Mbowe amwangushia maombi mazito Rais Magufuli

Etwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
8,094
Reaction score
20,259
Mara baada ya rais Magufuli kuwasili kuhani msiba wa general Mbowe huko Salasala alipotaka kutoka mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe alimuomba amuombee kwa Mungu rais kwa kuongoza vizuri nchi.

Source :millard ayo.

My take .
Kitendo cha Mbowe kumwombea rais Magufuli ni kinyume kabisa na malalamiko ya vikaragosi bavicha wanaolialia kila siku eti Magufuli ananyanyasa wananchi .
Screenshot_20190730-172147.jpeg
 
Mara baada ya rais Magufuli kuwasili kuhani msiba wa general Mbowe huko Salasala alipotaka kutoka mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe alimuomba amuombee kwa Mungu rais kwa kuongoza vizuri nchi.

Source :millard ayo.

My take .
Kitendo cha Mbowe kumwombea rais Magufuli ni kinyume kabisa na malalamiko ya vikaragosi bavicha wanaolialia kila siku eti Magufuli ananyanyasa wananchi .View attachment 1167200
Walotakiwa kuombewa wafiwa au rais?
 
Mbowe ni mtu system sema kuna wataopinga.Tanzania vyama vyote vya upinzani vimeanzishwa na CCM.Kama kuna mtu anaedhani vyama vya upinzani tulivonavyo hapa bongo kuwa ni upinzani kweli namuonea huruma sana.Ukipata kuelezwa yanayofanyika nchi hii kwa nyuma ya pazia unaeza tokwa roho
 
Kwa hiyo ile Ile hasara ya mabilioni aliyopata kuharibiwa shamba lake na kuvunjiwa Bilcanas watu wa system wanamrudishia kwa mlango wa nyuma? Basi Tanzania tuna siasa za kipumbavu kuwahi kutokea duniani.
 
Mbowe ni mtu system sema kuna wataopinga.Tanzania vyama vyote vya upinzani vimeanzishwa na CCM.Kama kuna mtu anaedhani vyama vya upinzani tulivonavyo hapa bongo kuwa ni upinzani kweli namuonea huruma sana.Ukipata kuelezwa yanayofanyika nchi hii kwa nyuma ya pazia unaeza tokwa roho
Kabisa
 
Mara baada ya rais Magufuli kuwasili kuhani msiba wa general Mbowe huko Salasala alipotaka kutoka mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe alimuomba amuombee kwa Mungu rais kwa kuongoza vizuri nchi.

Source :millard ayo.

My take .
Kitendo cha Mbowe kumwombea rais Magufuli ni kinyume kabisa na malalamiko ya vikaragosi bavicha wanaolialia kila siku eti Magufuli ananyanyasa wananchi .View attachment 1167200
Adui yako mwombee
 
Kuwa mtu wa system ni jambo la kawaida, Kinachotakiwa ni system kuwa fair na kuacha watu wote wafanye siasa kwa haki bila uonevu. SYSTEM HAIPASWI KUWA NA LOYALTY KWA CHAMA FULANI, BALI IVIACHE VICHUANE NA ANAYESHINDA APEWE SAPOTI BILA KUHUJUMU WENGINE
 
Visingizio kibao
 
Mara baada ya rais Magufuli kuwasili kuhani msiba wa general Mbowe huko Salasala alipotaka kutoka mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe alimuomba amuombee kwa Mungu rais kwa kuongoza vizuri nchi.

Source :millard ayo.

My take .
Kitendo cha Mbowe kumwombea rais Magufuli ni kinyume kabisa na malalamiko ya vikaragosi bavicha wanaolialia kila siku eti Magufuli ananyanyasa wananchi .View attachment 1167200
Ulivyo Zero brain hujamuelewa Mbowe kuwa kamuombea Mwenyekiti wenu Kwa Mungu ili aachane roho Mbaya
 
Mara baada ya rais Magufuli kuwasili kuhani msiba wa general Mbowe huko Salasala alipotaka kutoka mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe alimuomba amuombee kwa Mungu rais kwa kuongoza vizuri nchi.

Source :millard ayo.

My take .
Kitendo cha Mbowe kumwombea rais Magufuli ni kinyume kabisa na malalamiko ya vikaragosi bavicha wanaolialia kila siku eti Magufuli ananyanyasa wananchi .View attachment 1167200
Hii habari inawakera kweli kweli hawa makamanda uchwara.
 
Back
Top Bottom