Mbowe asalimu amri kwa Slaa

Mbowe asalimu amri kwa Slaa

Status
Not open for further replies.
Tuseme ni uzushi tu labda, lakini katikati ya kampeni hizi kiongozi Mkuu wa ukawa kaenda marekani kufanya nini?? Kama kweli kaenda marekani...
 
Mzee Slaa kesharudisha fahamu sake na sasa anataka kurudi nyumbani kuendelea na Kazi yake ndani ya chadema.
 
Mshapoteana ngoma imekuwa nzito......Rais yupo CHATO leo..... Live Star Tv.....


Tunawachapa ndani na nje hakuna kuwachekea lazima muisome mwaka huu!!!!!!!!

LOWASSA KABURI LA UPINZANI TANZANIA 2015
 
Hata msiba wa kuku na wenyewe ni msiba, ameenda kwenye msiba wa nani?
 
Mleta propaganda alianza vizuriiii. ...mwishoni kaharibu kwa kuonyesha wazi ni wa kijani
 
Yani mimi nimechoka ile mbaya, ninachoomba kwa sasa ni ifike tu hiyo tarehe 25.10 tupige kura,watu turudi kwenye shughuli zetu kikamilifu manake kila siku maneno ya ajabu ajabu! Yani sijawahi kuona uchaguzi wenye mambo ya ajabu namna hii. Na chama chochote kitakacho shinda basi kipeleke mswaada bungeni wa kuifuta sheria ya vyama vingi! manake mmeviruhusu wenyewe halafu kumbe hamtaki vishike dola! zengwe kila kona! sasa vya kazi gani vyama vingi. Ulofa tu.
 
Hahahahahaha Magamba yanapukutika ... Mbowe hana price Tag ... Nani asiejua kuwa Slaa aliwekewa mzigo mkubwa kule SA? nani asiejua kuwa CCM ndo waliandaa mpango mzima via Josephine?.... Uzuri Malofa tumeamua kuwa huu ni mwaka wa mabadiliko ...
 
Egnecious umejiunga JF tarehe 08 Julai, 2015, na leo umeishakuwa JF Senior Expert Member kwa kuandika majungu!

Yaani hadi akina FaizaFoxy umewapiku. Unalipwa zaidi nini?
 
Ha ha ha kikao cha siri kisha wewe ukapata neno kwa neno tena ukiwa Lumumba ha ha haha ha kweli hiki chama kimechoka hata vijana wao wamechoka akili. Ila jua hatudanganyiki
 
Dah Mkuu Umenikumbusha Mbali,sijacheki Mieleka Siku Nyingi....Hivi Huyu Jamaa Raymysterio Bado Yupo??

Mkuu mbona mjomba Gutierrez Rubio yupo kitaa kama kawa sema ndio ivo hapigi shoo, japo walio wengi wanasema amejiuzulu na RAW.
 
Ulikuwa unapenda kuandika isha za mapenzi ukiwa shule sasa unajifunza za siasa, ubaya wa huku uongo unajulikana mapema.
 
ccm kwaheri, kwa herei kwaher tunakutakia maisha mapyaaaaaa, kwani hakuna namna nyingine ya kukuokoo, hata mje na majungu na masufuria hapa ni mwendo mdundo mpaka IKULU, mtatumia kila vimamamluki lakini wapi hamtafanikiwa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom