Mbowe asalimu amri kwa Lowassa

Haaaa haaa hii akili na muda ungekutumia katika kufikiria jinsi ya kuijenga nchi yetu tungekuwa mbali sana leo
 

JK aliomba Magufuli awakumbuke watu wa IT. Vipi mmeshapewa chenu?
 
So the opposite is true the people are not pro Lowassa and it is fake to claim he "won" election....!
 
Eduadi lowasa ananikela jambo moja tu ukumbi mzm wamevaa uniform za cdm na kofia yeye havai hata kitambaa cha cdm mkononi.. Yeye anaingia kama alivyo na anatoka kama alivyo.... Hilo kiukweli linanikela sana..
Liendelee kukukera tu
 
Muda ndio jibu sahihi dogo....mwaka 2011 mlipoambiwa EL/Mbowe wanamakubaliano ya siri na baadaye mwaka jana July Lizabon alidadavua kuuzwa kwa chadema mlikuja na kauli fupi fupi hivihivi...sikio la kufa......!
Kuniita dogo ni kunitusi... jitahidi ufiche upumbavu wako.

Umesema CHADEMA imeuzwa, lakini jana katibu mkuu amepatikana.
Chama kingeuzwa, bila shaka hata mwenyekiti angejiengua ili mnunuzi aweke mtu wake au angekalia kiti ili afanye maamuzi mwenyewe.
Acha kuokoteza habari uchwara toka kijiweni kwa wanywa kahawa hapo lumumba.
 
Mbowe anafanya kazi ya lowassa tokea 2011,ni CEO wake aliyefanikisha yote...kuanzia kwa SG mpya jana timu itabadilishwa kukidhi mahitaji ya mwenye mali huo ni mwanzo tu.
 
Haaaa haaa hii akili na muda ungekutumia katika kufikiria jinsi ya kuijenga nchi yetu tungekuwa mbali sana leo
Naamini kila jambo na wakati wake muda mwingine unaijenga nchi kupitia siasa.
 
And people are not pro Lowasa anymore
 
Mzungu mambo?

Tabia ya kujipendekeza kwa wazungu ndo iliyokudhalilisha! Wazungu watendelea kukupandishia mbwa!
Nafikiri utakuwa unamuongelea Mwenyekiti wako ambaye alikuwa kiguu na njia kwenda kwa wazungu kuomba misaada.
 
Mbowe anafanya kazi ya lowassa tokea 2011,ni CEO wake aliyefanikisha yote...kuanzia kwa SG mpya jana timu itabadilishwa kukidhi mahitaji ya mwenye mali huo ni mwanzo tu.
Endelea kuota hivyo hivyo...
Ila ombeni sana Magu utumbuaji wake usifike hadi kwenye kufumua katiba ya JMT make akituwekea ya Warioba tu, basi hamtakuwa na pakutokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…