Mbowe anapaswa kubeba lawama ndio chanzo cha yanayoendelea CHADEMA

MAHANJU

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
5,255
Reaction score
8,027
Bonjour wanabodi!

MBOWE CHANZO CHA YANAYOENDELEA CHADEMA.

Pamoja na miaka yote aliyoifumia kukijenga CHADEMA kwa jasho na damu ingawa si peke yake maana kuna ambao walipoteza maisha, wapo waliopotezwa mpaka sasa hawajulikani walipo, wapo walioumizwa sana na kuachiwa vilema vya kudumu hadi leo.

Yeye alikua kiongozi mkuu wa chama aliyeongoza jahazi kwenye mapambano dhidi ya CCM ingawa alishafikia Compromise (kulamba asali) kwa lugha laini ya 4Rs. Mzee Baba alikuwa mtu wa kelele nyingi, watawala ikimuita wayamalize analegea analamba halua anatulia huku nje utamsikia "No hate, No fear".

KWANINI MBOWE ANASTAHILI LAWAMA?

•Hakuna asiyejua vuguvugu la hawa G-55 kuondoka CHADEMA chanzo ni Uchaguzi ndani ya chama ambapo kundi la Waliokua wakimuunga mkono Mbowe baada ya kushindwa kuamua kutokwenda pamoja na uongozi uliopo chini ya Mwenyekiti mpya Wakili Tundu Lissu.

•Mh Mbowe alijua kabisa mwaka 2024 ilikua lazima kuwepo na Uchaguzi wa ndani ya Chama, kama mwenyekiti alipaswa kufanya maandalizi mapema. Nia ya yeye kugombea au kutogombea ilitakiwa ijulikane na mifumo ya ndani ya taasisi.

Hii ni kutokana na nguvu yake ndani ya chama na ambaye angejitokeza kugombea naye ikiwa naye ana nguvu, maana yake ni lazima yangetokea makundi mawili ndani ya chama. Kama kweli Mwamba ana akili na kama alikua na dhamira yakweli ya kukijenga chama alipaswa alijue hili mapema ili kukilinda chama.

MBOWE Vs LISSU KABLA YA UCHAGUZI WA CHAMA.

•Sote tunakumbuka jinsi yalivyoibuka mashambulio makali baina ya magwiji hawa wawili wa kisiasa kupitia media mbalimbali kabla ya uchaguzi kwa maana ya kampeni kwa kila upande. Kama siyo wao wenyewe kushambuliana basi ni makundi yao ya ushawishi ndani ya chama yalishambuliana. Katika hali ya kawaida, baada ya uchaguzi ilikua ni lazima uhasama na visasi viendelee ikiwa tahadhari haitachukuliwa mapema na wajibu huu ulikua ni wa mwenyekiti mwemye na baraza lake la wazee wa kumshauri.

Unaweza kuhisi ni uzembe wa uongozi uliopo kushindwa kuyaweka makundi haya pamoja lakini si kazi rahisi hivyo kwa jinsi walivyojeruhiana, ni kazi ambayo pengine ingechukua hata mwaka mzima kukaa sawa. Imagine Uchaguzi umeisha tar 22/01/2025 kisha baada ya miezi 3 baadaye Chief Comforter wa Chama ambaye ni mwenyekiti akakamatwa kwa kesi kubwa ya uhaini, hapo hapo agenda NRNE inahitaji kutembea, mabadiliko ya mifumo ya uendeshaji ndani ya chama yaendane na uongozi mpya yalihitajika. Hivyo kuzuia hili kundi lililoshindwa kuanza kuonesha hisia zake mapema hivi isingewezekana. Kumlaumu Mhe Lissu ni kosa kubwa sana labda uwe na akili ya kulimia bamia na mchicha tu.

BADO NAMLAUMU MBOWE

•Mhe Mbowe mpaka miezi 3 kabla ya Uchaguzi alikua bado hajaonesha nia ya kurudi kugombea tena nafasi hii ya juu ya uenyekiti wa Chama lakini aliyekua Makamu wake Mh Lissu alikua ameshaonesha nia ya kugombea tena nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Chama. Hii hali ya ukimya wa Mbowe hata alipoulizwa hakujibu ulikua Ujuha na usaliti wa hali ya juu ndani ya chama.

Ilikua lazima Watu makini ndani ya Chama waanze kujiuliza ikiwa Mwamba hatagombea anayekuja kugombea ni nani? Ana ushawishi ndani ya chama? Falsafa na tamaduni za chama ameiva nazo? Kwa sababu ndani ya CHADEMA ukimtoa Mhe Mbowe kwenye Ushawishi anayefuata ni Mhe Lissu. Hii hali pia ilipelekea watu kuanza kumfikiria Lissu ikiwa Mbowe hatagombea na walianza kujijengea hivyo mapema na ndio maana haikua ngumu kumshawishi agombee baadaye hata Mbowe aliposema familia yake imemshauri agombee.

•Ikumbukwe kuna hadi viongozi wa dini walihusika kuwakutanisha hawa mafahali wawili ili mmoja wao agombee uenyekiti na mwingine baadaye Urais wa nchi hapo baadaye. Lakini Mbowe alikataa kata kata kuonesha nia yake ya kugombea either nafasi ya uwenyekiti ndani ya chama au Urais baadaye. Muda huu wote Mhe Lissu alikua tayari kwa nafasi yeyote ambayo mwenyekiti Mbowe hataigombea, tatizo Mbowe hakua muwazi na ndiko ugumu wa mambo ulipoanza na ndio matokeo yake haya yanayoendelea leo kwenye Chama. Hivi kwa hali hii alaumiwe Lissu kwa lipi kama si Mbowe?

•Katika mgawanyiko wowote unapotokea ndipo adui hupenyeza, hapa ndio paliikuwa patamu kwa CCM kujipigia wanavyotaka.Wewe umekutwa upo katika hali ya majonzi ya kushindwa unapoozwa unapewa pole ya pesa, unaahidiwa cheo na maisha mazuri baadaye, hivi kwa misimamo ya hao wanaume ambao baadhi wake zao ni miongoni mwa COVID-19 wangekataa hizo ofa za adui?
•Yote tisa, kumi Mhe Mbowe alikua na uwezo wa kuepusha haya yote lakini mzee Baba kala jiwe mtajuana wenyewe dadadeki.

NINI KILIMSUKUMA LISSU KUGOMBEA UWENYEKITI CHADEMA?

