Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,505
- 16,006
- Thread starter
-
- #61
Mkuu siasa ni sayansi...kila tukio,tendo kisiasa ukilipeleka kwenye maabara ya siasa unapata majibu.Huu uzi umeandikwa kwa muongozo wa roho,moyo,macho,akili au hisia za mafua?[emoji2]
Chakaza "binadamu wanaangamia kwa kukosa maarifa"...jikite kwenye mada.Usitusumbue na English yako hujui kuwa Mimi ni I'm the politicians (in magu tone)
Mkuu siasa ni maisha...ruzuku wanayopewa chadema ni kodi yangu...kama tunavyokosoa CCM na serikali yake lazima tutowe angalizo.shida kila mtu mchambuz wa siasa badala ya kumchambulia mkeo unakuja na hoja hafifu majina yalipendekezwa hakuwepo upendekez la kwako!!!
Hata angechaguliwa nan msingekosa la kusema!!!!!
hii inaonyesha utakuwa unaingilia vyumban mwa watu by the way wewe sio cdm unawashwa na nn?
kodi gan unatoa ww buku saba!Mkuu siasa ni maisha...ruzuku wanayopewa chadema ni kodi yangu...kama tunavyokosoa CCM na serikali yake lazima tutowe angalizo.
Tukubali kukosolewa,ukweli haupendi kupuuzwa.Watasema sana, nachojua kila binadamu ni unique hivyo kila mtu ana mawazo yake. Dunia isingependeza kama tungefanana kwa mawazo. Mbowe songa mbele, CHADEMA SONGA MBELE, wanachadema songeni mbele hadi ukombozi wa kweli. IT CAN BE DONE!MPLAY YOUR PART?
Majibu uliyoyapata yana uwalakini.Jihadhari utapata FIBA isiyo sahihi.Mkuu siasa ni sayansi...kila tukio,tendo kisiasa ukilipeleka kwenye maabara ya siasa unapata majibu.
hata angeletwa malaika mngekosoa tu!!!Tukubali kukosolewa,ukweli haupendi kupuuzwa.
Mwaka 2011 ujio wa EL ulizungumzwa ikaonekana uzushi,2013 Asha Dii aliitadharisha Chadema na makapi ya CCM akatukanwa,Mwaka 2015 july,Lizabon aliripoti "dealdone" kati ya Mbowe,EL,Mtei aliambulia matusi...sasa endeleeni..ila mjue "ajizi nyumba ya njaa".Majibu uliyoyapata yana uwalakini.Jihadhari utapata FIBA isiyo sahihi.
Hata kanisani vicheko na vionjo vipo. Vitabu vya dini vingekuwa vinafanyiwa editing hiyo sehemu uliyoquote ingebadilishwa na kuwaChakaza "binadamu wanaangamia kwa kukosa maarifa"...jikite kwenye mada.
Jikite kwenye hoja kwa manufaa ya taifa.Hata kanisani vicheko na vionjo vipo. Vitabu vya dini vingekuwa vinafanyiwa editing hiyo sehemu uliyoquote ingebadilishwa na kuwa
"Binadamu wanaangamia kwa kuchagua CCM"
Hivi zzk alisharudisha gwanda za cdm?Hivi kwa nini Laigwani havai sare zetu za chama?....nakumbuka kule mapinduzini alikuwa anavaa
Kijana jikite kwenye hoja ili tulisaidie taifa.Maskini wa lumumba, wanateseka kweli na hii kitu. Walijiandaa sana kushambulia ukanda, sasa huu uteuzi umewavurugaa kabisa. Wanajaza mipost humu miiiiingi hata hawajui wasimamie lipi.