unawachokoza watakuja na ujinga wao sahizi bado wanamalizia bia na kitimoto
Haya ndio matokeo ya madrasa. Uwezo mdogo wa kufikiri.unawachokoza watakuja na ujinga wao sahizi bado wanamalizia bia na kitimoto
Lile songi za mzee yusufu la msumali linawahusu ccm,Lowassa ni msumali kwa ccm na umewachoma kotekote.watanzania nendeni makanisani misikitini muombewe upate upeo wa kutambua hili linafaa hili halifai lowasa kishanunua chama chadema chake yeye na familia yake nyinyi mliokosa upeo wa kufikiri hamsikii ni bora kutokishabikia.
Haya ndio matokeo ya madrasa. Uwezo mdogo wa kufikiri.
Utakapolizoea hili jukwaa utaacha kuandika usengewatanzania nendeni makanisani misikitini muombewe upate upeo wa kutambua hili linafaa hili halifai lowasa kishanunua chama chadema chake yeye na familia yake nyinyi mliokosa upeo wa kufikiri hamsikii ni bora kutokishabikia.
Kufikiri tu kuwa Chadema kimenunuliwa ni kukosa upeo wa kufikiri!watanzania nendeni makanisani misikitini muombewe upate upeo wa kutambua hili linafaa hili halifai lowasa kishanunua chama chadema chake yeye na familia yake nyinyi mliokosa upeo wa kufikiri hamsikii ni bora kutokishabikia.
Majina kama ndumilakuwili na wanafki wakubwa yanawafaa sana UKAWA. Nakumbuka kauli moja ya Mbowe alipokuwa anamkashifu Lowassa alisema "Lowassa aingie ikulu; over my dead body". Lakini wala hajafa leo ni mzima tena bukheri wa afya na bado anamsupport mtu huyohuyo. Sasa kama sio unafki uliokubuhu huo ni nini.Mwenyekiti wa CHADEMA taifa mh. Freemam Mbowe amemkaribisha Lowassa kujiunga na CHADEMA hakibagui mtu ili mradi tu afuate kanuni na taratibu za chama.
Source: Tanzania Daima, Mwananchi
Chadema mlisema zito ni msaliti kwakuwa anawasiliana na viongozi wa ccm akiwa chadema.
Swali ni je mbowe tumuiteje?
Kwani yeye si tu kawasiliana na viongozi wa ccm na kuongea nao la hasha, kawapa nafasi za kugombea urais na ubunge na udiwani ndani ya chadema ikiwemo kuwateuwa katika nafasi za ubnge viti maalum kama vile hakuna wananchama wa chadema wenye uwezo huo.
Sasa mbowe tumuiteje? Msaliti, mzandiki, mfitini, mnafiki, mchawi?
Very old Propaganda!