Elections 2010 Mbowe awekewa pingamizi kugombea Hai

Hizo ni habari za Biashara!! Kama hotel ina deni, si inapigwa mnada?? Haya yamekujaje?? Ila kwa taarifa za kuaminika hili pingamizi limeshajibiwa na kupigwa chini. Mbowe ni mgombea halali wa ubunge kupitia Chadema! Soma gazeti la Mwananchi Augost 22, jana kuna majibu ya NEC front page "NEC yatupa pingamizi la Mbowe, Kingwangala".
 
Nimesoma kwenye gazeti moja leo asubuhi kuwa Mhe Frreman Mbowe amewekewa pingamizi kwa madai kuwa Mbowe kupitia Hoteli yake ya Aishi Protea Hoteli iliyoko Machame hajalipa kodi ya serikali kiasi cha Milioni 48. Je kuna mwenye taarifa zaidi atujuze tafadhali![/QUOT
Haya masuala ya pingamizi yameanza kuwa kama mchezo wa kuigiza. Kama Hoteli inadaiwa kuna uhusiano gani na mgombea ubunge? Au hivi vyombo vinavyoshughulikia pingamizi vimekuwa kama shimo la taka hupokea kila takataka la pingamizi bila kuwepo vigezo vinavyoelekeza ni aina gani ya pingamizi inapaswa kutambulika kama pingamizi
 
Nimesoma kwenye gazeti moja leo asubuhi kuwa Mhe Frreman Mbowe amewekewa pingamizi kwa madai kuwa Mbowe kupitia Hoteli yake ya Aishi Protea Hoteli iliyoko Machame hajalipa kodi ya serikali kiasi cha Milioni 48. Je kuna mwenye taarifa zaidi atujuze tafadhali!


Umesoma magazetini arafu unasema BREAKING NEWS??
 
Nimesoma kwenye gazeti moja leo asubuhi kuwa Mhe Frreman Mbowe amewekewa pingamizi kwa madai kuwa Mbowe kupitia Hoteli yake ya Aishi Protea Hoteli iliyoko Machame hajalipa kodi ya serikali kiasi cha Milioni 48. Je kuna mwenye taarifa zaidi atujuze tafadhali!
Jamani tumsamehe bure labda hakujua maana ya neno 'abandoned'. Pole LeopoldByongje siku nyingine uwe unatembea na dictionary.
Meanwhile, the objections raised against some contestants including Mohamed Dewji in Singida Urban Constituency CCM and Dr Hamis Kigwangala, who is contesting for Nzega in Tabora and Freeman Mbowe for Hai Constituency through Chadema, have been abandoned.
 
hii si breaking news kaka, ila hawa sisiemu mwaka huu hashindani na vyama pinzani kwa sera ila kwa kuweka pingamizi, kweli mwaka huu CCMmaji yako shingoni.CHADEMA oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
 
Pingamizi alilowekewa limeonekana halina ushahidi na hivyo kutupwa toka majuzi (nadhani) huko jimboni
 
PHP:
Hizo ni habari za Biashara!! Kama hotel ina deni, si inapigwa mnada?? Haya yamekujaje?? Ila kwa taarifa za kuaminika hili pingamizi limeshajibiwa na kupigwa chini. Mbowe ni mgombea halali wa ubunge kupitia Chadema! Soma gazeti la Mwananchi Augost 22, jana kuna majibu ya NEC front page "NEC yatupa pingamizi la Mbowe, Kingwangala
".
Mapingamizi mengine ni yakipumbavu. Hivi hao wanaokaa mpaka wanaingiza ishu za TRA kwenye moja ya kuwa sababu za mapingamizi wana akili kweli? Wameachwa mafisadi walioiba na kutumia madaraka vibaya. Ama kweli vioja mwaka huu tutaviona
 
Sheria inasema ukiwa umeshatiwa "hatiani",Haya malalamiko yalikuwa hayana nguvu.Kwasababu Kimbita ameshakuwa mbunge kwa miaka mitano lazima ana akili timamu, ninachukulia madhumuni ya malalamiko yake ni kumchafulia Mbowe jina, kutaka kuonyesha ni fisadi.

Hii habari sio breaking news ipo hapa toka jana kama sio juzi.
 
CCM wanajua upepo ni mbaya mwaka huu ndo maana wanatafuta kila mbinu kuokoa maisha yao,
Na ni dhahili kabisa wanashirikiana na msimamizi wa uchaguzi kuwahujumu wagombea wa vyama vingine, tumemwona Lawrence Masha alivyo abuse ofisi yake kwa kutumia wizara yake kumwondoa mpinzani wake wa chadema kwenye jimbo la nyamagana kisa eti sio raia wa Tanzania! hii ni aibu kubwa kwa nchi kuona mtu anatumia madaraka yake ya uwaziri wa mambo ya ndani kupika jungu na kuondoa ushindani ili apate mteremko, wanasheria wa chadema wako wapi? Tundu Lissu na Mabere Marando inabidi kumsaidia dogo wa chadema pale Mwanza ambaye ameeunguliwa kwani baba yake ni mtanzania na amezaliwa Tanzania, na dogo kazaliwa bongo kasomea bongo isipokuwa mama yake ndo mkenya!
 
Back
Top Bottom