residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,021
- 14,532
Mwendazake pamoja na juhudi zake zote ,alishindwa kumsajili Mnyika.He was the best, mambo yakapoa kuanzia pale, katibu aliefuata akaunga juhudi, vizuri yuko Mnyika sasa.
Tuanzie pale mnapopewa chanjo za watoto wenu na Marekani.Punguza fikra za kitumwa mkuu,hata wewe unauwezo wakupima unacho ambiwa, kuwa mmarekani akisema kilakitu ndio ukweli it's sort of stupid mind.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Walipo sema Iraq kuna silaha za nyuklia zilikuwepo? tuanzie hapo, amaumezaliwa juzi.USA nchi yenye heshima kubwa duniani hawana ugomvi na Makonda, lkn waesema ni mtoa roho za watu. Kwann wasiaminiwe?
Ama kweli kwenye siasa hakuna rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu!. Nimekumbuka Ujio wa Lowassa CHADEMA: Kuna kundi wamesusa, wanapanga kurejea CCM!Habari JF, life it's too short guys.
Nimesikia Mbowe kwenye mkutano wake bila shaka ni Jijini Mwanza.
Mbowe anawaambia wanachama, kwamba Chadema haina rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu.
Then anasema naomba nimtambulishe rafiki yangu Doctor Slaa, karibu sana.
Doctor Slaa anakwenda mbele wanapeana mikono Mbowe anawaambia wanachama wasimuilize Doctor Slaa yuko wapi.
(Msiniulize doctor Slaa yupo wapi, simnamuona hapa chadema?.
Halafu anamtambulisha na Mwabukusi wanasimama pamoja wote na Doctor slaa then Mwenyekiti anawaambia karibuni sana tufanye kazi.
Mbowe yupo vizuri upstair, he knows how to play the game, so far Doctor Slaa na Mwabukusi watakisaidia chama kuonyesha dira na malengo.
Tundu anatuchalewesha sana, anapenda misifa na kulialia24/7.
Hujajibu swali unauliza swali. Nimekuuliza kuwa "USA hawana ugomvi na Makonda lkn ndiyo waliosema kuwa ni mtoa roho za watu". Je, kwann tusiamini tamko lao?Walipo sema Iraq kuna silaha za nyuklia zilikuwepo? tuanzie hapo, amaumezaliwa juzi.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Ingia YouTube then andika Tazama doctor Slaa alivyo karibishwa chadema alafu search then urudi hapa.Wewe ni taploo [emoji706][emoji706]
Acha uoga mkuu sijamtisha mtu yoyote kwenye huu uzi.Acha kutishia watu fala wewe,unatishia kujamba angalia usiharishe
Then hawajui kwamba katika siasa hakuna adui wala rafiki wa kudumu!.
Huna haja ya kuamini matamko feki, weka hilo tamko hapa tulipime kama linafaa kuaminika.Hujajibu swali unauliza swali. Nimekuuliza kuwa "USA hawana ugomvi na Makonda lkn ndiyo waliosema kuwa ni mtoa roho za watu". Je, kwann tusiamini tamko lao?
Chair hana tamaa!Najiulizaga kwanini chairman hagombeagi hiyo nafasi.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Mboe ndio nguzo ya Chadema, kama unakipenda chama chako muombee Mbowe aendelee kuwa kiongozi mkuu.Namshauri mbowe, angatuke, abakie kwenye ubunge, awaachie chama slaa, lissu na wengineo, afanye biashara sasa, huku akiwa mbunge!, ni hekima!
Ushauri wenye lengo baya huu.Namshauri mbowe, angatuke, abakie kwenye ubunge, awaachie chama slaa, lissu na wengineo, afanye biashara sasa, huku akiwa mbunge!, ni hekima!
Kwa vipi mkuu, maana wengi wanamuona mbowe kama ni ccm kwa mbali kidogo awaachie zigo uone jinsi chama kitakosa busara na Hekima na kujifilia mbali.Ushauri wenye lengo baya huu.
Hizo ni fikra za kijinga kwa chama Cha siasaMboe ndio nguzo ya Chadema, kama unakipenda chama chako muombee Mbowe aendelee kuwa kiongozi mkuu.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Chama pinzani hakitakiwi kuwa na udugu na chama tawalaKwa vipi mkuu, maana wengi wanamuona mbowe kama ni ccm kwa mbali kidogo awaachie zigo uone jinsi chama kitakosa busara na Hekima na kujifilia mbali.
Haiondoi hadhi kwamba kahudumia hiyo nafasi mpk alipomaliza mda wakeMlikuwa wapi Wakuu Dr. Slaa Alishavuliwa hadhi ya ubalozi siku nyingi sana na Rais Samia nadhani kama si mwaka Jana mwanzoni basi mwaka juzi mwishoni.
Bora wa kulia lia kuliko msaliti.Habari JF, life it's too short guys.
Nimesikia Mbowe kwenye mkutano wake bila shaka ni Jijini Mwanza.
Mbowe anawaambia wanachama, kwamba Chadema haina rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu.
Then anasema naomba nimtambulishe rafiki yangu Doctor Slaa, karibu sana.
Doctor Slaa anakwenda mbele wanapeana mikono Mbowe anawaambia wanachama wasimuilize Doctor Slaa yuko wapi.
(Msiniulize doctor Slaa yupo wapi, simnamuona hapa chadema?.
Halafu anamtambulisha na Mwabukusi wanasimama pamoja wote na Doctor slaa then Mwenyekiti anawaambia karibuni sana tufanye kazi.
Mbowe yupo vizuri upstair, he knows how to play the game, so far Doctor Slaa na Mwabukusi watakisaidia chama kuonyesha dira na malengo.
Tundu anatuchalewesha sana, anapenda misifa na kulialia24/7.
Mzee yupo ila kachoka sana yamebaki maneno tu,mara ya mwisho tulikutana mahali safarini tukasalimiana alikua katoka kwenye majukumu nchi nyingine.Huyo mzee hivi bado yupogo doh!