Mbowe anavyoshughulikia Wapinzani Wake Ndani ya Chama

Vijana kama hawa ndio wanageuza siasa kuwa Short Cut ya maisha, haamini ktk Political Ideology yoyote ila ni wale Wafia Tumbo.

Sasa hapo tayari ameshakatiwa kitu kidogo hata ufahamu amepoteza. Serikali hii inafanya hali iwe ngumu nchini kusudi vijana kama hawa wakitafutwa, wawe wa kufikia tu.

Yeye kama kweli yuko Chadema na haridhihiki si aseme basi kama ni hiyo Super Glue wambandulie kusudi aondoke aende kwa hao Pay Masters wake kuliko kusubiri kufukuzwa.
 
Siku moja watakuelewa tu, katoe ushahidi kabla hawajakushughulikia maana hawachelewi. Watamaliza wenzao hawa jamaa wakiendelea kuachwa.
 
Vijana kama hawa ndio wanageuza siasa kuwa Short Cut ya maisha, haamini ktk Political Ideology yoyote ila ni wale Wafia Tumbo.

Sasa hapo tayari ameshakatiwa kitu kidogo hata ufahamu amepoteza. Serikali hii inafanya hali iwe ngumu nchini kusudi vijana kama hawa wakitafutwa, wawe wa kufikia tu.

Yeye kama kweli yuko Chadema na haridhihiki si aseme basi kama ni hiyo Super Glue wambandulie kusudi aondoke aende kwa hao Pay Masters wake kuliko kusubiri kufukuzwa.
Wakiongea haya wa huko ufipani kuponda wa lumumba huwa ni kweli lkn ikiandikwa kuhusu ufipani vijana wana njaa.
 
Katika maisha yangu ndani ya CHADEMA nimewahi kusikia hili neno la NITAKUSHUGHULIKIA toka kwa Mbowe Mara kadhaa na kwa watu kadhaa na kwa kweli wote walioambiwa neno hili hawakuwa na mwisho mzuri ndani ya Chama. Nitataja wachache:-

1. Kafulila
Huyu baada ya kuambiwa neno hili alipata tabu sana. Alishawahi mpaka kuanguka ghorofani kwa hila hizi hizi. Mwishowe alifukuzwa kazi na hata wakati wa ubunge wake kwa tiketi ya NCCR bado CHADEMA iliendelea kupambana nae ili asistawi kisiasa

2. Zitto
Huyu sina haja ya kueleza sana. Kila mtu anajua alivyopachikwa sifa ya USALITI ambayo ilikuwa na lengo la kummaliza kisiasa kabisa. Alitaka kuwekewa sumu, alishakatiwa break za gari mara kadhaa, alishawekewe vijana wamdhuru, na mwishowe alifukuzwa uanachama. Kwa sababu wanajua walimzushia leo wameshirikiana nae kule Buyungu.

3. Ben Saanane

Huyu tuliondolewa nae pale makao makuu kwa hoja kuwa hatuaminiki na sisi ni watu wa Zitto pia ni wajeuri tunaringia usomi wetu. Kubaki kwetu makao makuu ingekuwa ni sawa kutengeneza akina Zitto wengine kwa miaka ya mbeleni.
Mimi nilikubali matokeo. Mwenzangu akamfuata Mbowe na kwenda kumtisha kuwa akiondolewa atatoa siri zote za mambo ambayo ameyafanya na Mbowe hususan katika kumshughulikia Zitto. (Saanane alishatuhumiwa kutaka kumuwekea sumu Zitto)

Mbowe akamuuliza unanitisha? Akamwambia usinitishe wewe jenga hoja tu. Mbowe akampa nafasi ya msaidizi binafsi (Personal assistant na mshahara mkubwa) Nafasi hii haipo kwenye structure ya Chama na tayari Mbowe alikuwa na wasaidizi wengine wanne na personal assistant wake alikuwa Mndeme ambaye alikuwa akilipwa na Bunge sio Chama. Baada ya kuona mwenzangu karudishwa kazini nikauliza kwa watu wa karibu na Mwenyekiti nikaambiwa aa huyo tutamshughulikia tu. Miezi miwili baadae nikasikia Saanane kapotea tena akitokea South Africa kumwakilisha Mwenyekiti nikajua habari imeishia hapo. MTU ulikuwa hupendwi hata kidogo leo unatumwa South Africa lazima kuna hila. Ukweli ni kuwa katika watu waliokuwa hawapendwi pale Makao Makuu na Wakurugenzi wote ni Ben Saanane Mimi nilikuwa na afadhali mara 100.

Mbowe hapendi kuzungumzia swala la Saanane na wachache niliowasikia wakilizungumzia bungeni ndio walikuwa maadui zake wakubwa Lema na Selasini na wote hawa ni watoto wa Mbowe.

4. Msafiri Mtemelwa

Huyu alikuwa ndio Mwl wa Zitto Kabwe. Huyu aliambiwa wazi wazi kabisa na Mbowe kuwa ukiendelea nitakushughulikia nje ya siasa na nje ya Chama. Uhasama ulivyozidi aliamua kuacha kazi mwenyewe na kuondoka baadae akajiunga ACT. Mtemelwa alikuwa mwenyekiti wa vijana wa NCCR mageuzi iliyokuwa na nguvu wakati huo hivyo anajua matokeo ya uhasama.

5. Mtela Mwampamba, Adam Chagulani, Juliana Shonza, Habibu Mchange, Daniel Yona n.k

Hawa wote walipata msukosuko mkali ndani ya Chama. Wengine kama Yona walitekwa na kupigwa vibaya na hatimae kutupwa ununio kule. Wengine walifukuzwa, wengine walikimbia wenyewe .

6. Mimi Mwenyewe

Baada ya kuanza kuandika mambo ya Mbowe kwenye group la viongozi wakuu iliazimiwa Tume inishughulikie maana naongea sana. Majadiliano ninayo. Mwenyekiti Mbowe aliingilia kati na kusema mambo ya usalama yasijadiliwe pale ila wataona namna bora ya kudeal na Mimi. Baadae John Mrema aliwahi kunipigia simu na kunionya kuwa wameshanivumilia sana. Haikuishia hapo akamtuma mkewe kwa mama yangu anionye kuwa anaweza kunipoteza ila sijakoma. Nawasubiria.

Aidhaa wabunge kadhaa marafiki zangu wameshanionya sana maana wanamjua Mbowe na mambo yake. Ila nimekuwa nawajibu Demokrasia maana yake ndio hiyo sio tunamlalamikia Magufuli kumbe sisi wenyewe ndio waminyaji wakubwa wa demokrasia.

7. Lissu

Mimi nimekuwa katika vuguvugu la kutaka mabadiliko ya uongozi ndani ya Chama tangu 2009 ambapo nilikuwa namuunga mkono kafulila kuwa Mwenyekiti wa Vijana wa Chama dhidi ya John Heche aliyekuwa anaungwa mkono na Mbowe.

Katika Uchaguzi wa mwaka huu nilikuwa na niko timu yoyote inayompinga Mbowe. Kabla Lissu hajashambuliwa niliongea na kiongozi mmoja ya Kanda kumshawishi kuwa tumuunge mkono Lissu maana ndio anaweza kupambana na Magufuli. Yule Bwana ni Timu Mbowe akaniambia huyo Lissu tutamshughulikia hataamini. Heee haikuisha wiki au wiki mbili risasi.

Mimi nikajiuliza kwanini ashambuliwa wakati wa ripoti ya makinikia? Magufuli angetaka ripoti ndio iwe habari lakini ishu ya Lissu ikaja kama destructor nikaona oooo yale yaleeee!

