Waswahili husema; " uungwana ni vitendo",
pamoja na mashitaka yaliyo kuwa yanamkabili kuondolewa na DPP iwe kwa sababu yoyote ile lkn kwa kuwa tuhuma zilizo kuwa zinamkabili zililenga kuhatarisha amani na usalama wa watanzania basi naona ni vyema Mbowe akaomba radhi watanzania na ninaamini watanzania wote watamsamehe na kumpokea.
Hatua hii inahitaji uadilifu wa kiroho zaidi sio wa kisheria, hapa sasa sio mahakamani bali ni kati ya roho yake na Mungu wake, inawezekana wafuasi wake wakawa wanamtetea kwa nguvu sana na kuweza kuuaminisha umma kuwa tuhuma zilizo kuwa zinamkabili ni za uongo lkn Mbowe mwenyewe ndiye anaye jua zaidi kuliko mwengine.
Naamini Mbowe na wenzake ni waumini wazuri hivyo njia pekee aliyo nayo baada ya sakata hili ni kutubia mbele za Mungu na kuwaomba radhi watanzania.
hakika Mungu atamsamehe na watzania wote tutamsamehe na tutampokea.
Njia pekee ya kuwaunganisha watanzania wote baada ya sakata hili ni kuwaomba radhi watanzania kwa yote yaliyo tokea na sio kuleta utetezi na lawama, maana katika jambo hili kuna watanzania wanao amini kuwa Mbowe alikuwa na mipango ya kuharibu amani ya nchi lkn pia wapo amabo hawaamini tuhuma hizo, hivyo njia pekee kwa mbowe ni kuwaomba radhi wale walio kwazika na tuhuma hizo na kwa pamoja tutasonga mbele.
nami kwa niaba ya watanzania wenzangu tupo tayari kumsamehe na kumpokea.