•Hili liko wazi hata yeye alibainisha. Ilikua ni Utashi wake yeye pamoja na ushawishi wa wanachama baada ya Princess kupelekwa nyumbani kwake na moja ya maofisa wa juu wa chama na kumtaka apunguze volume ya sauti yake kwenye Public ili apate kumneemesha kwa vitu vitamu vitamu na laini, hii ilimtia wasi wasi mhe Lissu kama chama kitakua salama.

Mbaya zaidi aliyempeleka Princess Abdallah nyumbani kwake ni huyu anayetaka nafasi yake ya umakamu mwemyekiti. Mhe Tundu kwa jinsi anavyokipenda chama na hapendi hongo aliona moja kwa moja kwamba chama hakipo salama na huyo Afisa wa juu wa chama anayeutaka umakamu mwemyekiti na amempeleka Princess nyumbani kwake, moja kwa moja Mhe Mwemyekiti aliyekuwepo madarakani lazima atakua kamtuma na ulikuwa ndio mpango wake na yawezekana yeye kula vitamu vitamu alishaanza kitambo.

Hivyo kwa hali hii ilikua ni sababu tosha kwa mhe Lissu kugombea uwenyekiti na nafsi iliyokua agombee awali ya umakamu mwemyekiti agombee Mhe Heche ambaye kidogo kwa sifa wanakaeibiana na ushawishi pia anao kwa kuzingatia historia yake ya uongozi ndani ya chama.

HITIMISHO

Unaweza kuhisi siyo sawa kumlaumu Mhe Mbowe kwa kazi aliyoifanya ya kukijenga CHADEMA lakini yeye pia ndio chanzo cha yanayoendelea. Alikua na uwezo kabisa wa kuita kambi yake na kuwaelekeza kuunga mkono Mwemyekiti mpyq katika kukijenga Chama zaidi kua pamoja katika ajenda yao kuu ya NRNE kwa sasa.

Kukaa kwake kimya lazima alaumiwe na ni tafsiri ya kwamba yupo nyuma ya yanayoendelea. Kama hayupo nyuma ya yanayoendelea kama kiongozi mstaafu na mjumbe wa kudumu wa kamati kuu alikua uwezo wa kukinusuru na kukilinda Chama chake pendwa. Yawezekana kwa sasa amekichukia Chama kwa sababu tu ya kushindwa uchaguzi wala hakuna kingine.
 
Hili Kila mwenye akili analiona.
Litakuwa tofauti siku waliuokuwa wanamuunga mkono Lissu wakiondoka KITU ambacho Bado hakipo.

Mbowe hakuwaunganisha watu na chadema aliwaunganisha na yeye. Kosa hili hata Lissu anaenda kulifanya pia
 
Hili halina shaka hata kidogo. Kisingizio chao kikubwa eti Mbowe alitukanwa sana. Kuna mwanasiasa duniani hajawahi kutukanwa?. Nyerere alitukanwa, Mwinyi alitukanwa, Malechela, Kikwete, Magufuli, Lissu naye katukanwa sana na vijana wa Mbowe. Sasa kutukanwa katika siasa ndo iwe sababu ya kutoisadia taasisi kupambana na vitimbwi vya dola vindemolition, kuiua taasisi?.

Anachokifanya Mbowe ni roho mbaya, ukatili na ubinafsi wa kutisha dhidi ya Watanzania.

Watanzania walimuamini sana, leo hii inasikitisha anapokaa pembeni huku akiona taasisi iliyojengwa kwa jasho machozi na damu ikifanyiwa controlled demolition halafu yeye kajiweka pembeni kama vile haimuhusu.

Najua atajiweka pembeni mpaka pale dola iltakapokuwa imefanikisha lengo lake la kuikata miguu CHADEMA halafu yeye ndo atajitokeza kama saviour. Lengo ni kuudilute na kuudhofisha uongozi wa Lissu usiweze kusimama imara kupigania reforms zozote za maana nchini.
 
Bonjour wanabodi!

MBOWE CHANZO CHA YANAYOENDELEA CHADEMA.

Pamoja na miaka yote aliyoifumia kukijenga CHADEMA kwa jasho na damu ingawa si peke yake maana kuna ambao walipoteza maisha, wapo waliopotezwa mpaka sasa hawajulikani walipo, wapo walioumizwa sana na kuachiwa vilema vya kudumu hadi leo. Yeye alikua kiongozi mkuu wa chama aliyeongoza jahazi kwenye mapambano dhidi ya CCM ingawa alishafikia Compromise (kulamba asali) kwa lugha laini ya 4Rs. Mzee Baba alikuwa mtu wa kelele nyingi, watawala ikimuita wayamalize analegea analamba halua anatulia huku nje utamsikia "No hate, No fear".

KWANINI MBOWE ANASTAHILI LAWAMA?

•Hakuna asiyejua vuguvugu la hawa G-55 kuondoka CHADEMA chanzo ni Uchaguzi ndani ya chama ambapo kundi la Waliokua wakimuunga mkono Mbowe baada ya kushindwa kuamua kutokwenda pamoja na uongozi uliopo chini ya Mwenyekiti mpya Wakili Tundu Lissu.
•Mh Mbowe alijua kabisa mwaka 2024 ilikua lazima kuwepo na Uchaguzi wa ndani ya Chama, kama mwenyekiti alipaswa kufanya maandalizi mapema. Nia ya yeye kugombea au kutogombea ilitakiwa ijulikane na mifumo ya ndani ya taasisi. Hii ni kutokana na nguvu yake ndani ya chama na ambaye angejitokeza kugombea naye ikiwa naye ana nguvu, maana yake ni lazima yangetokea makundi mawili ndani ya chama. Kama kweli Mwamba ana akili na kama alikua na dhamira yakweli ya kukijenga chama alipaswa alijue hili mapema ili kukilinda chama.

MBOWE Vs LISSU KABLA YA UCHAGUZI WA CHAMA.

•Sote tunakumbuka jinsi yalivyoibuka mashambulio makali baina ya magwiji hawa wawili wa kisiasa kupitia media mbalimbali kabla ya uchaguzi kwa maana ya kampeni kwa kila upande. Kama siyo wao wenyewe kushambuliana basi ni makundi yao ya ushawishi ndani ya chama yalishambuliana. Katika hali ya kawaida, baada ya uchaguzi ilikua ni lazima uhasama na visasi viendelee ikiwa tahadhari haitachukuliwa mapema na wajibu huu ulikua ni wa mwenyekiti mwemye na baraza lake la wazee wa kumshauri. Unaweza kuhisi ni uzembe wa uongozi uliopo kushindwa kuyaweka makundi haya pamoja lakini si kazi rahisi hivyo kwa jinsi walivyojeruhiana, ni kazi ambayo pengine ingechukua hata mwaka mzima kukaa sawa. Imagine Uchaguzi umeisha tar 22/01/2025 kisha baada ya miezi 3 baadaye Chief Comforter wa Chama ambaye ni mwenyekiti akakamatwa kwa kesi kubwa ya uhaini, hapo hapo agenda NRNE inahitaji kutembea, mabadiliko ya mifumo ya uendeshaji ndani ya chama yaendane na uongozi mpya yalihitajika. Hivyo kuzuia hili kundi lililoshindwa kuanza kuonesha hisia zake mapema hivi isingewezekana. Kumlaumu Mhe Lissu ni kosa kubwa sana labda uwe na akili ya kulimia bamia na mchicha tu.

BADO NAMLAUMU MBOWE

•Mhe Mbowe mpaka miezi 3 kabla ya Uchaguzi alikua bado hajaonesha nia ya kurudi kugombea tena nafasi hii ya juu ya uenyekiti wa Chama lakini aliyekua Makamu wake Mh Lissu alikua ameshaonesha nia ya kugombea tena nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Chama. Hii hali ya ukimya wa Mbowe hata alipoulizwa hakujibu ulikua Ujuha na usaliti wa hali ya juu ndani ya chama. Ilikua lazima Watu makini ndani ya Chama waanze kujiuliza ikiwa Mwamba hatagombea anayekuja kugombea ni nani? Ana ushawishi ndani ya chama? Falsafa na tamaduni za chama ameiva nazo? Kwa sababu ndani ya CHADEMA ukimtoa Mhe Mbowe kwenye Ushawishi anayefuata ni Mhe Lissu. Hii hali pia ilipelekea watu kuanza kumfikiria Lissu ikiwa Mbowe hatagombea na walianza kujijengea hivyo mapema na ndio maana haikua ngumu kumshawishi agombee baadaye hata Mbowe aliposema familia yake imemshauri agombee.
•Ikumbukwe kuna hadi viongozi wa dini walihusika kuwakutanisha hawa mafahali wawili ili mmoja wao agombee uenyekiti na mwingine baadaye Urais wa nchi hapo baadaye. Lakini Mbowe alikataa kata kata kuonesha nia yake ya kugombea either nafasi ya uwenyekiti ndani ya chama au Urais baadaye. Muda huu wote Mhe Lissu alikua tayari kwa nafasi yeyote ambayo mwenyekiti Mbowe hataigombea, tatizo Mbowe hakua muwazi na ndiko ugumu wa mambo ulipoanza na ndio matokeo yake haya yanayoendelea leo kwenye Chama. Hivi kwa hali hii alaumiwe Lissu kwa lipi kama si Mbowe?
•Katika mgawanyiko wowote unapotokea ndipo adui hupenyeza, hapa ndio paliikuwa patamu kwa CCM kujipigia wanavyotaka.Wewe umekutwa upo katika hali ya majonzi ya kushindwa unapoozwa unapewa pole ya pesa, unaahidiwa cheo na maisha mazuri baadaye, hivi kwa misimamo ya hao wanaume ambao baadhi wake zao ni miongoni mwa COVID-19 wangekataa hizo ofa za adui?
•Yote tisa, kumi Mhe Mbowe alikua na uwezo wa kuepusha haya yote lakini mzee Baba kala jiwe mtajuana wenyewe dadadeki.

NINI KILIMSUKUMA LISSU KUGOMBEA UWENYEKITI CHADEMA?

•Hili liko wazi hata yeye alibainisha. Ilikua ni Utashi wake yeye pamoja na ushawishi wa wanachama baada ya Princess kupelekwa nyumbani kwake na moja ya maofisa wa juu wa chama na kumtaka apunguze volume ya sauti yake kwenye Public ili apate kumneemesha kwa vitu vitamu vitamu na laini, hii ilimtia wasi wasi mhe Lissu kama chama kitakua salama. Mbaya zaidi aliyempeleka Princess Abdallah nyumbani kwake ni huyu anayetaka nafasi yake ya umakamu mwemyekiti. Mhe Tundu kwa jinsi anavyokipenda chama na hapendi hongo aliona moja kwa moja kwamba chama hakipo salama na huyo Afisa wa juu wa chama anayeutaka umakamu mwemyekiti na amempeleka Princess nyumbani kwake, moja kwa moja Mhe Mwemyekiti aliyekuwepo madarakani lazima atakua kamtuma na ulikuwa ndio mpango wake na yawezekana yeye kula vitamu vitamu alishaanza kitambo. Hivyo kwa hali hii ilikua ni sababu tosha kwa mhe Lissu kugombea uwenyekiti na nafsi iliyokua agombee awali ya umakamu mwemyekiti agombee Mhe Heche ambaye kidogo kwa sifa wanakaeibiana na ushawishi pia anao kwa kuzingatia historia yake ya uongozi ndani ya chama.

HITIMISHO

Unaweza kuhisi siyo sawa kumlaumu Mhe Mbowe kwa kazi aliyoifanya ya kukijenga CHADEMA lakini yeye pia ndio chanzo cha yanayoendelea. Alikua na uwezo kabisa wa kuita kambi yake na kuwaelekeza kuunga mkono Mwemyekiti mpyq katika kukijenga Chama zaidi kua pamoja katika ajenda yao kuu ya NRNE kwa sasa. Kukaa kwake kimya lazima alaumiwe na ni tafsiri ya kwamba yupo nyuma ya yanayoendelea. Kama hayupo nyuma ya yanayoendelea kama kiongozi mstaafu na mjumbe wa kudumu wa kamati kuu alikua uwezo wa kukinusuru na kukilinda Chama chake pendwa. Yawezekana kwa sasa amekichukia Chama kwa sababu tu ya kushindwa uchaguzi wala hakuna kingine.
kwani kinaendelea nin chadema gentleman?

au ndio ile dhana na nadharia kama waliojengewe vijana wa Libya walivyomuana Gadafi ni mbaya, na wakashirikiana kwa hasira sana na mabwenyenye ya magharibi kumueliminate na sasa wanateseka zaidi na kugundua kumbe gadafi wala hakua tatizo, dah!

au ni kama Sudani tu wananchi walipodhani Ali Bashiri ni mtu mbaya wakamueliminate,
hivi sasa wanateseka na ndio wanagundua kumbe Ali Bashiri wala hata hauka tatizo sudani, right?

Chadema walidhani Mbowe ni taitizo wakashirikiana kumueliminate kwa fedheha sana, hatimae sasa wanagundua kumbe mbowe hakua tatizo chadema, walioshirikina kumueliminate ndio tatizo zaidi.

ama kwahakika majuto ni mjukuu:NoGodNo:
 
Bonjour wanabodi!

MBOWE CHANZO CHA YANAYOENDELEA CHADEMA.

Pamoja na miaka yote aliyoifumia kukijenga CHADEMA kwa jasho na damu ingawa si peke yake maana kuna ambao walipoteza maisha, wapo waliopotezwa mpaka sasa hawajulikani walipo, wapo walioumizwa sana na kuachiwa vilema vya kudumu hadi leo. Yeye alikua kiongozi mkuu wa chama aliyeongoza jahazi kwenye mapambano dhidi ya CCM ingawa alishafikia Compromise (kulamba asali) kwa lugha laini ya 4Rs. Mzee Baba alikuwa mtu wa kelele nyingi, watawala ikimuita wayamalize analegea analamba halua anatulia huku nje utamsikia "No hate, No fear".

KWANINI MBOWE ANASTAHILI LAWAMA?

•Hakuna asiyejua vuguvugu la hawa G-55 kuondoka CHADEMA chanzo ni Uchaguzi ndani ya chama ambapo kundi la Waliokua wakimuunga mkono Mbowe baada ya kushindwa kuamua kutokwenda pamoja na uongozi uliopo chini ya Mwenyekiti mpya Wakili Tundu Lissu.
•Mh Mbowe alijua kabisa mwaka 2024 ilikua lazima kuwepo na Uchaguzi wa ndani ya Chama, kama mwenyekiti alipaswa kufanya maandalizi mapema. Nia ya yeye kugombea au kutogombea ilitakiwa ijulikane na mifumo ya ndani ya taasisi. Hii ni kutokana na nguvu yake ndani ya chama na ambaye angejitokeza kugombea naye ikiwa naye ana nguvu, maana yake ni lazima yangetokea makundi mawili ndani ya chama. Kama kweli Mwamba ana akili na kama alikua na dhamira yakweli ya kukijenga chama alipaswa alijue hili mapema ili kukilinda chama.

MBOWE Vs LISSU KABLA YA UCHAGUZI WA CHAMA.

•Sote tunakumbuka jinsi yalivyoibuka mashambulio makali baina ya magwiji hawa wawili wa kisiasa kupitia media mbalimbali kabla ya uchaguzi kwa maana ya kampeni kwa kila upande. Kama siyo wao wenyewe kushambuliana basi ni makundi yao ya ushawishi ndani ya chama yalishambuliana. Katika hali ya kawaida, baada ya uchaguzi ilikua ni lazima uhasama na visasi viendelee ikiwa tahadhari haitachukuliwa mapema na wajibu huu ulikua ni wa mwenyekiti mwemye na baraza lake la wazee wa kumshauri. Unaweza kuhisi ni uzembe wa uongozi uliopo kushindwa kuyaweka makundi haya pamoja lakini si kazi rahisi hivyo kwa jinsi walivyojeruhiana, ni kazi ambayo pengine ingechukua hata mwaka mzima kukaa sawa. Imagine Uchaguzi umeisha tar 22/01/2025 kisha baada ya miezi 3 baadaye Chief Comforter wa Chama ambaye ni mwenyekiti akakamatwa kwa kesi kubwa ya uhaini, hapo hapo agenda NRNE inahitaji kutembea, mabadiliko ya mifumo ya uendeshaji ndani ya chama yaendane na uongozi mpya yalihitajika. Hivyo kuzuia hili kundi lililoshindwa kuanza kuonesha hisia zake mapema hivi isingewezekana. Kumlaumu Mhe Lissu ni kosa kubwa sana labda uwe na akili ya kulimia bamia na mchicha tu.

BADO NAMLAUMU MBOWE

•Mhe Mbowe mpaka miezi 3 kabla ya Uchaguzi alikua bado hajaonesha nia ya kurudi kugombea tena nafasi hii ya juu ya uenyekiti wa Chama lakini aliyekua Makamu wake Mh Lissu alikua ameshaonesha nia ya kugombea tena nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Chama. Hii hali ya ukimya wa Mbowe hata alipoulizwa hakujibu ulikua Ujuha na usaliti wa hali ya juu ndani ya chama. Ilikua lazima Watu makini ndani ya Chama waanze kujiuliza ikiwa Mwamba hatagombea anayekuja kugombea ni nani? Ana ushawishi ndani ya chama? Falsafa na tamaduni za chama ameiva nazo? Kwa sababu ndani ya CHADEMA ukimtoa Mhe Mbowe kwenye Ushawishi anayefuata ni Mhe Lissu. Hii hali pia ilipelekea watu kuanza kumfikiria Lissu ikiwa Mbowe hatagombea na walianza kujijengea hivyo mapema na ndio maana haikua ngumu kumshawishi agombee baadaye hata Mbowe aliposema familia yake imemshauri agombee.
•Ikumbukwe kuna hadi viongozi wa dini walihusika kuwakutanisha hawa mafahali wawili ili mmoja wao agombee uenyekiti na mwingine baadaye Urais wa nchi hapo baadaye. Lakini Mbowe alikataa kata kata kuonesha nia yake ya kugombea either nafasi ya uwenyekiti ndani ya chama au Urais baadaye. Muda huu wote Mhe Lissu alikua tayari kwa nafasi yeyote ambayo mwenyekiti Mbowe hataigombea, tatizo Mbowe hakua muwazi na ndiko ugumu wa mambo ulipoanza na ndio matokeo yake haya yanayoendelea leo kwenye Chama. Hivi kwa hali hii alaumiwe Lissu kwa lipi kama si Mbowe?
•Katika mgawanyiko wowote unapotokea ndipo adui hupenyeza, hapa ndio paliikuwa patamu kwa CCM kujipigia wanavyotaka.Wewe umekutwa upo katika hali ya majonzi ya kushindwa unapoozwa unapewa pole ya pesa, unaahidiwa cheo na maisha mazuri baadaye, hivi kwa misimamo ya hao wanaume ambao baadhi wake zao ni miongoni mwa COVID-19 wangekataa hizo ofa za adui?
•Yote tisa, kumi Mhe Mbowe alikua na uwezo wa kuepusha haya yote lakini mzee Baba kala jiwe mtajuana wenyewe dadadeki.

NINI KILIMSUKUMA LISSU KUGOMBEA UWENYEKITI CHADEMA?

