Mbowe atajwa sakata la TANESCO

MASEBUNA

JF-Expert Member
Oct 9, 2011
243
54
Kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni Freeman Mbowe ametajwa kuwa katika mazungumzo na Tanesco ya kuuziwa mtambo wa kufua umeme unaoitwa KIKULETWA ulioko hai, Ili baada ya kununua aweze tena kuizia umeme Tanesco.

Hata hivyo Mbowe hakupatika kuthibitisha hilo lakini John mrema mkurugenzi wa Chadema Sera na Bunge amesema si kweli kuwa Mbowe alitaka kununua bali halimashauri ya hai ndiyo wapo kwenye mpango huo na Mbowe kama mbunge alikuwa akifanikisha hilo.

Gazeti la Raiamwema la Leo.
 
Hawa waandishi wa gazeti la rai nadhani huwa wana vimatatizo kwani mara nyingi huwa hawana ukweli wao kupondea upinzani
 
Watatafuta hadi mchicha wajishikilie wasiende na maji, but where!
Hiyo habari wala haina tuhuma, na wala haichekeshi..sijui uliiweka isaidie nini?
 
hivyo ni kweli Chadema na watu wake wote wako safi? Kwa sababu kila kinachoelezwa kuhusu CDM watu humu ndani wanaandamana kwa maneno makali.mi nnachokiamini ktk maisha kukosea kupo na ndio maana tukaambiwa hakuna aliyekamilika.ila unapokuja ktk hoja za cdm ni hatari kwa utetezi.CCM wanaharibu na CDM pia wanaharibu baadhi ya mambo wanayoyafanya ila tu CCM inaonekana kwa sababu ndio imeshika nchi.kumbukeni hata gadaffi alikua poa ila baadhi ya wananchi wake wakamwona shetani.mi nadhani kwenye ukweli tukili.sio kwa hili ila hata ikitokea pa kusema kweli tuseme na ndio tutajenga nchi yetu vzur.mungu ibariki TZ na watu wake.
 
[h=6]HUYU JAMAA ALISOMA MPAKA KIDATO CHA NNE, BAADA YA HAPO AKAJIENDELEZA NA MASOMO YA U _DJ HUKO UK. NAPENDA KUWATAARIFU KUWA HANA ELIMU NYINGINE YEYOTE ZAIDI YA HIYO[/h]
 
HUYU JAMAA ALISOMA MPAKA KIDATO CHA NNE, BAADA YA HAPO AKAJIENDELEZA NA MASOMO YA U _DJ HUKO UK. NAPENDA KUWATAARIFU KUWA HANA ELIMU NYINGINE YEYOTE ZAIDI YA HIYO

Mkuu usimpakazie mwana magwanda orijino-GWANDA ONE!
Ana malengo ya Urais 2015.
 
HUYU JAMAA ALISOMA MPAKA KIDATO CHA NNE, BAADA YA HAPO AKAJIENDELEZA NA MASOMO YA U _DJ HUKO UK. NAPENDA KUWATAARIFU KUWA HANA ELIMU NYINGINE YEYOTE ZAIDI YA HIYO


Tamu chungu tutajie na wewe ilmu yako na eleza mambo ya maana ambayo umewahi kuyafanya katika maisha yako
 
HUYU JAMAA ALISOMA MPAKA KIDATO CHA NNE, BAADA YA HAPO AKAJIENDELEZA NA MASOMO YA U _DJ HUKO UK. NAPENDA KUWATAARIFU KUWA HANA ELIMU NYINGINE YEYOTE ZAIDI YA HIYO


Kwani elimu nilazima asome history na kiswahili.......Unafikiri UDJ sio Elimu wewe unayo? Acha Dharau hakuna Elimu ya maana kuzidi nyingine acha kukariri wewe.
 
Back
Top Bottom