Magurudumu
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,748
- 490
Wewe ni mchochezi.
Kama hutaki kuamini ukweli? basi baki na ujinga wako hakuna atakaekushika shirt na kukubadilisha ila huo ndio ukweliWe tapatapa tu huu MWAKA kwa heri ccm kama huamini subiri
Anaefaa kuchunguzwa akili ni wewe wala sio mtu mwingine
Propaganda as usual
Yangu macho....ila bongo hakunaga tetesi.
Yangu macho....ila bongo hakunaga tetesi....yasemwayo hutokea
Ni kweli tangu Dk Slaa aondoke baadhi ya wafuasi wa CHADEMA asilia wamerudi nyuma.Ninavyoona kura watampa Magufuri.