•Hili liko wazi hata yeye alibainisha. Ilikua ni Utashi wake yeye pamoja na ushawishi wa wanachama baada ya Princess kupelekwa nyumbani kwake na moja ya maofisa wa juu wa chama na kumtaka apunguze volume ya sauti yake kwenye Public ili apate kumneemesha kwa vitu vitamu vitamu na laini, hii ilimtia wasi wasi mhe Lissu kama chama kitakua salama. Mbaya zaidi aliyempeleka Princess Abdallah nyumbani kwake ni huyu anayetaka nafasi yake ya umakamu mwemyekiti. Mhe Tundu kwa jinsi anavyokipenda chama na hapendi hongo aliona moja kwa moja kwamba chama hakipo salama na huyo Afisa wa juu wa chama anayeutaka umakamu mwemyekiti na amempeleka Princess nyumbani kwake, moja kwa moja Mhe Mwemyekiti aliyekuwepo madarakani lazima atakua kamtuma na ulikuwa ndio mpango wake na yawezekana yeye kula vitamu vitamu alishaanza kitambo. Hivyo kwa hali hii ilikua ni sababu tosha kwa mhe Lissu kugombea uwenyekiti na nafsi iliyokua agombee awali ya umakamu mwemyekiti agombee Mhe Heche ambaye kidogo kwa sifa wanakaeibiana na ushawishi pia anao kwa kuzingatia historia yake ya uongozi ndani ya chama.

HITIMISHO

Unaweza kuhisi siyo sawa kumlaumu Mhe Mbowe kwa kazi aliyoifanya ya kukijenga CHADEMA lakini yeye pia ndio chanzo cha yanayoendelea. Alikua na uwezo kabisa wa kuita kambi yake na kuwaelekeza kuunga mkono Mwemyekiti mpyq katika kukijenga Chama zaidi kua pamoja katika ajenda yao kuu ya NRNE kwa sasa. Kukaa kwake kimya lazima alaumiwe na ni tafsiri ya kwamba yupo nyuma ya yanayoendelea. Kama hayupo nyuma ya yanayoendelea kama kiongozi mstaafu na mjumbe wa kudumu wa kamati kuu alikua uwezo wa kukinusuru na kukilinda Chama chake pendwa. Yawezekana kwa sasa amekichukia Chama kwa sababu tu ya kushindwa uchaguzi wala hakuna kingine.
Kwanini Mbowe alaumiwe kwa makosa ya wengine? Unapaswa kumshukuru Mbowe kwa kujenga chama kikubwa cha upinzani kuwahi kutokea Tanzania na sio vinginevyo!
 
HAPANAA,
TUNATAKA MABADILIKO {NDIVYO TULIKUBALIANA}
KWA NINAVYOJUA, MAMBO YANGEENDA SAWA KWA LISU TOKEA MWANZO USINGEWEZA KUMKUMBUKA FAM, MUACHENI APUMZIKE HATA HIVYO TULIKUBALIANA KUWA KWA MUDA WA MIAKA 20 AMETUPGA PESA, AMELAMBA ASALI NK!
SASA MTOA POST, UNATAKA MTU ANAYESHRIKIANA NA DOLA AJE TENA KUHARIBU ZAIDI ILI JUMBA BOVU TUMUANGUSHIE YEYE?

makubaliano yetu kama timu mihemko ni kuwa tuna uwezo wa kuendesha chama bila yeye, na wanaondoka walituhujumu sana, SASA UNAMTAKA MBOWE WA NINI?

PUMBAVU KABISA, NA HAWA NDO WANACHADEMA NINAOWAELEWA MIMI!
 
Kuna matz majinga mmno tena mapumbafu, ni mambea, yamejawa fitina,chuki na uzushi,ni manafiki na maropokaji, yamejawa matusi na madharau, ni mabinafsi, ni maoga, yanategemea binaadamu wenzao badala ya kumtegemea Mungu, ya napenda yajifiche wengine wayafanyie kazi nk. nk.

Mmemshutumu mtu kulamba asali/kununulika na kuisaliti chama Leo ametulia kuwaachia ninyi msolamba asali mnaanza kumlalamikia na kumpamba miguu eti arekebishe mnapochemka!! Mnatumia akili?

Hujawahi kusikia hata mnaowachjkia mf. Ccm mwenyekiti mpya na timu yake wakimshutumu na kumtusi mtangulizi wake katika kampeni.

Lissu,kiLema et al walipaswa kuheshimu kazi ya mtangulizi wao Mbowe na kutomzushia ubaya na kumfanyia kebehi!
Lissu,Lema nawenzie niwazi hawatoweza kufanikiwa vyema maana niwatu wa Hila na wasio na fadhila.

Mbowe yukosawa kutulia na kuwaachia chama Hawa wanasiasa uchwara wanajidai wababe,wahuni na eti watoto wa mjini!

Hivi kweli Lema,sugu,Heche ama mnyika naakili zabangi ndiyo wataikomboa chadema? Kwa busara gani hasa?
Ukiwa timamu utaona wazi wao wenyewe watavurugana siku si nyingi nahapo chama kitaishiwa haswaaa

Uongozi ni mjumuiko wa karama,busara,taaluma,subira,mwendelezo,ubunifu nk.
 
Bonjour wanabodi!

MBOWE CHANZO CHA YANAYOENDELEA CHADEMA.

Pamoja na miaka yote aliyoifumia kukijenga CHADEMA kwa jasho na damu ingawa si peke yake maana kuna ambao walipoteza maisha, wapo waliopotezwa mpaka sasa hawajulikani walipo, wapo walioumizwa sana na kuachiwa vilema vya kudumu hadi leo. Yeye alikua kiongozi mkuu wa chama aliyeongoza jahazi kwenye mapambano dhidi ya CCM ingawa alishafikia Compromise (kulamba asali) kwa lugha laini ya 4Rs. Mzee Baba alikuwa mtu wa kelele nyingi, watawala ikimuita wayamalize analegea analamba halua anatulia huku nje utamsikia "No hate, No fear".

KWANINI MBOWE ANASTAHILI LAWAMA?

•Hakuna asiyejua vuguvugu la hawa G-55 kuondoka CHADEMA chanzo ni Uchaguzi ndani ya chama ambapo kundi la Waliokua wakimuunga mkono Mbowe baada ya kushindwa kuamua kutokwenda pamoja na uongozi uliopo chini ya Mwenyekiti mpya Wakili Tundu Lissu.
•Mh Mbowe alijua kabisa mwaka 2024 ilikua lazima kuwepo na Uchaguzi wa ndani ya Chama, kama mwenyekiti alipaswa kufanya maandalizi mapema. Nia ya yeye kugombea au kutogombea ilitakiwa ijulikane na mifumo ya ndani ya taasisi. Hii ni kutokana na nguvu yake ndani ya chama na ambaye angejitokeza kugombea naye ikiwa naye ana nguvu, maana yake ni lazima yangetokea makundi mawili ndani ya chama. Kama kweli Mwamba ana akili na kama alikua na dhamira yakweli ya kukijenga chama alipaswa alijue hili mapema ili kukilinda chama.

