Watatafuta hadi mchicha wajishikilie wasiende na maji, but where!
Hiyo habari wala haina tuhuma, na wala haichekeshi..sijui uliiweka isaidie nini?
Humu ndani chadema wanashangaza sana, kila siku zinazushwa hoja hasa kwa Ridhiwani anamiliki hiki na kile matusi na maneno ya kashfa yanarushwa ya kila aina, leo ametajwa rais wao mtarajiwa anatetewa, nashangaa sana sana na chadema wa humu jamvini.
Hivi mnavomzushia mtoto wa watu kila siku mara ana hiki mara kile halafu mnaanza kumtukana, leo limewafika nyie mnatetea.
Nimegundua kitu kimoja, kila siku zinaletwa Cv za watu wa CCM, kumbe chadema ni SIFURI kabisa, huyu mbowe anajulikana ni mbabaishaji tu, alipewa huo uongozi kwa kuwa mkwe wake mzee Mtei ndio muanzilishi wa chadema kwa hiyo chama cha kikabila na kichifu tukisema hivi tunakosea? kumbe hata elimu hana, na vipi kila siku kuwaandama CCM ilhali kumbe na nyie vichwani hakuna kitu.
Nimegundua kumbe Mbowe ni FISADI nambari moja anaependa umaarufu kupitia migongo ya watu, kwa mfano alijidai kuigomea posho kumbe huku ameweka kama collateral katika mkopo alochukuwa bank.
Sasa anataka kununua mtambo auzie TAnesco, hivi mtu huyu akija kuwa rais itakuwaje ? si tutafilisiwa kila kitu Duuuuh! mpaka natweta kwa kuandika.
Kila siku nasema ni bora mbu alie ndani ya net ambae ameshiba hawezi kukutafuna tena kuliko yule mbu alie nje ya net akiingia ndani atakutafuta kila upande, TUJIHADHARI NA CHADEMA , hawana jipya ni ufisadi tu ndio jadi yao! leo tumegundua mengi kumbe hata kamati za bunge huwa wanahongwa ili wasiseme madudu ! TUTAFIKA KWELI ?