Mbowe anapaswa awaombe radhi Watanzania

Mbowe anapaswa awaombe radhi Watanzania

We will cross the river when we are there! Haya mengine ni mahangaiko tu kwa yatima wa lile zimwi.
kumbukeni kesi "hajafutwa" bali "imeondolewa", hivyo lazima mjifunze maana ya misamiati hiyo hapo miwili.
lakini pia kumbukeni kesi ya Jinai "haiozi" wala "haichachi"
ni suala la muda tu......
 
Waswahili husema; " uungwana ni vitendo",

pamoja na mashitaka yaliyo kuwa yanamkabili kuondolewa na DPP iwe kwa sababu yoyote ile lkn kwa kuwa tuhuma zilizo kuwa zinamkabili zililenga kuhatarisha amani na usalama wa watanzania basi naona ni vyema Mbowe akaomba radhi watanzania na ninaamini watanzania wote watamsamehe na kumpokea.

Hatua hii inahitaji uadilifu wa kiroho zaidi sio wa kisheria, hapa sasa sio mahakamani bali ni kati ya roho yake na Mungu wake, inawezekana wafuasi wake wakawa wanamtetea kwa nguvu sana na kuweza kuuaminisha umma kuwa tuhuma zilizo kuwa zinamkabili ni za uongo lkn Mbowe mwenyewe ndiye anaye jua zaidi kuliko mwengine.

Naamini Mbowe na wenzake ni waumini wazuri hivyo njia pekee aliyo nayo baada ya sakata hili ni kutubia mbele za Mungu na kuwaomba radhi watanzania.
hakika Mungu atamsamehe na watzania wote tutamsamehe na tutampokea.

Njia pekee ya kuwaunganisha watanzania wote baada ya sakata hili ni kuwaomba radhi watanzania kwa yote yaliyo tokea na sio kuleta utetezi na lawama, maana katika jambo hili kuna watanzania wanao amini kuwa Mbowe alikuwa na mipango ya kuharibu amani ya nchi lkn pia wapo amabo hawaamini tuhuma hizo, hivyo njia pekee kwa mbowe ni kuwaomba radhi wale walio kwazika na tuhuma hizo na kwa pamoja tutasonga mbele.
nami kwa niaba ya watanzania wenzangu tupo tayari kumsamehe na kumpokea.
Punguani
 
Akili zako ndogo. Umeambiwa hana hatia. Maana yake imedhihirika wazi sasa kama tulivyokuwa tunawaambia siku zote kwamba kesi ni ya mchongo.

Ndio maana Mbowe na wenye akili wote alikataa kuombewa msamaha kama lile igizo la zito. Bali walisema afutiwe bila masharti ,mashtaka yote ya mchongo.

Wa kuomba msamaha waTanzania hapo wanaeleweka.

Naona mmekosa raha maccm. Tred zote mnazoanzisha mnashambuliwa lakini mnafungua zingine.
 
Ukapimwe mkojo si bure. Ubongo wako ulioko hapo kibofuni hauna faida yoyote.
 
Eti Kingai na Askari wake ndio wanakuta watu na hatia!!!

Is this a Police state?
 
Waswahili husema; " uungwana ni vitendo",

pamoja na mashitaka yaliyo kuwa yanamkabili kuondolewa na DPP iwe kwa sababu yoyote ile lkn kwa kuwa tuhuma zilizo kuwa zinamkabili zililenga kuhatarisha amani na usalama wa watanzania basi naona ni vyema Mbowe akaomba radhi watanzania na ninaamini watanzania wote watamsamehe na kumpokea.

Hatua hii inahitaji uadilifu wa kiroho zaidi sio wa kisheria, hapa sasa sio mahakamani bali ni kati ya roho yake na Mungu wake, inawezekana wafuasi wake wakawa wanamtetea kwa nguvu sana na kuweza kuuaminisha umma kuwa tuhuma zilizo kuwa zinamkabili ni za uongo lkn Mbowe mwenyewe ndiye anaye jua zaidi kuliko mwengine.

Naamini Mbowe na wenzake ni waumini wazuri hivyo njia pekee aliyo nayo baada ya sakata hili ni kutubia mbele za Mungu na kuwaomba radhi watanzania.
hakika Mungu atamsamehe na watzania wote tutamsamehe na tutampokea.

Njia pekee ya kuwaunganisha watanzania wote baada ya sakata hili ni kuwaomba radhi watanzania kwa yote yaliyo tokea na sio kuleta utetezi na lawama, maana katika jambo hili kuna watanzania wanao amini kuwa Mbowe alikuwa na mipango ya kuharibu amani ya nchi lkn pia wapo amabo hawaamini tuhuma hizo, hivyo njia pekee kwa mbowe ni kuwaomba radhi wale walio kwazika na tuhuma hizo na kwa pamoja tutasonga mbele.
nami kwa niaba ya watanzania wenzangu tupo tayari kumsamehe na kumpokea.
Upuuzi hauishi duniani kwani wapuuzi ni wengi mno !!!
 