MBOWE Vs LISSU KABLA YA UCHAGUZI WA CHAMA.

•Sote tunakumbuka jinsi yalivyoibuka mashambulio makali baina ya magwiji hawa wawili wa kisiasa kupitia media mbalimbali kabla ya uchaguzi kwa maana ya kampeni kwa kila upande. Kama siyo wao wenyewe kushambuliana basi ni makundi yao ya ushawishi ndani ya chama yalishambuliana. Katika hali ya kawaida, baada ya uchaguzi ilikua ni lazima uhasama na visasi viendelee ikiwa tahadhari haitachukuliwa mapema na wajibu huu ulikua ni wa mwenyekiti mwemye na baraza lake la wazee wa kumshauri. Unaweza kuhisi ni uzembe wa uongozi uliopo kushindwa kuyaweka makundi haya pamoja lakini si kazi rahisi hivyo kwa jinsi walivyojeruhiana, ni kazi ambayo pengine ingechukua hata mwaka mzima kukaa sawa. Imagine Uchaguzi umeisha tar 22/01/2025 kisha baada ya miezi 3 baadaye Chief Comforter wa Chama ambaye ni mwenyekiti akakamatwa kwa kesi kubwa ya uhaini, hapo hapo agenda NRNE inahitaji kutembea, mabadiliko ya mifumo ya uendeshaji ndani ya chama yaendane na uongozi mpya yalihitajika. Hivyo kuzuia hili kundi lililoshindwa kuanza kuonesha hisia zake mapema hivi isingewezekana. Kumlaumu Mhe Lissu ni kosa kubwa sana labda uwe na akili ya kulimia bamia na mchicha tu.

BADO NAMLAUMU MBOWE

•Mhe Mbowe mpaka miezi 3 kabla ya Uchaguzi alikua bado hajaonesha nia ya kurudi kugombea tena nafasi hii ya juu ya uenyekiti wa Chama lakini aliyekua Makamu wake Mh Lissu alikua ameshaonesha nia ya kugombea tena nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Chama. Hii hali ya ukimya wa Mbowe hata alipoulizwa hakujibu ulikua Ujuha na usaliti wa hali ya juu ndani ya chama. Ilikua lazima Watu makini ndani ya Chama waanze kujiuliza ikiwa Mwamba hatagombea anayekuja kugombea ni nani? Ana ushawishi ndani ya chama? Falsafa na tamaduni za chama ameiva nazo? Kwa sababu ndani ya CHADEMA ukimtoa Mhe Mbowe kwenye Ushawishi anayefuata ni Mhe Lissu. Hii hali pia ilipelekea watu kuanza kumfikiria Lissu ikiwa Mbowe hatagombea na walianza kujijengea hivyo mapema na ndio maana haikua ngumu kumshawishi agombee baadaye hata Mbowe aliposema familia yake imemshauri agombee.
•Ikumbukwe kuna hadi viongozi wa dini walihusika kuwakutanisha hawa mafahali wawili ili mmoja wao agombee uenyekiti na mwingine baadaye Urais wa nchi hapo baadaye. Lakini Mbowe alikataa kata kata kuonesha nia yake ya kugombea either nafasi ya uwenyekiti ndani ya chama au Urais baadaye. Muda huu wote Mhe Lissu alikua tayari kwa nafasi yeyote ambayo mwenyekiti Mbowe hataigombea, tatizo Mbowe hakua muwazi na ndiko ugumu wa mambo ulipoanza na ndio matokeo yake haya yanayoendelea leo kwenye Chama. Hivi kwa hali hii alaumiwe Lissu kwa lipi kama si Mbowe?
•Katika mgawanyiko wowote unapotokea ndipo adui hupenyeza, hapa ndio paliikuwa patamu kwa CCM kujipigia wanavyotaka.Wewe umekutwa upo katika hali ya majonzi ya kushindwa unapoozwa unapewa pole ya pesa, unaahidiwa cheo na maisha mazuri baadaye, hivi kwa misimamo ya hao wanaume ambao baadhi wake zao ni miongoni mwa COVID-19 wangekataa hizo ofa za adui?
•Yote tisa, kumi Mhe Mbowe alikua na uwezo wa kuepusha haya yote lakini mzee Baba kala jiwe mtajuana wenyewe dadadeki.

NINI KILIMSUKUMA LISSU KUGOMBEA UWENYEKITI CHADEMA?

•Hili liko wazi hata yeye alibainisha. Ilikua ni Utashi wake yeye pamoja na ushawishi wa wanachama baada ya Princess kupelekwa nyumbani kwake na moja ya maofisa wa juu wa chama na kumtaka apunguze volume ya sauti yake kwenye Public ili apate kumneemesha kwa vitu vitamu vitamu na laini, hii ilimtia wasi wasi mhe Lissu kama chama kitakua salama. Mbaya zaidi aliyempeleka Princess Abdallah nyumbani kwake ni huyu anayetaka nafasi yake ya umakamu mwemyekiti. Mhe Tundu kwa jinsi anavyokipenda chama na hapendi hongo aliona moja kwa moja kwamba chama hakipo salama na huyo Afisa wa juu wa chama anayeutaka umakamu mwemyekiti na amempeleka Princess nyumbani kwake, moja kwa moja Mhe Mwemyekiti aliyekuwepo madarakani lazima atakua kamtuma na ulikuwa ndio mpango wake na yawezekana yeye kula vitamu vitamu alishaanza kitambo. Hivyo kwa hali hii ilikua ni sababu tosha kwa mhe Lissu kugombea uwenyekiti na nafsi iliyokua agombee awali ya umakamu mwemyekiti agombee Mhe Heche ambaye kidogo kwa sifa wanakaeibiana na ushawishi pia anao kwa kuzingatia historia yake ya uongozi ndani ya chama.

