Mbowe asalimu amri kwa Slaa

Mbowe asalimu amri kwa Slaa

Status
Not open for further replies.
duh!!!!!!!!kweli majuto ni mjukuu. mbowe maji yashingo yamekufika,pole sana kwa kujivika bomu.
 
du kweli unakipaji jamaa yangu,du unatisha mbinja mbinja hadi baharini lol
 
Haya slaa amekubali kurudi chadema na atagombea urais na amekuchagua wewe kuwa fistlady, umefurahi:what:
 
dah magamba mnateseka mno mwaka huu....sa hiyo habari unadhani itabadili nini...
 
UKAWA kelele nyingi tu suburi oct wapigwe ile 619 teh teh ..watakaa tu
 
Tuonyeshe picha ya kikao cha Mbowe na Slaa.Je slaa ndio chanzo cha mapato ya cdm hatumuhitaji tena aisha pewa shuntama.
 
Freedom is so close now, time will tell keep on dreaming

Which freedom r u talking about? Who told u dat politicians will give u freedom? Politics is a job just like any other jobs, politicians r also looking for their daily breads just like da way u r doing!! Work hard so dat u can be free!!
 
source au ndo zile habari za na mwandishi wetu?"""
 
Huyo Bi. Helen Ongara ambaye ni katibu wa BAWACHA tawi hilo la DMV amekuwa mbu au nzi mpaka ajue hao wawili wanaongea nini????????? alifikaje ktk mazungumzo hayo...........
 
Kama ni kweli, basi hii itakua habari njema sana kwa wapenda mageuzi.
 
Uongo km huu hata watoto walio ktk daipa hawawezi kukubali.
Eti DMV na hotel ipo Ohio ?? Mnadhiirisha Hali ni mbaya sana kwenu...
Cha kuchekesha, wengi mmejiunga from July 2015..!!

labda kalley aliwapokea and then wakaenda Ohio kwa gari... which is quote a long trip

Anyways, endapo itatokea Mbowe amekwenda kumuona Slaa, na kwa namna yoyote Slaa akaridhia kusapoti ukawa, basi mambo yatakua mazuri sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom