Na TISSccm wamemshindwa pamoja na jeshi la bashite(la wasiojulikana) wamemshindwa, hapa kuna la kulifikiria zaidi.basi mbowe ni jeshi la mtu mmoja hata policcm wamemshindwa kweli!!
Kama hao anaowachimba mkwara ndo wanatoa siri unajuaje na kwanini jamaa asijue?Huu ni uwongo mkubwa. Huwezi ukawa unajua hata walichoongea watu wawili eti mbowe alimwambia Saanane unanichimba mkwara? Huku wewe haupo. Muda wote mbowe akiongea nao unakuwaga upo mfukoni kwake au?
Na TISSccm wamemshindwa pamoja na jeshi la bashite(la wasiojulikana) wamemshindwa, hapa kuna la kulifikiria zaidi.
BTW ninaamini katika kuchafuana kisiasa. Huku ni kuchafuana kuliko kujenga hoja. Kuna kamati ya maadili, na kuna baraza la wazee CDM. Hata hivyo kuna polisi ambao wako kinyume na Mbowe angeweza kwenda kufungua jalada BURE na kuwaongezea kesi kwenye yale mashtaka 400 yawe 401.
Hapa inamuonesha Mbowe katika sura mbili. Mbowe anashika mitutu yeye mwenyewe kwenda kuangamiza[emoji5] au ana kikundi chake[emoji5]! Nani anawapa silaha? Sisiem imemshindwa Mbowe mpaka kumchafua kupitia akina waitara na uyo Ben?
AS FOR ME; Mimi naona Mbowe aendelee kushika nafasi hiyo mpaka afe tu, mtu kama waitara umpe cheo cha M/kiti wakati alitokea ccm, mamluki ni zaidi ya waitara. Cheo cha uenyekiti CDM sio cha serikali haina haja ya kubadilisha na kuwaweka wapuuzi mfano wa Lipumba, CDM itakuwa imefia hapo. HAWA WATU WANAOLIALIA UENYEKITI NAO SIO BURE.
NB: Mm si CCM wala CDM, Mm ni kunguru nnaeangalia vita ya panzi na kuwaona kwa mbali tena kwa ufanisi mzuri kuliko shabiki au mwanachama.
Nina mashaka na usalama wa taifa.
Hili lote, kwa kiasi kikubwa ni jukwaa la maoni "binafsi"!Haya ni maoni yako binafsi!
Huyu dogo si aende akatoe taarifa polisi, sheria ichukue mkondo wake!!Amesema hayo ni ya kweli na yupo tayari kuyasema chini ya kiapo, washauri wanaohusika wachukue hatua!
MUNGU hawezi kufurahia wala kupokea zaka na sadaka za udhalimu. Hizo akanywee pombe tu au ahongee wanaohongeka!Unacholipwa lumumba uwe unakumbuka kutoa asilimia kumi ya zaka na sadaka.
Huyu dogo si aende akatoe taarifa polisi, sheria ichukue mkondo wake!!
Wale wale wa kaskazini kwenu huko..Mkuu Benson Mramba, maandiko yako ya kila siku yenye ladha ile ile kumhusu Mbowe yanalenga nini hasa?
Hata kama una hoja, tunakupuuza kwakuwa unaandika kama mwenye chuki Zaidi ya mwenye hoja. Jirekebishe Mkuu. Halafu, tunaaminishwa kuwa CHADEMA ni chama cha watu wa kaskazini, iweje wewe 'wa kaskazini' uwe na bifu hivyo?
Kiukweli, sasa unaboa Mkuu. Kila siku Mbowe tu, WHY HIM ONLY?
Aliyekuaminisha kuwa Mselewa ni wa kaskazini amekupotosha na anakucheka ujingaWale wale wa kaskazini kwenu huko..
Yale yale ya Mwigulu, 'ninao ushahidi wa duniani hadi mbinguni' sasa hivi anazuzura kama ...... koko, hana uelekeoHaya ni ya kweli niko tayari kuyasema hata chini ya kiapo
Mtu mzima hovyoooo. Matusi yanakutoka utafikiri umebanwa na haja kubwa katika foleni ya choo cha Jiji.Pumba,,,,, .fu