Mbowe atajwa sakata la TANESCO

Ni mmoja wa Watz wachache sana aliyesimama na kuamua kuwatetea wanyonge wasio sikilizwa kwa miaka mingi, pia atakumbwa kwa kuongaza chama cha upinzani mpaka kufikia hatua ya kuwa na nguvu kubwa ya kuingia Ikulu! Sasa jaribu wewe kufuata nyayo zake kama utafika popote zaidi ya kuishia kama Mapalala, Lamwai au Kaborou!!
Mbowe ni kiongozi mahiri saaana! CCM hawezi kumpata kiongozi kama huyu, baada ya Nyerere Tanzania, Mbowe is the next prominent contemporary leader! Ukweli ndo huo, watu wakubali au wakatae!
 
Mbowe namjua ni mtu wa maslahi yeye anaangalia kwanza pesa haya mambo ya chama baadae...safi sana Mbowe.

hahaaa anafanya kama Mkuu wa Kaya na mwanae Ridhiwani Maslahi ya matumbo yao kwanza halafu nchi baadae
 
Kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni Freeman Mbowe ametajwa kuwa katikamazungumzo na Tanesco ya kuuziwa mtambo wa kufua umeme unaoitwa KIKULETWA ulioko hai, Ili baada ya kununua aweze tena kuizia umeme Tanesco, Hata hivyo mbowe hakupatika kuthibitisha hilo lakini John mrema mkurugenzi wa Chadema Sera na Bunge amesema si kweli kuwa Mbowe alitaka kununua bali halimashauri ya hai ndiyo wapo kwenye mpango huo na Mbowe kama mbunge alikuwa akifanikisha hilo.
Gazeti la Raiamwema la Leo.

Mwenykiti wa Bodi TANESCO Mboma amemtema Mkurugenzi wa TANESCO kuficha madhambi ya mafisadi wenzie na migodi yake.
 
huyu jamaa alisoma mpaka kidato cha nne, baada ya hapo akajiendeleza na masomo ya u _dj huko uk. Napenda kuwataarifu kuwa hana elimu nyingine yeyote zaidi ya hiyo


dr. Dr. Dr. Jk. Amesoma/au kapewa hongo za udaktari hewa; ameishia kutembeza bakuli kuliko matonya; huku kila kukicha bunge, mahakama na wananchi hakieleweki. Napenda kuwataarifu kuwa hana elimu nyingine yeyote zaidi ya omba omba
 
[h=6]HUYU JAMAA ALISOMA MPAKA KIDATO CHA NNE, BAADA YA HAPO AKAJIENDELEZA NA MASOMO YA U _DJ HUKO UK. NAPENDA KUWATAARIFU KUWA HANA ELIMU NYINGINE YEYOTE ZAIDI YA HIYO[/h]
kweli wewe tamuchungu. wewe una elimu gani? haya bhana T2015CDM itakupa majibu subiri.
 
Ukiona mwanaume anamjadili mwanume mwenzake ujue anamtaka!!..........The likes of CCM Ubwabwa humu JF.
Wakimuona Mbowe wanatetemeka masaburi!
 
Hahaaaaaa ...yaani ccm kwa kuhangaika...watasema na boti imezamishwa na chadema
 
Ukiona mwanaume anamjadili mwanume mwenzake ujue anamtaka!!..........The likes of CCM Ubwabwa humu JF.
Wakimuona Mbowe wanatetemeka masaburi!

Mbona wewe unapenda kumjadili Kikwete vipi inakuaje?
 
Rai hua linanunuliwagwa? Walijaribu wanajaribu na wataendelea kujaribu kakin mungu atamsimamia kamanda wa anga.wanahitaj kukombolewa lakini hawa amini kama kunauwezekano maana wamezoea kolonializim la CCM.

Ee mwenyezi mungu wajaalie wafunguke watambue ukweli ili tuwe sambamba nao kudai haki zetu tulizo kabiziwa na allah tuzi miliki sote na sikiubaguzi amii.

Mti wenye matunda ndio hugigwa mawe komaa kamanda usichoke mungu yu pamoja nawe
 
Ndg yangu yaser, usijaribu kuzima moto wa mti wa mgunga kwa kupuliza na mdomo....."NO RETREAT NO SURRENDER" sijui kama unaikumbuka hii thread?

Kujificha kwa mbuni ni kuzamisha kichwa mchangani na kuacha mwili wote nje huku ukiliwa na adui......hiyo ndio CCM!!

R.I.P CCM 2015!! Nina sababu za kutohudhuria mazishi....nitakuwa na dharura ya kuhakiki kura zenye utata, naomba wadau mniwakilishe.
 
Kigogo unakumbuka hata ya Dr. Ulimboka walisema ni CHADEMA. kuna kawimbo ka Ubongo wa fleva kanasema nanukuu"Mwalimu kila swali mimi tu, mimi tu kwani wengine hawaoni?!!

Oanisha mwenyewe upate jibu...visingizio tele badala ya kujibu maswali aliyoulizwa.
 
Wewe ndio unaona hana elimu llakini nakahakikishia hata sasa hivi mbowe asimamishwe na mwigulu mchemba wagombee urais mwigulu atalamba kitu pamoja na kujifanya eti amefanya kazi BoT. Unajifanya kuvaa bendera ya taifa shingoni daily si lolote si chchote
 
Back
Top Bottom