8. Waitara

Nae juzi kwenye kipindi cha 360 cha Clouds FM kasema alionywa atashughulikiwa kwa sababu alikuwa anamuunga mkono Lissu. Waitara kama Mbunge ameamua kukimbia mapema maana anamjua Mbowe vizuri. Alinusurika kwenye ule waraka wa mkakati wa mabadiliko maana yeye na Mimi ndio tuliotuhumiwa kuwa ni M2 ila ushahidi ulikosekana. (Mpaka kesho naunga mkono waraka ule. Bado unaishi)

Hitimisho

Mbowe anaposema NITAKUSHUGHULIKIA basi jua ni kisiasa na Kimafia. Mbowe ameshatesa, amewatweza, kuwadhalilisha wengi. Haheshimu katiba ya nchi hata kidogo. Sasa ni zamu ya Kubenea, Komu, Lissu, Lwakatare na wabunge kadhaa wa majimbo kushughulikiwa. Ni ama waache siasa au watahama na wenyewe.

Wakati Fulani nilisema bila Magufuli kumdhibiti Mbowe Wanachadema hawatamuweza na wameshamshindwa. Serikali inapaswa kuingilia kati kama ilivyofanya TFF, Simba, Yanga na kwenye Vyama vya Ushirika. Vyama vya siasa kwa mujibu wa sheria ni Mali ya Umma.

Haya ni ya kweli niko tayari kuyasema hata chini ya kiapo.
Kwanini hukuyasema wakati ule ule acha uongo
 
Vibwagizo hivyo hivyo kila kukicha. Hivi kinachokuzuia kwenda kwenye vyombo vya dola ni nini?
Umebaki kubwabwaja tu kama alivyokuwa Mwigulu. Mpaka anatemwa hakuweza kutoa huo ushahidi, si mbinguni wala hapa duniani kama alivyoahidi kwa mbwembwe.
 
Kwa mtu mwenye kuona mbali atajua wew una bifu na maneno mengi yamekaa kichuki ni vigumu kuayaamini. Any way time will tell.
 
Mzee wa mipasho kma shangingi wa manzese kwa mfuga mbwa,mbowe sio size yko humuwezi kwa vyote kuanzia akili,uwezo etc,mwenyekiti wko pamoja n phd feki yke kamshindwa mbowe sembuse wewe mrombo njaa kali.
Siasa huwezi pambana kma warombo wenzako ufungue genge la vyakula
Jibu hoja kwa fact sio matusi na kejeli mkuu
 
Mzee wa mipasho kma shangingi wa manzese kwa mfuga mbwa,mbowe sio size yko humuwezi kwa vyote kuanzia akili,uwezo etc,mwenyekiti wko pamoja n phd feki yke kamshindwa mbowe sembuse wewe mrombo njaa kali.
Siasa huwezi pambana kma warombo wenzako ufungue genge la vyakula
Sema huyu ISIS hanaga hoja , achana naye huyo kila siku ni utumbo tu
 
Yaaan siku hizi ukisema kuhusu CHADEMA unaitwa CCM.Ukija na hoja mahsusi kuhusu CCM we utaitwa CHADEMA sasa sijuwi uwezo wetu wa kufikiri ki hoja ndo umeishia hapa
Ni tatizo hata mimi ninaliona ingawa si mwana CCM wala Mwana Chadema ,mimi ni muumini wa siasa za mageuzi na kupinga udhalimu , mi si muumini wa siasa za kushikiwa akili na mtu ( Fanatic politics) , hii si nzuri na ndicho kinachwasumbua wafuasi wengi wa CCM aka lumumbas na Chadema , badala ya huu uzi kutumika kujadili na kujenga hoja uneshageuka kuwa wa matusi ya nguoni
 
Katika maisha yangu ndani ya CHADEMA nimewahi kusikia hili neno la NITAKUSHUGHULIKIA toka kwa Mbowe Mara kadhaa na kwa watu kadhaa na kwa kweli wote walioambiwa neno hili hawakuwa na mwisho mzuri ndani ya Chama. Nitataja wachache:-

