Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 8,667
- 19,182
Halafu ilikuwa kimya kimya no media, je wangetangaza kwenye media???
Muulize raisi wako sugu , ameenda kumpokea kwa nderemo na vifijo! Kha chadomo chali mmeufyata, Kama unajiona bingwa muulize akupe jibu yupo hukohuko mkoani kwako mbeya. , acha kulialia nyuma ya keyboard .Magufuli ni kichaa kama anavyojisema miaka minne alidhani Mbeya ni wajinga watasimamisha maisha kwa akili yake mshamba mkubwa kaja kawakuta a aondoke mikono mitupu hana jipya amewakuta wanaendelea na maisha na fedha kibao kuchangia Patonla taifa fedha unayomlisha Yeye na familia yake
Halafu ilikuwa kimya kimya no media, je wangetangaza kwenye media???
Weeee ni shida aisee mapenzi haya lazimimwishwi
Bashite wewe mpumbavu sana sugu amkimbie Magufuli kwa Kisa gani amekuwa Naye front kumuonyesha ni mbunge wa Mbeya alichaguliwa na wananchi kama alitegemea angekimbiwa apate mtaji wa kisiasa ila kula kwake ndio maana Magufuli Alina kaokota bingoMuulize raisi wako sugu , ameenda kumpokea kwa nderemo na vifijo! Kha chadomo chali mmeufyata, Kama unajiona bingwa muulize akupe jibu yupo hukohuko mkoani kwako mbeya. , acha kulialia nyuma ya keyboard .
Alikua front au alikua anamsifia na maombi kibao , sasa wewe kidampa unaweweseka nini?Bashite wewe mpumbavu sana sugu amkimbie Magufuli kwa Kisa gani amekuwa Naye front kumuonyesha ni mbunge wa Mbeya alichaguliwa na wananchi kama alitegemea angekimbiwa apate mtaji wa kisiasa ila kula kwake ndio maana Magufuli Alina kaokota bingo
Alikua front au alikua anamsifia na maombi kibao , sasa wewe kidampa unaweweseka nini?
Humo anamoongelea ni kwenye zizi la ng'ombe or?Kuna watu wanasema CHADEMA imekufa
Duh sijui wanatumia kipimo gani tena hawa ni wanawake watu watasema wanywa viroba
Aya waiteni mama zenu sasa wanywa virobaView attachment 1084969View attachment 1084970View attachment 1084971View attachment 1084972
KaNatabiri huenda ccm ikaiingiza nchi yetu katika vita ya wenyewe kwa wenyewe 2020 baada ya uchaguzi mkuu
Kidampa , huna jipya , Magufuli mwisho wa reli , mtatukana mwisho mnapiga magoti , oh mheshimiwa Raisi , tunaomba hiki na kile , tukaneni mbele yake tuone kama nyie vidume au mbuzi wa maziwa , mwisho wenu nyuma ya key board.Bashite pumbafu zero brain kabisa maombi kibao Magufuli kwenye nchi hii amewahi toka fedha zake au ni fedha za umma na ni kazi ya mbunge kueleza vipau mbele vya wananchi mbona nyie washamba hamjifunzi
Za mwaka gani hizo images!2015?
Za wiki hii hizo, hao jamaa wamegawana majukumu ktk eneo la kusini kimyakimya, John mnyika alikua mangaka wilaya ya nanyumbu, Na wengine wapo tunduru Na wengine wameenda songea. Muitikio ni mzuri mno. Alafu operesheni inaenda bila kiki kimyakimya.Za mwaka gani hizo images!2015?
Wewe wa mwakaà gani? Ni kama wa 1915Za mwaka gani hizo images!2015?
Kuna watu wanasema CHADEMA imekufa
Duh sijui wanatumia kipimo gani tena hawa ni wanawake watu watasema wanywa viroba
Aya waiteni mama zenu sasa wanywa virobaView attachment 1084969View attachment 1084970View attachment 1084971View attachment 1084972
Kwani ukichaa wake si aliusema mwenyewe?Muulize raisi wako sugu , ameenda kumpokea kwa nderemo na vifijo! Kha chadomo chali mmeufyata, Kama unajiona bingwa muulize akupe jibu yupo hukohuko mkoani kwako mbeya. , acha kulialia nyuma ya keyboard .
Safii saanaa
Za mwaka gani hizo images!2015?