HITIMISHO

Unaweza kuhisi siyo sawa kumlaumu Mhe Mbowe kwa kazi aliyoifanya ya kukijenga CHADEMA lakini yeye pia ndio chanzo cha yanayoendelea. Alikua na uwezo kabisa wa kuita kambi yake na kuwaelekeza kuunga mkono Mwemyekiti mpyq katika kukijenga Chama zaidi kua pamoja katika ajenda yao kuu ya NRNE kwa sasa. Kukaa kwake kimya lazima alaumiwe na ni tafsiri ya kwamba yupo nyuma ya yanayoendelea. Kama hayupo nyuma ya yanayoendelea kama kiongozi mstaafu na mjumbe wa kudumu wa kamati kuu alikua uwezo wa kukinusuru na kukilinda Chama chake pendwa. Yawezekana kwa sasa amekichukia Chama kwa sababu tu ya kushindwa uchaguzi wala hakuna kingine.
Binafsi nilikuwa namkubali sana mwamba ila kwa haya yanayoendelea angejitokeza hadharani kuwakana hao G55 na pia japo kukemea wanaohama chama kwa kutumia Jina lake pia japo mara moja moja angeonekana hata kwenye jukwaa akiungana na kina Henche kuongeza hamasa ya no reform no election
Hii ingefanya watu wasimuhisi vibaya na ingemuongezea heshima kuzidi hata mwanzo
Lakini ukimya wake na haya yanayoendelea kwenye chama ni dhahiri anaweza akawa anahusika kwa namna moja ama nyingine!
 
Haumtendei haki Mbowe. Wenye wajibu ni wale ambao kwenye madaraka. Sijamsikia hata mmoja akikemea fukuza fukuza inayoendelea kwenye matawi. Au akitaka kupata upatanishi na G-55. Badala yake wanawatukana na kuwabeza jukwaani watu ambao walikuwa pamoja katika chama kwa muda mrefu na wanajua mchango wao.

Wengine walimpinga Lissu kwa kuamini kuwa sio mtu sahihi kuongoza chama chao. Hawawezi kugeuka ghafla na kuanza kumuimbia mapambio kinafik. Uamuzi wao wa kukaa pembeni ni sahihi maana wanawachia walioshinda nafasi ya kuonyesha kuwa wanastahili nafasi zao.

Chama chenye wanachama mamilioni bila shaka kina watu mahiri wanaoweza kuziba pengo ( kama lipo) watakaloliacha. Sasa hivi Chadema inatakiwa kuheshimu maamuzi ya waliokaa pembeni na wale waliotoka kwenye chama. Matusi na kejeli zinathibitisha tu usahihi wa maamuzi yao.

Amandla...
 
Bonjour wanabodi!

MBOWE CHANZO CHA YANAYOENDELEA CHADEMA.

Pamoja na miaka yote aliyoifumia kukijenga CHADEMA kwa jasho na damu ingawa si peke yake maana kuna ambao walipoteza maisha, wapo waliopotezwa mpaka sasa hawajulikani walipo, wapo walioumizwa sana na kuachiwa vilema vya kudumu hadi leo. Yeye alikua kiongozi mkuu wa chama aliyeongoza jahazi kwenye mapambano dhidi ya CCM ingawa alishafikia Compromise (kulamba asali) kwa lugha laini ya 4Rs. Mzee Baba alikuwa mtu wa kelele nyingi, watawala ikimuita wayamalize analegea analamba halua anatulia huku nje utamsikia "No hate, No fear".

KWANINI MBOWE ANASTAHILI LAWAMA?

•Hakuna asiyejua vuguvugu la hawa G-55 kuondoka CHADEMA chanzo ni Uchaguzi ndani ya chama ambapo kundi la Waliokua wakimuunga mkono Mbowe baada ya kushindwa kuamua kutokwenda pamoja na uongozi uliopo chini ya Mwenyekiti mpya Wakili Tundu Lissu.
•Mh Mbowe alijua kabisa mwaka 2024 ilikua lazima kuwepo na Uchaguzi wa ndani ya Chama, kama mwenyekiti alipaswa kufanya maandalizi mapema. Nia ya yeye kugombea au kutogombea ilitakiwa ijulikane na mifumo ya ndani ya taasisi. Hii ni kutokana na nguvu yake ndani ya chama na ambaye angejitokeza kugombea naye ikiwa naye ana nguvu, maana yake ni lazima yangetokea makundi mawili ndani ya chama. Kama kweli Mwamba ana akili na kama alikua na dhamira yakweli ya kukijenga chama alipaswa alijue hili mapema ili kukilinda chama.

MBOWE Vs LISSU KABLA YA UCHAGUZI WA CHAMA.

•Sote tunakumbuka jinsi yalivyoibuka mashambulio makali baina ya magwiji hawa wawili wa kisiasa kupitia media mbalimbali kabla ya uchaguzi kwa maana ya kampeni kwa kila upande. Kama siyo wao wenyewe kushambuliana basi ni makundi yao ya ushawishi ndani ya chama yalishambuliana. Katika hali ya kawaida, baada ya uchaguzi ilikua ni lazima uhasama na visasi viendelee ikiwa tahadhari haitachukuliwa mapema na wajibu huu ulikua ni wa mwenyekiti mwemye na baraza lake la wazee wa kumshauri. Unaweza kuhisi ni uzembe wa uongozi uliopo kushindwa kuyaweka makundi haya pamoja lakini si kazi rahisi hivyo kwa jinsi walivyojeruhiana, ni kazi ambayo pengine ingechukua hata mwaka mzima kukaa sawa. Imagine Uchaguzi umeisha tar 22/01/2025 kisha baada ya miezi 3 baadaye Chief Comforter wa Chama ambaye ni mwenyekiti akakamatwa kwa kesi kubwa ya uhaini, hapo hapo agenda NRNE inahitaji kutembea, mabadiliko ya mifumo ya uendeshaji ndani ya chama yaendane na uongozi mpya yalihitajika. Hivyo kuzuia hili kundi lililoshindwa kuanza kuonesha hisia zake mapema hivi isingewezekana. Kumlaumu Mhe Lissu ni kosa kubwa sana labda uwe na akili ya kulimia bamia na mchicha tu.

