nlijua ntakutana na mafuriko ya watu...Hawa watu hawaendani na ukubwa wa Chadema hata Kidogo acha kujifariji...Namba hiii ni ya A.C.T not Chadema...na kwa idadi hiyo niseme tu kua hiki ni kipimo halisi cha UFU wa chadema.Kuna watu wanasema chadema imekufa
Duh sijui wanatumia kipimo gani tena hawa ni wanawake watu watasema wanywa viroba
Aya waiteni mama zenu sasa wanywa virobaView attachment 1084969View attachment 1084970View attachment 1084971View attachment 1084972
Labda awamu hii ni mabadiliko na mzee wa Lindi.Mbona kama wanataka kuzungusha mikono ya mabadiliko?.
Ni vikao vya ndani vinavyoendelea Mkoani Lindi , hapa ni jimbo la MtamaZa mwaka gani hizo images!2015?
Mungu ibariki ChademaKuna watu wanasema chadema imekufa
Duh sijui wanatumia kipimo gani tena hawa ni wanawake watu watasema wanywa viroba
Aya waiteni mama zenu sasa wanywa virobaView attachment 1084969View attachment 1084970View attachment 1084971View attachment 1084972
mbona picha za zamani?Kuna watu wanasema chadema imekufa
Duh sijui wanatumia kipimo gani tena hawa ni wanawake watu watasema wanywa viroba
Aya waiteni mama zenu sasa wanywa virobaView attachment 1084969View attachment 1084970View attachment 1084971View attachment 1084972
uongo utakusaidia nini ?mbona picha za zamani?
hiki ni kikao cha ndani tu mjombanlijua ntakutana na mafuriko ya watu...Hawa watu hawaendani na ukubwa wa Chadema hata Kidogo acha kujifariji...Namba hiii ni ya A.C.T not Chadema...na kwa idadi hiyo niseme tu kua hiki ni kipimo halisi cha UFU wa chadema.
picha za zamani hizo, cheki za magu akiwa kaiteka mbeya na kyela kwa ujumla.uongo utakusaidia nini ?
Bado...hiyo namba haiendani na Chadema... From ccm NEXT is chadema kumbuka...hiki ni kikao cha ndani tu mjomba
Anaweza kupiga makofi na vigeregere. Kilangila.Mafuriko na siyo mafuliko! Kama hata kiswahili kinakushinda, no kitu gani unakiweza sasa?
Achana nao kamanda!Kuna watu wanasema CHADEMA imekufa
Duh sijui wanatumia kipimo gani tena hawa ni wanawake watu watasema wanywa viroba
Aya waiteni mama zenu sasa wanywa virobaView attachment 1084969View attachment 1084970View attachment 1084971View attachment 1084972
Hiki kitu hawakijui japokuwa Mimi ni mwanaccm hili nalijua na liko wazi pasipo kificho Chadema ni chama ambacho Watanzania wanakiishi Mioyoni mwaoKuna watu wanasema CHADEMA imekufa
Duh sijui wanatumia kipimo gani tena hawa ni wanawake watu watasema wanywa viroba
Aya waiteni mama zenu sasa wanywa virobaView attachment 1084969View attachment 1084970View attachment 1084971View attachment 1084972
Ndoto za mchana2020, kwa vyovyote CHADEMA lazma ikulu!![emoji123][emoji123][emoji123]
Thubutu , sema wanachadema , usitusemee watanzaniaHiki kitu hawakijui japokuwa Mimi ni mwanaccm hili nalijua na liko wazi pasipo kificho Chadema ni chama ambacho Watanzania wanakiishi Mioyoni mwao
Ya mbeya yamewashinda ? Hiyo ni 2015.Ni vikao vya ndani vinavyoendelea Mkoani Lindi , hapa ni jimbo la Mtama
Kama sio kweli tuufanye uwanja uwe sawa tuone zomea zomea mpya. Wapinzani wamezuiwa kufanya shughuli zao lakini bado haruko huru tunajustukia mbele za watu.Thubutu , sema wanachadema , usitusemee watanzania