Mbowe hajashinda kesi bali kesi imeondolewa.
atumie busara awaombe radhi watanzania
 
Waswahili husema; " uungwana ni vitendo",

pamoja na mashitaka yaliyo kuwa yanamkabili kuondolewa na DPP iwe kwa sababu yoyote ile lkn kwa kuwa tuhuma zilizo kuwa zinamkabili zililenga kuhatarisha amani na usalama wa watanzania basi naona ni vyema Mbowe akaomba radhi watanzania na ninaamini watanzania wote watamsamehe na kumpokea.

Hatua hii inahitaji uadilifu wa kiroho zaidi sio wa kisheria, hapa sasa sio mahakamani bali ni kati ya roho yake na Mungu wake, inawezekana wafuasi wake wakawa wanamtetea kwa nguvu sana na kuweza kuuaminisha umma kuwa tuhuma zilizo kuwa zinamkabili ni za uongo lkn Mbowe mwenyewe ndiye anaye jua zaidi kuliko mwengine.

Naamini Mbowe na wenzake ni waumini wazuri hivyo njia pekee aliyo nayo baada ya sakata hili ni kutubia mbele za Mungu na kuwaomba radhi watanzania.
hakika Mungu atamsamehe na watzania wote tutamsamehe na tutampokea.

Njia pekee ya kuwaunganisha watanzania wote baada ya sakata hili ni kuwaomba radhi watanzania kwa yote yaliyo tokea na sio kuleta utetezi na lawama, maana katika jambo hili kuna watanzania wanao amini kuwa Mbowe alikuwa na mipango ya kuharibu amani ya nchi lkn pia wapo amabo hawaamini tuhuma hizo, hivyo njia pekee kwa mbowe ni kuwaomba radhi wale walio kwazika na tuhuma hizo na kwa pamoja tutasonga mbele.
nami kwa niaba ya watanzania wenzangu tupo tayari kumsamehe na kumpokea.
Hivi Shaka analipa wapuuzi kama wewe au unajitolea?
 
kumbukeni kesi "hajafutwa" bali "imeondolewa", hivyo lazima mjifunze maana ya misamiati hiyo hapo miwili.
lakini pia kumbukeni kesi ya Jinai "haiozi" wala "haichachi"
ni suala la muda tu......
Huwa watu wa sampuli yako mnaanzisha nyuzi za kilofa halafu mkidharauliwa na kuvurumishiwa scuds za kashfa mnaanza kujinunisha.Tumia akili zako kwa kiwango kifaacho.
 
Waswahili husema; " uungwana ni vitendo",

pamoja na mashitaka yaliyo kuwa yanamkabili kuondolewa na DPP iwe kwa sababu yoyote ile lkn kwa kuwa tuhuma zilizo kuwa zinamkabili zililenga kuhatarisha amani na usalama wa watanzania basi naona ni vyema Mbowe akaomba radhi watanzania na ninaamini watanzania wote watamsamehe na kumpokea.

Hatua hii inahitaji uadilifu wa kiroho zaidi sio wa kisheria, hapa sasa sio mahakamani bali ni kati ya roho yake na Mungu wake, inawezekana wafuasi wake wakawa wanamtetea kwa nguvu sana na kuweza kuuaminisha umma kuwa tuhuma zilizo kuwa zinamkabili ni za uongo lkn Mbowe mwenyewe ndiye anaye jua zaidi kuliko mwengine.

Naamini Mbowe na wenzake ni waumini wazuri hivyo njia pekee aliyo nayo baada ya sakata hili ni kutubia mbele za Mungu na kuwaomba radhi watanzania.
hakika Mungu atamsamehe na watzania wote tutamsamehe na tutampokea.

Njia pekee ya kuwaunganisha watanzania wote baada ya sakata hili ni kuwaomba radhi watanzania kwa yote yaliyo tokea na sio kuleta utetezi na lawama, maana katika jambo hili kuna watanzania wanao amini kuwa Mbowe alikuwa na mipango ya kuharibu amani ya nchi lkn pia wapo amabo hawaamini tuhuma hizo, hivyo njia pekee kwa mbowe ni kuwaomba radhi wale walio kwazika na tuhuma hizo na kwa pamoja tutasonga mbele.
nami kwa niaba ya watanzania wenzangu tupo tayari kumsamehe na kumpokea.
Pumbavu km wew upo kwa niaba ya mtanzania gan?, sawa yeye ndo anajua ukweli wa jambo je, hata km alisingiziwa aombe radhi ya nini? Au ye ndo anapaswa kuombwa radhi? Kwan wew mtiririko wa kesi ilivokuwa ikoendeshwa mahakaman ulikuwa unafatilia kweli wew? Chambili wew
 
Mama tozo..kaenda kuongea na Lisu kuwanyamazisha....kamfunga bowe kwa hela nzuri ..nyie pigeni kelele..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom