Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,228
- 98,188
Tatizo ubongo wako una dug
Sasa hapo kuna mafuliko au?
Sasa hapo kuna mafuliko au?
Unaitwa mwambaniMakamanda mmefikia hapa?
Wamekaa chini kabisa inaonyesha dhamira kutoka moyoni.
Mafuriko na siyo mafuliko! Kama hata kiswahili kinakushinda, no kitu gani unakiweza sasa?
Utawafanya watu waanze ziara ya lindiHata hapo ulipo tupo wengi sana! Jipangeni!
Kwani chadema kipo?
Unajua kusoma picha lakini au umekurupuka. Mbona zinajieleza kabisa
Hilo siyo jimbo la NAPE hapo ni lindi mjiniJimbo la Nape Kuchele!
So mmeruhusu ya mikutano ya chumbani tu, tena na yenyewe bado ni kwa binde, ngoja iruhusiwe mikutano ya nje ndio urudi kuuliza hili swali lako.
2020, kwa vyovyote CHADEMA lazma ikulu!![emoji123][emoji123][emoji123]
nlijua ntakutana na mafuriko ya watu...Hawa watu hawaendani na ukubwa wa Chadema hata Kidogo acha kujifariji...Namba hiii ni ya A.C.T not Chadema...na kwa idadi hiyo niseme tu kua hiki ni kipimo halisi cha UFU wa chadema.
Mungu ibariki Chadema
Ushabugia kimpumu huonimbona picha za zamani?
Tena wanasombwa na fusoHata kama wangekuwa 2 tu bado ingekuwa na maana kwakuwa wamekwenda kwa utashi wao sio kulazimishwa kama mikutano ya Magu watumishi na wanafunzi lazima wahudhurie. Wananchi wa kawaida wanashawishiwa na vikundi vya ngoma na usafiri wa kuwasomba to and fro bure!
Hakika!Mungu yupo na sisi mkuu
Kuna watu weshajiondoa wenyewe ofisini. Tangu mkuu wa mkoa hadi mpiga deki kituo cha polisi Lindi. Hamna kazi nyote kama kweli hii sio windowshoping. Jipelekeni wenyewe makwenu. 1, Je, Lindi ni Hai 2. Kwa nini mmeruhusu afuate nyayo za alikopita kiongozi?? Mwajua kuwa hairuhusiwi?
Zamani ndo wapi? Unamaanisha Mbowe hajaenda Lindi? Hueleweki.mbona picha za zamani?