Mbowe asalimu amri kwa Slaa

Mbowe asalimu amri kwa Slaa

Status
Not open for further replies.
Mmanza kutapata na Pombe za Mchana? Mbona kufuli zote Zimefungwa ? safari hii hakuna pa kutokea Si goli l a mkono wala Penalty hampati
 
Matokeo yote kuwekwa kwenye kituo husika ikiwa ni pamoja na ya uraisi. Walimu kusimamia viuo vya uchaguzi badala ya jeshi na polisi. Bravo Mr Lubuva for starting managing bao la mkono!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Watu wenye akili na uelewa wote wamekaa pembeni dhidi ya Chadema, wamebaki mashabiki na wasaka vyeo 4U Movement na Team Lowassa.

Na hao wote baada ya uchaguzi watarudi walikotoka.
 
CCM kazi yao kubwa ni UONGO...UNAFIKI...

CCM ndio maisha yao hayo....

CCM out...!!
 
Mimi naona egnecious apeleke hiyo kitu jukwaa la utani, ila wewe Nonda itabidi ukawe coordinator wa hilo jukwaa, huwezi comment namna hiyo, toa hoja!!
Wewe pia unafaa kuwa coordinator huko.

Kama haya yanayosemwa ni utani, tuambie Mbowe alipoenda, kiasi kwamba anamuacha mzee wa watu peke yake kwenye kampeni mpaka anashindwa kuhutubia, anaahirisha mikutano, yaani kila kitu kipo ovyo, Mbowe anaipeleka CDM pabaya

Msibani.
 
Mwandishi mwenyewe Egnecious daaah!
Mara wamepokelewa Dulles Airport uliopo Virginia/Washington
Mara Ohio

Mleta mada hawa viongozi wamepokelewa Jimbo gani?
 
Last edited by a moderator:
Egnecious

Stupid allegation again. Hivi mlienda shule wapi? Nani alikuwamwalimu wenu? Hamjachoka tu kuandika propaganda za kipuuzi humu? Watanzania sio mazuzu kama manavyoaminishwa hapo lumumba. This is too cheap for us, look for another strategies. Lowasa tutampigia kura hata akitangaza kujitoa leo. Niaheri jiwe kuliko CCM.
 
Last edited by a moderator:
Bahati nzuri kama siyo mbaya kila mbinu mnazileta watunazijua yaani hata Aondoke huyo mbowe na wengine wengi Bado Lowasa ndiyo rais wa nchi Mwaka 2015 na kuendelea.
Nje kuteme mura! Kwa kweli dhamira ipo na Lowassa ni taasisi inayojiendesha.
 
Mtoa post inaonekana umekunywa viloba mchana huu harafu ukaenda kulala sasa viloba mixa ndoto za mchana unakuwa crazy kabisa
 
ondokeni woooooooote ...Lakin Makao Makuu Ya Kura Yangu, Bado Ni Kwa LOWASSA
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom