three opposition party candidates had been nominated to contest for the seat through a procedure that was against the electoral law.
The first contestant to lodge the objection was CUF’s Kizwalo Dominic Clement, followed by Chadema’s John Massanja Mezza.
In Hai, Moshi, CCM candidate Fuya Kimbita filed an objection claiming the Chadema national chairman had not paid government tax amounting to 48m/- from the operations of his hotel known as Aishi Protea Hotel in Machame District.

SOURCE: THE GUARDIAN

0 Comments | Be the first to comment
 
kwahiyo Tume ya uchaguzi inawakaguzi wakwenda kukagua mahesabu ya Protea ? ama kunahukumu inayoonyeshwa management ya protea imeshindwa kulipa deni ?
 
Back
Top Bottom