1. Kafulila
Huyu baada ya kuambiwa neno hili alipata tabu sana. Alishawahi mpaka kuanguka ghorofani kwa hila hizi hizi. Mwishowe alifukuzwa kazi na hata wakati wa ubunge wake kwa tiketi ya NCCR bado CHADEMA iliendelea kupambana nae ili asistawi kisiasa

2. Zitto
Huyu sina haja ya kueleza sana. Kila mtu anajua alivyopachikwa sifa ya USALITI ambayo ilikuwa na lengo la kummaliza kisiasa kabisa. Alitaka kuwekewa sumu, alishakatiwa break za gari mara kadhaa, alishawekewe vijana wamdhuru, na mwishowe alifukuzwa uanachama. Kwa sababu wanajua walimzushia leo wameshirikiana nae kule Buyungu.

3. Ben Saanane

Huyu tuliondolewa nae pale makao makuu kwa hoja kuwa hatuaminiki na sisi ni watu wa Zitto pia ni wajeuri tunaringia usomi wetu. Kubaki kwetu makao makuu ingekuwa ni sawa kutengeneza akina Zitto wengine kwa miaka ya mbeleni.
Mimi nilikubali matokeo. Mwenzangu akamfuata Mbowe na kwenda kumtisha kuwa akiondolewa atatoa siri zote za mambo ambayo ameyafanya na Mbowe hususan katika kumshughulikia Zitto. (Saanane alishatuhumiwa kutaka kumuwekea sumu Zitto)

Mbowe akamuuliza unanitisha? Akamwambia usinitishe wewe jenga hoja tu. Mbowe akampa nafasi ya msaidizi binafsi (Personal assistant na mshahara mkubwa) Nafasi hii haipo kwenye structure ya Chama na tayari Mbowe alikuwa na wasaidizi wengine wanne na personal assistant wake alikuwa Mndeme ambaye alikuwa akilipwa na Bunge sio Chama. Baada ya kuona mwenzangu karudishwa kazini nikauliza kwa watu wa karibu na Mwenyekiti nikaambiwa aa huyo tutamshughulikia tu. Miezi miwili baadae nikasikia Saanane kapotea tena akitokea South Africa kumwakilisha Mwenyekiti nikajua habari imeishia hapo. MTU ulikuwa hupendwi hata kidogo leo unatumwa South Africa lazima kuna hila. Ukweli ni kuwa katika watu waliokuwa hawapendwi pale Makao Makuu na Wakurugenzi wote ni Ben Saanane Mimi nilikuwa na afadhali mara 100.

Mbowe hapendi kuzungumzia swala la Saanane na wachache niliowasikia wakilizungumzia bungeni ndio walikuwa maadui zake wakubwa Lema na Selasini na wote hawa ni watoto wa Mbowe.

4. Msafiri Mtemelwa

Huyu alikuwa ndio Mwl wa Zitto Kabwe. Huyu aliambiwa wazi wazi kabisa na Mbowe kuwa ukiendelea nitakushughulikia nje ya siasa na nje ya Chama. Uhasama ulivyozidi aliamua kuacha kazi mwenyewe na kuondoka baadae akajiunga ACT. Mtemelwa alikuwa mwenyekiti wa vijana wa NCCR mageuzi iliyokuwa na nguvu wakati huo hivyo anajua matokeo ya uhasama.

5. Mtela Mwampamba, Adam Chagulani, Juliana Shonza, Habibu Mchange, Daniel Yona n.k

Hawa wote walipata msukosuko mkali ndani ya Chama. Wengine kama Yona walitekwa na kupigwa vibaya na hatimae kutupwa ununio kule. Wengine walifukuzwa, wengine walikimbia wenyewe .

6. Mimi Mwenyewe

Baada ya kuanza kuandika mambo ya Mbowe kwenye group la viongozi wakuu iliazimiwa Tume inishughulikie maana naongea sana. Majadiliano ninayo. Mwenyekiti Mbowe aliingilia kati na kusema mambo ya usalama yasijadiliwe pale ila wataona namna bora ya kudeal na Mimi. Baadae John Mrema aliwahi kunipigia simu na kunionya kuwa wameshanivumilia sana. Haikuishia hapo akamtuma mkewe kwa mama yangu anionye kuwa anaweza kunipoteza ila sijakoma. Nawasubiria.

Aidhaa wabunge kadhaa marafiki zangu wameshanionya sana maana wanamjua Mbowe na mambo yake. Ila nimekuwa nawajibu Demokrasia maana yake ndio hiyo sio tunamlalamikia Magufuli kumbe sisi wenyewe ndio waminyaji wakubwa wa demokrasia.

7. Lissu

Mimi nimekuwa katika vuguvugu la kutaka mabadiliko ya uongozi ndani ya Chama tangu 2009 ambapo nilikuwa namuunga mkono kafulila kuwa Mwenyekiti wa Vijana wa Chama dhidi ya John Heche aliyekuwa anaungwa mkono na Mbowe.

Katika Uchaguzi wa mwaka huu nilikuwa na niko timu yoyote inayompinga Mbowe. Kabla Lissu hajashambuliwa niliongea na kiongozi mmoja ya Kanda kumshawishi kuwa tumuunge mkono Lissu maana ndio anaweza kupambana na Magufuli. Yule Bwana ni Timu Mbowe akaniambia huyo Lissu tutamshughulikia hataamini. Heee haikuisha wiki au wiki mbili risasi.

Mimi nikajiuliza kwanini ashambuliwa wakati wa ripoti ya makinikia? Magufuli angetaka ripoti ndio iwe habari lakini ishu ya Lissu ikaja kama destructor nikaona oooo yale yaleeee!

8. Waitara

Nae juzi kwenye kipindi cha 360 cha Clouds FM kasema alionywa atashughulikiwa kwa sababu alikuwa anamuunga mkono Lissu. Waitara kama Mbunge ameamua kukimbia mapema maana anamjua Mbowe vizuri. Alinusurika kwenye ule waraka wa mkakati wa mabadiliko maana yeye na Mimi ndio tuliotuhumiwa kuwa ni M2 ila ushahidi ulikosekana. (Mpaka kesho naunga mkono waraka ule. Bado unaishi)

Hitimisho

Mbowe anaposema NITAKUSHUGHULIKIA basi jua ni kisiasa na Kimafia. Mbowe ameshatesa, amewatweza, kuwadhalilisha wengi. Haheshimu katiba ya nchi hata kidogo. Sasa ni zamu ya Kubenea, Komu, Lissu, Lwakatare na wabunge kadhaa wa majimbo kushughulikiwa. Ni ama waache siasa au watahama na wenyewe.

Wakati Fulani nilisema bila Magufuli kumdhibiti Mbowe Wanachadema hawatamuweza na wameshamshindwa. Serikali inapaswa kuingilia kati kama ilivyofanya TFF, Simba, Yanga na kwenye Vyama vya Ushirika. Vyama vya siasa kwa mujibu wa sheria ni Mali ya Umma.

Haya ni ya kweli niko tayari kuyasema hata chini ya kiapo.
kwani nafasi za uteuzi hazijaisha bado maana naona kijana wetu anahangaika kweli daaah adui muombee njaa
 
44399639_1933644066712045_2867657330332270592_n.jpg

mwenyekiti wa kudumu huyu wa ufipa
 
Heri mimi sijasema
Wanasiasa huwa siwaamini kwa 90% kwa sababu ni
  1. Waongo
  2. Wachonganishi
  3. Matapeli
  4. Wanafiki
  5. Wauaji
  6. Watekaji
  7. Walipiza visasi
  8. Wenye tamaa
Listi inaendelea

Iwe ni Mbowe au Mtoa hoja woote wameoza kwa sababu ya uchu wa madaraka na tamaa za utajiri wa haraka haraka na ndio maana wanahujumu rasilimali za watu na kuwatoa watu uhai
 
  • Thanks
Reactions: K11
Katika maisha yangu ndani ya CHADEMA nimewahi kusikia hili neno la NITAKUSHUGHULIKIA toka kwa Mbowe Mara kadhaa na kwa watu kadhaa na kwa kweli wote walioambiwa neno hili hawakuwa na mwisho mzuri ndani ya Chama. Nitataja wachache:-

1. Kafulila
Huyu baada ya kuambiwa neno hili alipata tabu sana. Alishawahi mpaka kuanguka ghorofani kwa hila hizi hizi. Mwishowe alifukuzwa kazi na hata wakati wa ubunge wake kwa tiketi ya NCCR bado CHADEMA iliendelea kupambana nae ili asistawi kisiasa

2. Zitto
Huyu sina haja ya kueleza sana. Kila mtu anajua alivyopachikwa sifa ya USALITI ambayo ilikuwa na lengo la kummaliza kisiasa kabisa. Alitaka kuwekewa sumu, alishakatiwa break za gari mara kadhaa, alishawekewe vijana wamdhuru, na mwishowe alifukuzwa uanachama. Kwa sababu wanajua walimzushia leo wameshirikiana nae kule Buyungu.

3. Ben Saanane

Huyu tuliondolewa nae pale makao makuu kwa hoja kuwa hatuaminiki na sisi ni watu wa Zitto pia ni wajeuri tunaringia usomi wetu. Kubaki kwetu makao makuu ingekuwa ni sawa kutengeneza akina Zitto wengine kwa miaka ya mbeleni.
Mimi nilikubali matokeo. Mwenzangu akamfuata Mbowe na kwenda kumtisha kuwa akiondolewa atatoa siri zote za mambo ambayo ameyafanya na Mbowe hususan katika kumshughulikia Zitto. (Saanane alishatuhumiwa kutaka kumuwekea sumu Zitto)

Mbowe akamuuliza unanitisha? Akamwambia usinitishe wewe jenga hoja tu. Mbowe akampa nafasi ya msaidizi binafsi (Personal assistant na mshahara mkubwa) Nafasi hii haipo kwenye structure ya Chama na tayari Mbowe alikuwa na wasaidizi wengine wanne na personal assistant wake alikuwa Mndeme ambaye alikuwa akilipwa na Bunge sio Chama. Baada ya kuona mwenzangu karudishwa kazini nikauliza kwa watu wa karibu na Mwenyekiti nikaambiwa aa huyo tutamshughulikia tu. Miezi miwili baadae nikasikia Saanane kapotea tena akitokea South Africa kumwakilisha Mwenyekiti nikajua habari imeishia hapo. MTU ulikuwa hupendwi hata kidogo leo unatumwa South Africa lazima kuna hila. Ukweli ni kuwa katika watu waliokuwa hawapendwi pale Makao Makuu na Wakurugenzi wote ni Ben Saanane Mimi nilikuwa na afadhali mara 100.

Mbowe hapendi kuzungumzia swala la Saanane na wachache niliowasikia wakilizungumzia bungeni ndio walikuwa maadui zake wakubwa Lema na Selasini na wote hawa ni watoto wa Mbowe.

4. Msafiri Mtemelwa

Huyu alikuwa ndio Mwl wa Zitto Kabwe. Huyu aliambiwa wazi wazi kabisa na Mbowe kuwa ukiendelea nitakushughulikia nje ya siasa na nje ya Chama. Uhasama ulivyozidi aliamua kuacha kazi mwenyewe na kuondoka baadae akajiunga ACT. Mtemelwa alikuwa mwenyekiti wa vijana wa NCCR mageuzi iliyokuwa na nguvu wakati huo hivyo anajua matokeo ya uhasama.

