Mbowe aonekana Dar akiwa na polisi wakitaka kupekua nyumba yake

Dah....naona mama Sasha....taratibu akili inamrudia....miezi3 tu tutarudi relini
 
Polisi wenye silaha takribani 30 wamefika nyumbani Kwa M.Kiti Freeman Mbowe Mikocheni usiku wa saa 3 na dk 20 na wanataka kufanya upekuzi nyumbani, walipoulizwa kuhusu search warrant ,hawana na hawapo na M/Kiti Serikali ya Mtaa wanatishia kama hawatafunguliwa wanavunja mlango.
Mama huyu ataaibika vibaya sana.
 
Yani kinachoshangaza ni kwamba yule kijana wa ccm anaendelea na vikao na mikutano,halafu hawa wao wanazuiwa.Ila lakini siku ya Africa kusini yakianza Tanzania yani pataharibika sn
 
Polisi wenye silaha takribani 30 wamefika nyumbani Kwa M.Kiti Freeman Mbowe Mikocheni usiku wa saa 3 na dk 20 na wanataka kufanya upekuzi nyumbani, walipoulizwa kuhusu search warrant ,hawana na hawapo na M/Kiti Serikali ya Mtaa wanatishia kama hawatafunguliwa wanavunja mlango.
Ni wakati Sasa upinzani wawe na jeshi lao la kujihami
 
Polisi wenye silaha takribani 30 wamefika nyumbani Kwa M.Kiti Freeman Mbowe Mikocheni usiku wa saa 3 na dk 20 na wanataka kufanya upekuzi nyumbani, walipoulizwa kuhusu search warrant ,hawana na hawapo na M/Kiti Serikali ya Mtaa wanatishia kama hawatafunguliwa wanavunja mlango.
Tanzania kwa sasa ni nchi ambayo haina rais. Na kama tupo hajui wajibu wake wala ni kwa nini tupo pale.
Sii ajabu rais nae anashangaa yale yanayoendekea maana wanao toa order ni wengi na kila mmoja wa watoa order anataka order yake itekelezwe.
 
Kichwa cha habar na habar yenyewe hakuna uhusiano.

EF69753B-DA02-4156-8C1E-4F0C95C35AB8.jpeg
 
eti search warrant.....hahahahaha aisee mna utoto mwingi saaaana halafu mnataka mpewe dola kwa utoto huuu.
 
Dola huwa lina information nyiingi kuliko nyie raia wa kawaida.......mkiambiwa makosa ya mwenyekiti mtaanza kulialia hapa...mnajua dubai alikuwa anafanya na kupanga nini? ni dola pekee inaweza kujua na ikaamua kupotezea kwa kuaddress mengine in public....
 
Back
Top Bottom