Gwalihenzi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 5,125
- 1,301
Kama ulisikiliza hotuba ya Pinda jana usingesema haya!Mm naona anaenda nje ya hoja za msingi na hii ndio tatizo la mbowe masuala ya bunge la katiba ni kule kule c huku hapa tunataka alete nondo za maana,ninacho kiona hapa malumbano matupu tuu
mkuu wahii hospital una dalili za gonjwa la denge
Wakazi wa Mbagala wanahitaji kuwa wilaya kama UKAWA wanavyoihitaji Tanganyika. Mbowe kawakejeli. Haoni kuwa anajikejeli na yeye mwenyewe?
Jana waziri mkuu aliwasilisha budget yake. Sasa leo ni zamu ya Mbowe kuwasilisha budget mbadala. Vitu vyote anavyo ongea vinasimamiwa na ofisi ya waziri mkuu. So hajatoka nje ya mada. Yuko sahihi.
CCM tunaweza kufanya jambo bila nyie mburulaz wa upinzani. Ila Nyie Hamuwezi kufanya jambo bila ya serikali ya CCM
Unajua ukizoea kukejeli, basi uvumilie na kukejeliwa. Mbowe anawakejeli watu wa Mbagala ila alivyokejeliwa yeye na Warioba wake wakasusa bungeKwa hiyo na wewe unajikejeli mwenyewe unapomkejeli Mh Warioba na sisi wananchi tunaotaka Taifa letu la Tanganyika?
Great thinkers wapya hao wasikupe shida, ndo kwanza wanaanza kufuatilia bunge.
Sawa nimukapataBudget inaendana na sera sasa yeye yuko kwenye sera kwanza na ubovu wake.
Sent from my iPad using JamiiForums
Dah! Mkuu, ndo umeandika nini? Kuna wabunge wa UKAWA unawalenga kwa kauli yako hiyo. Wengine ni wanaume lakini wamehiari kuwa wanawakeKuna majitu yamegeuza midomo yao kuwa sehemu ya mwisho ya utumbo mpana.
budget ya offisi ya waziri mkuu inahusisha udget ya uandaaji wa katiba. KATIBA! mwana siasa makini akifikishwa hapo anatake advantage na kusema yote! We hujiulizi kwa nini spika amwachie tu aendelee kama anatoka nje ya hoja?
Humu ndani kunakunguni wengi sana! Mtoa post Katiba inazungumziwa Bungeni kwasababu bajeti husika haiwezi kupitishwa mahala pengine isipokuwa Bungeni pekee.
BACK TANGANYIKA
Huyu naye awe Waziri Kamili! Kwanza huyu Silinde yumo kwenye list ya Mawaziri kivuli watakaotemwa
Naishi Mtaa wa Kibulang'oma, Kata ya Lizaboni, Wilaya na Manispaa ya Songea Mjini, Mkoa wa Ruvuma, nchi ya Tanzania
Dah! Mkuu, ndo umeandika nini? Kuna wabunge wa UKAWA unawalenga kwa kauli yako hiyo. Wengine ni wanaume lakini wamehiari kuwa wanawake
Anamchana Kikwete na Ccm kwanba ktk kundi la 201 ameteua wajumbe 161 ambao ni makada na viongozi wa Ccm.
Anasema bajeti ya mchakato wa katiba haiawahi kujulikana bungeni ktk bajeti ya mwaka jana na hii.
Anasema UKAWA hawatarejea kushiriki kupitisha hila za Ccm.
Updates: Anamchana makamu wa pili wa Zanzibar kwa maneno yake kwamba Jussa si raia kwa vile ana asiri ya kihindi.
Anasema Ccm wanaendeleza kauli za kibaguzi na matusi kwa viongozi wa upinzani bila kujali nchi inaweza kuingia kwenye machafuko
Updates: Anatabiri nchi kuingia kwenye machafuko mwakani ikiwa uchaguzi utafanyika chini ya katiba hii.
Amemaliza anakuja Silinde
Anasema hawatakubali daftari jipya kama halitawashirikisha kutoa maoni yao.
Updates: Anasema pamoja na Waziri mkuu kulitangazia taifa kutofanyika mwaka huu kambi ya upinzani inajua kwamba maandalizi ya uchaguzi unaendelea.
Updates:
Anasema tume ya uchaguzi inashirikiana na Ccm kuhujumu wananchi kukosa haki ya kupiga kura.
Anasema Ccm inasajiri wapiga kura kwa kificho na inafanywa na mabalozi wa Ccm wala si NIDA au tume ya uchaguzi
Updates:
Anasema kuna mchakato unaendelea wa Biometric na mpango huo ni wa kifisadi maana unafanywa na vigogo wa serikali na familia zao
Updates:
Kuna hali ya hatari ilitangazwa Mtwara na haikutangazwa na rais na inawabana wapinzani kufanya siasa huko lakini Ccm inaruhusiwa!
Anasema Ccm wanasema serikali 3 ni gharama wanataka kutangaza kata ya Mbagala kuwa Wilaya!
Updates: Anaichana TBC kwa kukutisha matangazo wakati Lissu akisoma maoni ya wachache BMK. Anasema wana taarifa waziri wa habari ndo alitoa amri ya kukatisha matangazo
Upadets:
Anamchana Muhongo kwa kauli yake kwamba watanzania wanapaswa kuwekeza kwenye juice kwamba ni kauli ya dharau na alipaswa kuwajibishwa.
ndg usipoteze muda kulumbana na mjinga,utaumiza kichwa bureeeeyaani hauoni cha maana anachozungumza? we ile budget yote ya Bunge maalum la Katiba kumbe hata haija idhinishwa na Bunge la JMT, gharama kubwa lakini hakuna kinachofanyika, mabilioni ya hela mengi yanapotea bila hata ya budget...
au we hoja zako za msingi ni zipi?