Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA


ushahidi ni ile "list of shames"
 
Yesu aliamuru pepo wamtoke yule binadamu wakawaingie nguruwe, ukawa kazi mnayo
 

We mwanamke.hizi shutuma zinatolewa na chadema tena viongozi wakuu wa chadema.kwa hiyo Leo mambo yamegeuka? Msiwafanye watanzania mataahira.
 

SLAA si alisema atawapeleka mahakamani mafisadi wote aliowataja , lowasa akiwa mmoja wao, cdm wakishika Dola sasa itakuwaje iwapo lowasa akijiunga nanyi?
 
Mwenyekiti wa CHADEMA taifa mh. Freemam Mbowe amemkaribisha Lowassa kujiunga na CHADEMA hakibagui mtu ili mradi tu afuate kanuni na taratibu za chama.

Source: Tanzania Daima, Mwananchi

safi sana ccm toka kwa Jina la Yesu
 
We unawaza kumeguka kwa chama, watu wameshapiga hesabu za mbali, kama Lowassa akija CDM, mtembea na sumu na kundi lake lazima wataneemeka. Hawatakisa gari na nyumba, kwa jinsi wanavyojua kujikomba.

Ukisema Lowassa asije utaitwa msaliti.

Mambo ya siasa ni target mi sioni tatizo la EL kwenda chadema unafikili wao wanawaza kupenda kupoteza? Akija atafuata sheria na kanuni za chama. Kusema EL ni fisadi sisiem imeshindwa kuthibitisha kwakutomchukulia hatua. So tuache siasa ubaguzi kama sisiem. Sikuzote chama chochote nia ni kuongoza (kushika dola) kwanjia yoyote ile kwahiyo akienda CDM upinzani hoyeeee.
 
Aje tu nia ya upinzani ni kuuondoa huu mfumo mbovu wa ccm. Karibu El karibu m4c
 

Wanaomba ushahidi wakati wenyewe ndio wanao kwenye list of shame Duhh kweli Zitto yuko real sasa namuelewa
 
Aje na nusu ya CCM ile team yake Membe lazma afe kwa presha.
Ile team yake au alikuwa akiwanunua? Kama team yake kweli ina kisasi na CCM mbona Magufuli ilipata 87.....% ya kura za wana CCM?si wangeonyesha hasira zao pale na wote walikuwepo? Acheni kujidanganya mchukuweni halafu muone kweli anawafuasi? Mnaopiga kampeni Jf muulizeni Saanane kimemkuta nini Rombo?
 
Aje tu nia ya upinzani ni kuuondoa huu mfumo mbovu wa ccm. Karibu El karibu m4c

Mbaya wako akikupa zawadi huta sema asante?sio mtaji mdogo kupewa jimbo zima la monduli.alichofanya mbowe ni kutoa asante kwa lowasa.kiuhalisia sio kumkarisha na kuwapa matumaini waliohamia chadema
 
Hatumbagui kwa rangi wala kabila ila hatumtaki kwa sababu ni mla rushwa na fisadi.

Lakini ukumbuke kuwa tuko kwenye mapambano na kila mtu ana tafuta ushindi na unapotaka kushinda huwezi ukachagua silaha ya kutumia hata kama ina kinyesi utaitumia bila kujali kuwa itakupaka kinyesi ili mradi tu uwe na uhakika kuwa hiyo silaha unayotaka kuitumia itakufanya umshinde mpinzani wako,kama utatumia rungu kumpiga adui yako kichwani sawa tu,kama utampiga na jiwe kichwani ni wewe tu kwani kinacho tafutwa ni ushindi bila kujali ushindi umepatikana kwa namna gani,kwani hujawahi kusikia kibaka kajinasua chini ya ulinzi wa polisi kwa kujipaka kinyesi au baada ya kumumwagia polisi kinyesi?.
 
Kama anakuja kuwa mwanacahama wa kawaida, fine and good. Lakini pia aje na mtaji wana-CCM.
 
Mawazo finyu ambayo yatachelewesha ukombozi wa mtzn. Mfumo wa cdm hauruhusu ufisadi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…