MISULI
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,856
- 5,562
Ilitakiwa tuhuma ziende kwa Jpm,kwa hili subir matusi tuhili andiko lijibiwe kwa hoja sio vijembe
Ilitakiwa tuhuma ziende kwa Jpm,kwa hili subir matusi tuhili andiko lijibiwe kwa hoja sio vijembe
Mkuu mbowe kumhudumia lisu ni UNAFKI kiwango cha makinikia.Huyu aliyemmiminia risasi lisu ndio huyohuyo kimbelembele kuleta story za camera kuchomolewa.Mkuu Benson Mramba nimesoma bandiko lako na mengine kama haya nimegundua kuwa una chuki sana na Mh Mbowe. Unasema kuwa Mbowe alisema angemshughulikia Mh Lissu na kweli Lisau akamwagiwa mvua ya risasi. Swali kwako, Nani alitoa mifumo ya usalama kwenye nyumba za viongozi walio jirani na nyumba ya mh lisu kule area D mjini dodoma? Nani alipambana kwa hali na mali kuokoa maisha ya Mh Lisu kama si mwenyekiti Mbowe?
Mkuu kama ulivyosema wewe ni msomi kwani ni lazima ufanye siasa wakati una professional uliyosomea si ufanye kazi uachane na siasa.
Eti Ben Saanane naye alishughulikiwa na Mbowe. We kweli hamnazo. Ben alikuwa pandikizi la kuwachunguza nyie wasaliti na baada ya kumaliza kazi yake wewe na njaa kali wengine kina kitila na zitto pamoja na kina Habibu mchange na Mwampamba mkaonyeshwa mlango wa kutokea. Tena wakati huo alikuwepo katibu mkuu asiependa mambo ya hovyo Dr Slaa.
Dogo mramba wewe unaongozwa na mkuno wa njaa ya tumbo, sasa umekuwa mpiga kelele kwa kufikiria kuwa jiwe anaweza kukuona akakupa shavu kama alivyofanya kwa njaa kali wengine.
Shame....
Huyo Jamaa ana lake jamboMkuu Benson Mramba, maandiko yako ya kila siku yenye ladha ile ile kumhusu Mbowe yanalenga nini hasa?
Hata kama una hoja, tunakupuuza kwakuwa unaandika kama mwenye chuki Zaidi ya mwenye hoja. Jirekebishe Mkuu. Halafu, tunaaminishwa kuwa CHADEMA ni chama cha watu wa kaskazini, iweje wewe 'wa kaskazini' uwe na bifu hivyo?
Kiukweli, sasa unaboa Mkuu. Kila siku Mbowe tu, WHY HIM ONLY?
Nani mfuasi?Acheni ujinga nyie mmeshaharibu nchi. Mark my words.Haya ndo tunayojiuliza huyo mbowe kawapa nini wafuasi wake kias ukihoji tu ni matusi?
anyway Mbowe must step down,wapinzani wengine waweze ku emerge....yaani kama 2020 atakuwepo CHADEMA itakuwa imekwisha kabisaa,sasa ni chaguo ni lake,kustep down chama kipate new politicians hivyo new directions,au ang'ang'anie chama kife kabisaa akose hata anachokipata sasa hivi...
Kikifa si ndiyo itakuwa furaha yenu CCM? Na kikifa kuna vingine vya kuireplace nra, udp, tlp n.k acheni kife tuanyway Mbowe must step down,wapinzani wengine waweze ku emerge....yaani kama 2020 atakuwepo CHADEMA itakuwa imekwisha kabisaa,sasa ni chaguo ni lake,kustep down chama kipate new politicians hivyo new directions,au ang'ang'anie chama kife kabisaa akose hata anachokipata sasa hivi...
Yes ni kweli kabisa Mbowe amesababisha bei ya cement imepaa vibaya sana.MBOWE NI MAJANGA WALAHI
Mbona wewe kila hoja unamtetea mbowe? Tunashangaa ipo.siku utahisishwa kujibu masuala fulani fulani Nina maana yangu keep my wordsMkuu Benson Mramba, maandiko yako ya kila siku yenye ladha ile ile kumhusu Mbowe yanalenga nini hasa?
Hata kama una hoja, tunakupuuza kwakuwa unaandika kama mwenye chuki Zaidi ya mwenye hoja. Jirekebishe Mkuu. Halafu, tunaaminishwa kuwa CHADEMA ni chama cha watu wa kaskazini, iweje wewe 'wa kaskazini' uwe na bifu hivyo?
Kiukweli, sasa unaboa Mkuu. Kila siku Mbowe tu, WHY HIM ONLY?
Mara nyingi namshangaa sana huyu jamaa anayejiita Benson Mramba na hizi tuhuma nzito nzito against Mbowe. Inakuwaje watu watekwe kwa maelekezo ya Mbowe tena toka enzi za Zito akiwa Chadema hadi leo hakuna hata mojawapo aliyeripoti polisi ili atua ichukuliwe? Huku wakiwa na uhakika mtekaji wao Mbowe?! Badala yake lijitu linalialia kila kukicha nyuma ya keyboard hapa JF? Anakera mno huyu.Polisi watumie taarifa kama hizi ili kupata undani wa mambo ya kimafia yanayofanywa na viongozi hawa.
Inawezekana kabisa kupotea kwa Ben Saanane kukawa ni KUSHUGHULIKIWA.
Vipi huyu anayemwandika kila siku, kumbe kuna option ya kuunga mkono. We unamwelewaje?. Halafu eti mbowe na maovu yote hayo bado anafaa kuwa Mwenyekiti kweli? Ukichukulia jinsi awamu hii haicheki na kima na huyu anatafuna tu ruzuku. Kwa nini asiwe segerea?Mbona wewe kila hoja unamtetea mbowe? Tunashangaa ipo.siku utahisishwa kujibu masuala fulani fulani Nina maana yangu keep my words
Ambazo hawezi kuzithibitisha. Kwanza mtu Kama huyu alipaswa kushitakiwa athibitishe bila Shaka yoyote.umempa tuhuma za kijinai....
Hatapewa, kwa akili hizi huyu hata ukatibu Kijiji hapewiUnataka ukurugenzi au ukuu wa wilaya mramba
Kama sio humu kwenye mihangaikohiyo bahati uitoe wapi