Magufuli akisikia maneno hayo kipira kitafyatuka2020, kwa vyovyote CHADEMA lazma ikulu!![emoji123][emoji123][emoji123]
hata mtu mweusi kutawala marekan kuna walio mwanamin Martin Luther kuwa anaota mchana ila tiari ishakuwa..Ndoto za mchana
Ha ha CCM kifo cha Mende eti Magufuli ruling party Nina lenyewe kichefuchefuccm imekufa wao wameshtuka wanataka kuanzisha Magufuli rulling party
kuna vitu vininge hata hana haja ya kuambiwa #ajiongeze tu!Magufuli akisikia maneno hayo kipira kitafyatuka
Tatizo ni kwamba kuna watu hawajui wanahitaji nini na wakati gani, wapinzani wanawatega na matatizo madogo ambayo kama mtu angefanya bidii angeweza kuyatatua mwenyewe, chadema imetega kwenye mtego wa wajinga ndio waliwao,Kama sio kweli tuufanye uwanja uwe sawa tuone zomea zomea mpya. Wapinzani wamezuiwa kufanya shughuli zao lakini bado haruko huru tunajustukia mbele za watu.
Ulimwona Sugu pale ulijifunza nini
nlijua ntakutana na mafuriko ya watu...Hawa watu hawaendani na ukubwa wa Chadema hata Kidogo acha kujifariji...Namba hiii ni ya A.C.T not Chadema...na kwa idadi hiyo niseme tu kua hiki ni kipimo halisi cha UFU wa chadema.
Haya bana , tufanye ni ndoto za alfajiri , watu wameshaamka kwenda kwenye shughuli za kujipatia kipato na kujenga nchi wengine wanaota.hata mtu mweusi kutawala marekan kuna walio mwanamin Martin Luther kuwa anaota mchana ila tiari ishakuwa..
Magufuli hana nyimbo zero kabisa amegeuzwa sana I watu wanaenda kushuhudia tapeli wa kisiasa anafanaajeTatizo ni kwamba kuna watu hawajui wanahitaji nini na wakati gani, wapinzani wanawatega na matatizo madogo ambayo kama mtu angefanya bidii angeweza kuyatatua mwenyewe, chadema imetega kwenye mtego wa wajinga ndio waliwao,
Sugu anamfagilia Magufuli kwa saaana.
Ha ha Magufuli kushindwa hata kutengeneza ajiandae tuHaya bana , tufanye ni ndoto za alfajiri , watu wameshaamka kwenda kwenye shughuli za kujipatia kipato na kujenga nchi wengine wanaota.
ifke hatua tuamiani ktk usisi tunafanya kitu kwa ajiri ya maslah ya taifa leti na sio uwale watafanya, #tutafka tu hakika!Haya bana , tufanye ni ndoto za alfajiri , watu wameshaamka kwenda kwenye shughuli za kujipatia kipato na kujenga nchi wengine wanaota.
Wakati ule ukivujisha siri zetu tulikuwaje?Makamanda mmefikia hapa?
Ha ha ha , du chadema chali kabisa , tumuulize raisi wa mbeya sugu , pamoja na mbunge wenu Lema alipotaka kuanguka kwa kukimbilia kumpa mkono Magufuli.Magufuli hana nyimbo zero kabisa amegeuzwa sana I watu wanaenda kushuhudia tapeli wa kisiasa anafanaaje
Angalia vizuri dogo upinzani ni harakati huru sio uadui karibu ujiunge nasi kwenye safari ya mabadirikoSasa hapo kuna mafuliko au?
Kiswahili ndugu , maneno hayaeleweki , jaribu kusawazisha ili kieleweke kilichoandikwa.ifke hatua tuamiani ktk usisi tunafanya kitu kwa ajiri ya maslah ya taifa leti na sio uwale watafanya, #tutafka tu hakika!
Ha ha Huwajui wana Mbeya hujaona Magufuli Ngebe zote aliziacha chato angewatukana madiwani na halmashauri au Sugu angepopotolewa mawe ndio maana ameufyata nadhani mwanzo mwisho Hawezi kujitanuwa mbeya japo wanafunzi walivyarishwa nguvu kuzuga uwingiHa ha ha , du chadema chali kabisa , tumuulize raisi wa mbeya sugu , pamoja na mbunge wenu Lema alipotaka kuanguka kwa kukimbilia kumpa mkono Magufuli.
Magufuli namba nyingine kabisa huwezi kuisoma hovyo hovyo.
Andika vizuri ueleweke kashindwa nini? Ajiandae sugu na bosi wake mbowe kubwaga manyangaHa ha Magufuli kushindwa hata kutengeneza ajiandae tu