Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

Eeeh! Hasira zote hizo kisa Ikulu! Kuwa na Amani, huenda jamaa wakifika huko hawatakuita kwenye sherehe za ushindi. Tulia jiandae kisaikolojia kuwa Makapi hayaendi Ikuli. Get it in your Thick Scull.
 
Kwani nyie EL mlikuwa mnamuitaje! Leo ndio kawa Shujaa wenu? Si afadhali hata sisi huyo Padri alikuwa Mwanachama wetu.
 
Nimekuwa nikisema tanguzamani siasa za sasa Mbowe hanauwezo nazo yule kakalili siasa za umm,ubabe Na chuki, Mambo yaki binafsi zuzu huyu huyafanya ya CDM . elim yake kwanza hafai kuendelea na uenyekiti karne yaleo, KUNUNULIWA NA FISADI kumezidi kuweka ukweli kuwa huyu ni janga
 

Fisadi papa no.8. jk
 
Mulisha ambiwa mbowe msanii ona sasa kauza chama na waliomo.yalimo nayo nyumbu hayashituki
 

Mimi naona muhimu kujitarisha tu kwenye kampeni kwa kuwa kudeal na Mbowe ni kupoteza muda ukizingatia usukani kwa sasa anao Lowasa na hata Mbowe akichukua livu hakutaathiri chochote.
 
mkuu utaitwa msaliti. shauri yako.

 
kikubwa ni kuitoa CCM madarakani, hayo mengine hayatuhusu![/QUOTE]

Hata Libya kikubwa walitaka kumtoa Ghadafi madaraka...ila kinachowakumba sasa ni majuto ya vizazi kwa vizazi.
 

Kwa uandishi huu,wewe una elimu kuliko Mbowe?
 

Mbwa wa Mungu umeanza kusikia maumivu eeh. Tulia kama unanyolewa mpaka October 25.
 
Watanzania lazma tuamke.huu sio wakati wa kulala hata kwa lisaa limoja.
Lazma tuangalie kwa kina aina ya mabadiliko tunayopigiwa kelele kila siku.Tupime na tujiridhishe kama kweli tunahitaji mabadiliko ya aina hii.Na tujue ukweli wa mambo kama hawa vinara wanaotuponza kila siku kupigwa virungu na polisi kuwa ni kweli nia zao ni kutuletea mabadiliko yatakayotufaa sisi wananchi au mabadiliko wanayoyatangaza ni ya kumtoa mtawala na kuwaweka wao wajilimbikizie mali ambazo kwa sasa hawana fursa nazo.
Kupitia tukio hili la EDWARD LOWASSA kupewa nafasi ya kugombea uraisi kupitia UKAWA,ni wazi kuwa mabadiliko yanayotangazwa ni ya kunufaisha matumbo yao na wala sio ya kutunufaisha watanzania.
Nasema hivi kwa sababu zifuatazo.
1.Edward Lowassa ni fisadi mkubwa nchini Tanzania alietumia pesa nyingi ili tu aende Ikulu.Viongozi hao hao wa ukawa ndio walotufunua macho juu ya ufisadi wa Lowassa kupitia Richmond na mali zake zingine.Leo ni unafki upi ulowafanya wampe nafasi hiyo?
2.UKAWA ni wapigania serikali tatu wakati E L ni mpigania serikali moja.
3.Kupewa nafasi kwa EL kugombea ukawa kunasemwa kila kona kuwa kuna harufu ya kuhongwa kwa watu walotoa nafac hiyo.
4.Kujiondoa kwa LIPUMBA NA SLAA
 
hakika mwenyekiti wa chadema mbowe anasisitiza ukweli, kwamba namba hazidanganyi. anajua sana biashara ndo maana kahamishia nguvu zote kwenye biashara ya siasa maana yamlipa sana.

mwaka 2010 alimuona slaa ni dhahabu, akamshawishi agombee urais akijua kabisa hatashinda ila atasaidia ongeza idadi ya wabunge na hatimaye ruzuku. akaenda bank akachukua mkopo akamnadi slaa, ruzuku ni tele na kapata superprofit kwa uwekezaji wake wa 2010.

sasa hii 2015 kaiona fursa kwa lowasa, sijui kwa hesabu zake ameona atavuna ngapi hadi kufikia 2020. ajua mwenyewe kichwani. slaa ameambiwa kaa kando baada ya kuwaingizia pesa za kutosha.

kweli mbowe katumwa pesa dar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…