Hayo ameyasema ktk mkutano uliofanyika viwanja vya barafu mkoani Dodoma wakati akiwatambulisha wabunge wapya watakaoapishwa kesho. Akitoa kauli hiyo iliyoungwa mkono na maelfu ya wakazi wa Dom waliohudhuria mkutano huo amesema maandamano yataanzia Shinyanga, mwanza, Tabora, Dodoma, Arusha na mikoa mingine. Amesema nanukuu "hii mijamaa bila maandamano haisikii". Amesema tutafanya uasi kwasababu tunazo sababu za kufanya uasi.