Kizimbuzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 1,569
- 749
Kipo Chukua Chako Mapema
Kumbe siku hizi kuna chama kimaitwa hivi?
Kipo Chukua Chako Mapema
Kumbe siku hizi kuna chama kimaitwa hivi?
Hilo siyo jimbo la NAPE hapo ni lindi mjini
Asante kwa kunijuza hilo! japo uzi awali ulisomeka apokelewa……. "Mtama"! huenda sikusoma vema au ka-editHilo siyo jimbo la NAPE hapo ni lindi mjini
Kuna watu wanasema CHADEMA imekufa
Duh sijui wanatumia kipimo gani tena hawa ni wanawake watu watasema wanywa viroba
Aya waiteni mama zenu sasa wanywa virobaView attachment 1084969View attachment 1084970View attachment 1084971View attachment 1084972
mkutano haujazuiwa
Asante kwa kunijuza hilo! japo uzi awali ulisomeka apokelewa……. "Mtama"! huenda sikusoma vema au ka-edit
muulize jiweZa mwaka gani hizo images!2015?
People’s POWERRRRRRRRR! [emoji1479][emoji1479][emoji1479][emoji1479]
Alutta continua! continua!
muulize jiwe
Haoni huyo maana tayari kuzunguzungu kimembanaHuoni wapo ndani?
Na bado muungano wa Chadema na ACT Wazalendo ya Maalim.
Naona vitoto hata havijaenda shule
Zamani ndo wapi? Unamaanisha Mbowe hajaenda Lindi? Hueleweki.
Ha ha haaaa. Vipi Mr. Wax?Wee kenge fisiem Chakubanga
Lumumba vijana wamepagawa ndio maana mkiambiwa mazwazwa mnajaa povu tulieni sindano iwaingie si mmezoea kudanganya mnakubalika bado huku kwetu kanda ya ziwa mbunge wa ccm akishinda kihalali hata mmoja mkatambike subirin 2020.nlijua ntakutana na mafuriko ya watu...Hawa watu hawaendani na ukubwa wa Chadema hata Kidogo acha kujifariji...Namba hiii ni ya A.C.T not Chadema...na kwa idadi hiyo niseme tu kua hiki ni kipimo halisi cha UFU wa chadema.
Mkuu kuna watu wanaudhi aiseHa ha haaaa. Vipi Mr. Wax?
Tumia akili usitumie matako kama alivyowaambia marehemu wenu wa ccm huyo unayemuita magufuli alifanya mkutano wa ndani wap hapo mbeya ikapata picha zake, mtanyooka tu chadema kwa sasa sio kama vyama vingine na tunasubiri lissu kwa ham mpaka mav yatawagonga na mwenyekiti wako.picha za zamani hizo, cheki za magu akiwa kaiteka mbeya na kyela kwa ujumla.
Dua la kuku , halimpati mwewe.Yeyote anayeitabilia cdm kufa atakufa yeye