BADO NAMLAUMU MBOWE

•Mhe Mbowe mpaka miezi 3 kabla ya Uchaguzi alikua bado hajaonesha nia ya kurudi kugombea tena nafasi hii ya juu ya uenyekiti wa Chama lakini aliyekua Makamu wake Mh Lissu alikua ameshaonesha nia ya kugombea tena nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Chama. Hii hali ya ukimya wa Mbowe hata alipoulizwa hakujibu ulikua Ujuha na usaliti wa hali ya juu ndani ya chama. Ilikua lazima Watu makini ndani ya Chama waanze kujiuliza ikiwa Mwamba hatagombea anayekuja kugombea ni nani? Ana ushawishi ndani ya chama? Falsafa na tamaduni za chama ameiva nazo? Kwa sababu ndani ya CHADEMA ukimtoa Mhe Mbowe kwenye Ushawishi anayefuata ni Mhe Lissu. Hii hali pia ilipelekea watu kuanza kumfikiria Lissu ikiwa Mbowe hatagombea na walianza kujijengea hivyo mapema na ndio maana haikua ngumu kumshawishi agombee baadaye hata Mbowe aliposema familia yake imemshauri agombee.
•Ikumbukwe kuna hadi viongozi wa dini walihusika kuwakutanisha hawa mafahali wawili ili mmoja wao agombee uenyekiti na mwingine baadaye Urais wa nchi hapo baadaye. Lakini Mbowe alikataa kata kata kuonesha nia yake ya kugombea either nafasi ya uwenyekiti ndani ya chama au Urais baadaye. Muda huu wote Mhe Lissu alikua tayari kwa nafasi yeyote ambayo mwenyekiti Mbowe hataigombea, tatizo Mbowe hakua muwazi na ndiko ugumu wa mambo ulipoanza na ndio matokeo yake haya yanayoendelea leo kwenye Chama. Hivi kwa hali hii alaumiwe Lissu kwa lipi kama si Mbowe?
•Katika mgawanyiko wowote unapotokea ndipo adui hupenyeza, hapa ndio paliikuwa patamu kwa CCM kujipigia wanavyotaka.Wewe umekutwa upo katika hali ya majonzi ya kushindwa unapoozwa unapewa pole ya pesa, unaahidiwa cheo na maisha mazuri baadaye, hivi kwa misimamo ya hao wanaume ambao baadhi wake zao ni miongoni mwa COVID-19 wangekataa hizo ofa za adui?
•Yote tisa, kumi Mhe Mbowe alikua na uwezo wa kuepusha haya yote lakini mzee Baba kala jiwe mtajuana wenyewe dadadeki.

NINI KILIMSUKUMA LISSU KUGOMBEA UWENYEKITI CHADEMA?

•Hili liko wazi hata yeye alibainisha. Ilikua ni Utashi wake yeye pamoja na ushawishi wa wanachama baada ya Princess kupelekwa nyumbani kwake na moja ya maofisa wa juu wa chama na kumtaka apunguze volume ya sauti yake kwenye Public ili apate kumneemesha kwa vitu vitamu vitamu na laini, hii ilimtia wasi wasi mhe Lissu kama chama kitakua salama. Mbaya zaidi aliyempeleka Princess Abdallah nyumbani kwake ni huyu anayetaka nafasi yake ya umakamu mwemyekiti. Mhe Tundu kwa jinsi anavyokipenda chama na hapendi hongo aliona moja kwa moja kwamba chama hakipo salama na huyo Afisa wa juu wa chama anayeutaka umakamu mwemyekiti na amempeleka Princess nyumbani kwake, moja kwa moja Mhe Mwemyekiti aliyekuwepo madarakani lazima atakua kamtuma na ulikuwa ndio mpango wake na yawezekana yeye kula vitamu vitamu alishaanza kitambo. Hivyo kwa hali hii ilikua ni sababu tosha kwa mhe Lissu kugombea uwenyekiti na nafsi iliyokua agombee awali ya umakamu mwemyekiti agombee Mhe Heche ambaye kidogo kwa sifa wanakaeibiana na ushawishi pia anao kwa kuzingatia historia yake ya uongozi ndani ya chama.

HITIMISHO

Unaweza kuhisi siyo sawa kumlaumu Mhe Mbowe kwa kazi aliyoifanya ya kukijenga CHADEMA lakini yeye pia ndio chanzo cha yanayoendelea. Alikua na uwezo kabisa wa kuita kambi yake na kuwaelekeza kuunga mkono Mwemyekiti mpyq katika kukijenga Chama zaidi kua pamoja katika ajenda yao kuu ya NRNE kwa sasa. Kukaa kwake kimya lazima alaumiwe na ni tafsiri ya kwamba yupo nyuma ya yanayoendelea. Kama hayupo nyuma ya yanayoendelea kama kiongozi mstaafu na mjumbe wa kudumu wa kamati kuu alikua uwezo wa kukinusuru na kukilinda Chama chake pendwa. Yawezekana kwa sasa amekichukia Chama kwa sababu tu ya kushindwa uchaguzi wala hakuna kingine.
Weka ushahidi usiotia shaka, achana na bla bla. Hiyo asali alilambwa vipi, wapi, kiasi gani na kwa terms zipi?
Au ndiyo yale yale ya shahidi marehemu!?
 
Hili halina shaka hata kidogo. Kisingizio chao kikubwa eti Mbowe alitukanwa sana. Kuna mwanasiasa duniani hajawahi kutukanwa?. Nyerere alitukanwa, Mwinyi alitukanwa, Malechela, Kikwete, Magufuli, Lissu naye katukanwa sana na vijana wa Mbowe. Sasa kutukanwa katika siasa ndo iwe sababu ya kutoisadia taasisi kupambana na vitimbwi vya dola vindemolition, kuiua taasisi?.

Anachokifanya Mbowe ni roho mbaya, ukatili na ubinafsi wa kutisha dhidi ya Watanzania.

Watanzania walimuamini sana, leo hii inasikitisha anapokaa pembeni huku akiona taasisi iliyojengwa kwa jasho machozi na damu ikifanyiwa controlled demolition halafu yeye kajiweka pembeni kama vile haimuhusu.

Najua atajiweka pembeni mpaka pale dola iltakapokuwa imefanikisha lengo lake la kuikata miguu CHADEMA halafu yeye ndo atajitokeza kama saviour. Lengo ni kuudilute na kuudhofisha uongozi wa Lissu usiweze kusimama imara kupigania reforms zozote za maana nchini.
Hamchoki? Kawaachia chama lakini bado. Kwani CCM miaka yote ya Mbowe haikufanya jitihada za wazi za kuhakikisha kina kufa? Huu sasa ni wakati wa Lissu na Heche kupambana kuhakikisha chama chao kina survive kama alivyofanya Mbowe. Kama Chadema itakatwa miguu responsibility itakuwa ya kwao na sio ya mtu mwengine.

Muacheni apumzike.

Amandla...
 
Mbowe amejivua nguo njia panda mchana kweupe!
Anakwenda kuvuna aibu ktk maisha yake yote na sasa tumegundua kuwa hakuwa mpinzani wa kweli!
 
Nasikia Wamachame ni watu wabaya sana.

HAKIKA MBOWE NI MMACHAME.
PANDIKIZI LA SELIKALI.
 
Mbowe asisingiziwe katika hili,

Hivi hata ungekuwa wewe ukafungiwa duka lako ambalo linakuingizia kipato utaendelea kubaki katika mji huo ili ugundue Nini.......!

Mbowe hajawahi kuingia upinzani ili awe mpinzani Bali Kwa ajili ya biashara na kazi maalum ambayo ameifanya kwa uaminifu na ufanisi mkubwa.
 
Back
Top Bottom