FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 93,239
- 109,808
Akuuuu, ntuwe babuwee. NSSF atamlipia nani? Khaa, akalipe mwenyewe, halafu pale kuna Dau, walijua Dau weye?kama ni deni silitalipwa huyu FF amnazo kabisa ehe
Akuuuu, ntuwe babuwee. NSSF atamlipia nani? Khaa, akalipe mwenyewe, halafu pale kuna Dau, walijua Dau weye?kama ni deni silitalipwa huyu FF amnazo kabisa ehe
ana ubavu huo..jamaa hata kumkoromea balozi wa nyumba kumi hawezi...mbona asiwanyang'anye mawaziri na walio chini yake ....
amekataa VX anatumia GX V8 hapa ni sawa na daktari aseme una presha au BPHeee Pinda ni waziri mkuu au mesenger wa JK?Waziri mkuu hana maamuzi kazi yake kulia lia tuuuKama waziri mkuu walirudisha je mbona asiwanyang'anye mawaziri na walio chini yakeWaziri mkuu kibogoyo ,,hahaaaa eti mtoto wa mkulimaCcm mnamtumia Pinda kusafisha njia ya kufanya ufisadi ....
hili ikirudishwa nalinunaaaaaa kwa mkopo
nina mashaka na utendaji kazi wa ubongo wako inaonesha bongo zako zoote zime freezhana lolote anatafuta cheap popularity ili agombee urais 2015
dau kitu gani pale mambo yote alikuwa mkulo shirika lilijitanua sana!Akuuuu, ntuwe babuwee. NSSF atamlipia nani? Khaa, akalipe mwenyewe, halafu pale kuna Dau, walijua Dau weye?
Vitukuu bado, vijukuu!du FF inaelekea wewe ni ajuza stori zako za long time sana henzi za mkolon na kibanga.kalee vitukuu !
dau kitu gani pale mambo yote alikuwa mkulo shirika lilijitanua sana!
nina mashaka na utendaji kazi wa ubongo wako inaonesha bongo zako zoote zime freezHamna ubunifu babuwee, vitendo vya kukataa gari kavianza Pinda. HeEeeeee! Ishakuwa sera kwenu?
Hamna ubunifu babuwee, vitendo vya kukataa gari kavianza Pinda. HeEeeeee! Ishakuwa sera kwenu?
Umesahau kuadd ...babuwee! Tunajua wewe ni kidume, unatumia nguvu nyingi kuprove 'uanamke' wako which women don't do!Umekosea, jaribu tena. Shilingi kumi na mbili na thumni.
awazo yako siwezi kuyadharau....isipokuwa ningependa kukusaidia katika hili. Wanaotafuta umaarufu rahisi ni wale wanaojipendekeza kwa hali na mali. Chadema/Mbowe waliishajipatia umaarufu na sasa wanautuia vizuri. Kurudisha shangingi sio rahisi au unadhani ni shangingi mwanamke? Ni gari la kifahari.Chadema wapongezwe kwa uongozi wa vitendo kwani tumechoswa na maneno matamu. Hongera mbowe..hongera chademaAnatafuta uraisi 2015 kwa kila njia! Ameona Zitto kamzidi kete kwa kukataa posho! Anata na yeye aonekane bora