5. Mtela Mwampamba, Adam Chagulani, Juliana Shonza, Habibu Mchange, Daniel Yona n.k

Hawa wote walipata msukosuko mkali ndani ya Chama. Wengine kama Yona walitekwa na kupigwa vibaya na hatimae kutupwa ununio kule. Wengine walifukuzwa, wengine walikimbia wenyewe .

6. Mimi Mwenyewe

Baada ya kuanza kuandika mambo ya Mbowe kwenye group la viongozi wakuu iliazimiwa Tume inishughulikie maana naongea sana. Majadiliano ninayo. Mwenyekiti Mbowe aliingilia kati na kusema mambo ya usalama yasijadiliwe pale ila wataona namna bora ya kudeal na Mimi. Baadae John Mrema aliwahi kunipigia simu na kunionya kuwa wameshanivumilia sana. Haikuishia hapo akamtuma mkewe kwa mama yangu anionye kuwa anaweza kunipoteza ila sijakoma. Nawasubiria.

Aidhaa wabunge kadhaa marafiki zangu wameshanionya sana maana wanamjua Mbowe na mambo yake. Ila nimekuwa nawajibu Demokrasia maana yake ndio hiyo sio tunamlalamikia Magufuli kumbe sisi wenyewe ndio waminyaji wakubwa wa demokrasia.

7. Lissu

Mimi nimekuwa katika vuguvugu la kutaka mabadiliko ya uongozi ndani ya Chama tangu 2009 ambapo nilikuwa namuunga mkono kafulila kuwa Mwenyekiti wa Vijana wa Chama dhidi ya John Heche aliyekuwa anaungwa mkono na Mbowe.

Katika Uchaguzi wa mwaka huu nilikuwa na niko timu yoyote inayompinga Mbowe. Kabla Lissu hajashambuliwa niliongea na kiongozi mmoja ya Kanda kumshawishi kuwa tumuunge mkono Lissu maana ndio anaweza kupambana na Magufuli. Yule Bwana ni Timu Mbowe akaniambia huyo Lissu tutamshughulikia hataamini. Heee haikuisha wiki au wiki mbili risasi.

Mimi nikajiuliza kwanini ashambuliwa wakati wa ripoti ya makinikia? Magufuli angetaka ripoti ndio iwe habari lakini ishu ya Lissu ikaja kama destructor nikaona oooo yale yaleeee!

8. Waitara

Nae juzi kwenye kipindi cha 360 cha Clouds FM kasema alionywa atashughulikiwa kwa sababu alikuwa anamuunga mkono Lissu. Waitara kama Mbunge ameamua kukimbia mapema maana anamjua Mbowe vizuri. Alinusurika kwenye ule waraka wa mkakati wa mabadiliko maana yeye na Mimi ndio tuliotuhumiwa kuwa ni M2 ila ushahidi ulikosekana. (Mpaka kesho naunga mkono waraka ule. Bado unaishi)

Hitimisho

Mbowe anaposema NITAKUSHUGHULIKIA basi jua ni kisiasa na Kimafia. Mbowe ameshatesa, amewatweza, kuwadhalilisha wengi. Haheshimu katiba ya nchi hata kidogo. Sasa ni zamu ya Kubenea, Komu, Lissu, Lwakatare na wabunge kadhaa wa majimbo kushughulikiwa. Ni ama waache siasa au watahama na wenyewe.

Wakati Fulani nilisema bila Magufuli kumdhibiti Mbowe Wanachadema hawatamuweza na wameshamshindwa. Serikali inapaswa kuingilia kati kama ilivyofanya TFF, Simba, Yanga na kwenye Vyama vya Ushirika. Vyama vya siasa kwa mujibu wa sheria ni Mali ya Umma.

Haya ni ya kweli niko tayari kuyasema hata chini ya kiapo.
Aiseè
 
Back
Top Bottom