Hayo ameyasema ktk mkutano uliofanyika viwanja vya barafu mkoani Dodoma wakati akiwatambulisha wabunge wapya watakaoapishwa kesho. Akitoa kauli hiyo iliyoungwa mkono na maelfu ya wakazi wa Dom waliohudhuria mkutano huo amesema maandamano yataanzia Shinyanga, mwanza, Tabora, Dodoma, Arusha na mikoa mingine. Amesema nanukuu "hii mijamaa bila maandamano haisikii". Amesema tutafanya uasi kwasababu tunazo sababu za kufanya uasi.

Safi sana makamnda mpaka kieleweke.
Dah, yani ulichelewa kutamka.Hayo ameyasema ktk mkutano uliofanyika viwanja vya barafu mkoani Dodoma wakati akiwatambulisha wabunge wapya watakaoapishwa kesho. Akitoa kauli hiyo iliyoungwa mkono na maelfu ya wakazi wa Dom waliohudhuria mkutano huo amesema maandamano yataanzia Shinyanga, mwanza, Tabora, Dodoma, Arusha na mikoa mingine. Amesema nanukuu "hii mijamaa bila maandamano haisikii". Amesema tutafanya uasi kwasababu tunazo sababu za kufanya uasi.
What the hell is this. Kumpeleka mwanao shule ni jambo zuri sana. Hizi vurugu za maandamano kila siku zinatokana na watu kukosa shule ya kutosha. Mbowe, tunakuheshimu sana, usiwe chanzo cha kuleta machafuko hapa nchini.[/QUOTE]
If you can't convince them, confuse them.
Blockhead at work.Maaaviii Wataandamana na kuku na bata tu!
mnachezea serikali siyo??? haya maandamano ruksa tena kwa kibali ,UASI mnamgongea bwana jela mlango awafungulie huyo mchagga asije kuwafanya kama alivyokuwa anafanya maalim seif anawatanguliza nyinyi yeye huyo nje ya nchi.
Maaaviii Wataandamana na kuku na bata tu!
mnachezea serikali siyo??? haya maandamano ruksa tena kwa kibali ,UASI mnamgongea bwana jela mlango awafungulie huyo mchagga asije kuwafanya kama alivyokuwa anafanya maalim seif anawatanguliza nyinyi yeye huyo nje ya nchi.
hapo kwenye red nanusa harufu ya u ******mnachezea serikali siyo??? haya maandamano ruksa tena kwa kibali ,UASI mnamgongea bwana jela mlango awafungulie huyo mchagga asije kuwafanya kama alivyokuwa anafanya maalim seif anawatanguliza nyinyi yeye huyo nje ya nchi.