Ubaguzi huu utaisha lini? Lowassa ni nyani?
Mbowe usituharibie chama.
Ubaguzi huu utaisha lini? Lowassa ni nyani?
Wala hujawahi kuwa cdm, ccm kwenyewe huna kadi
Una uthibitisho wowote kwamba EL ni mla rushwa na fisadi?
Tuweke ushabiki na unazi pembeni. Kama Lowassa atapokelewa CHADEMA, story ya ''CCM ni chama cha mafisadi'' itazikwa rasmi na kimsingi CCM itarudisha hilo dongo kwa CHADEMA wakati wa uchaguzi na kushinda kiulaini.
aje tu awe mwanachama wa kawaida tupigwe mabomu wote tubambikiwe kesi za ugaidi wote sio kuja kupanda ngazi kwa damu za watu zilizopotea kwa ajili ya chadema mwenyekiti umechemka
Kabadilika lini kuwa malaika?!