Mbowe anavyoshughulikia Wapinzani Wake Ndani ya Chama

Mbowe anavyoshughulikia Wapinzani Wake Ndani ya Chama

unajua kukubali ukweli uliofunikwa na vyama viwe tawala au pinzani kuna siri nzito
 
Samahani kuuliza si ujinga
Anaeshutumiwa ni Mbowe alafu kuna mtu humu anatoka mapovu kweli kweli kumjibia Mbowe nataka kujua huyu ni mkewe au ndio wale viti maalum
Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa Waitara huyu jamaa anawagegeda kweli
 
Hivi polisi wanavyomtafuta Mbowe wasingemuacha kama anafanya uasi namna hi.

Hizi ni porojo kama porojo zingine tu.
 
Mkuu Benson Mramba, maandiko yako ya kila siku yenye ladha ile ile kumhusu Mbowe yanalenga nini hasa?

Hata kama una hoja, tunakupuuza kwakuwa unaandika kama mwenye chuki Zaidi ya mwenye hoja. Jirekebishe Mkuu. Halafu, tunaaminishwa kuwa CHADEMA ni chama cha watu wa kaskazini, iweje wewe 'wa kaskazini' uwe na bifu hivyo?

Kiukweli, sasa unaboa Mkuu. Kila siku Mbowe tu, WHY HIM ONLY?
Nikajua unakuja na majiubu yahoja zake. Chadema kushneey!
 
Mbowe simpendi kwa uchaga wake, lakini namkubali sana anavyohimili vishindo vya ccm, uliowataja wote ni mamluki waliomshindwa. Viongozi wote wangekywa kama Mbowe upinzani ungekuwa imara sana.
 
Mkuu Benson Mramba, maandiko yako ya kila siku yenye ladha ile ile kumhusu Mbowe yanalenga nini hasa?

Hata kama una hoja, tunakupuuza kwakuwa unaandika kama mwenye chuki Zaidi ya mwenye hoja. Jirekebishe Mkuu. Halafu, tunaaminishwa kuwa CHADEMA ni chama cha watu wa kaskazini, iweje wewe 'wa kaskazini' uwe na bifu hivyo?

Kiukweli, sasa unaboa Mkuu. Kila siku Mbowe tu, WHY HIM ONLY?
hutaki mbowe aguswe?
hutaki mramba atoe kero yake kisa ni wa kaskazini?
mbona kila siku anaandamwa magufuli kwa maneno yale yale lakini tunajibu mapigo,jibu hoja hata kama hupendi kuzisikia badala ya kuleta uchaga
 
Kama ww n raia wa kawaida na huna maslahi na siasa usipoteze mda tafuta jambo ulilo na maslahi nalo ukomae huko otherwise utajuwa unayumbishwa na kutumiwa na wanasiasa maslahi and u gain nothing
 
Asilimia Kubwa ya Watu wenye Majina ya Ben wanakuwaga na tabia za kikekike.....Haka ni kautafiti nilichokifanya Mimi, Hebu jaribu kufatilia maeneo ya kwenu mnipe mrejesho.
 
Asilimia Kubwa ya Watu wenye Majina ya Ben wanakuwaga na tabia za kikekike.....Haka ni kautafiti nilichokifanya Mimi, Hebu jaribu kufatilia maeneo ya kwenu mnipe mrejesho.

No Kweli Mkuu, hapa kwetu upanga kuna mtoto wa mkoa fulani ivi anaitwa Ben basi duh Ni hatari huyo hadi mapozi yake
 
hutaki mbowe aguswe?
hutaki mramba atoe kero yake kisa ni wa kaskazini?
mbona kila siku anaandamwa magufuli kwa maneno yale yale lakini tunajibu mapigo,jibu hoja hata kama hupendi kuzisikia badala ya kuleta uchaga
Kuna watu wako radhi kusikia Jpm anatukanwa kila siku na huji kusikia wakitaka ushahidi,mguse mbowe,lisu au zito uone moto wake.Huko chadema kuna miungu watu haitakiwi kuwagusa
 
Back
Top Bottom