sijakuelewa na Story yako ni ndefuuuu sanaUkwaju,signature yangu imekuingia vyema akilini.Haitakaa hata siku moja CCM iachane na wafanya biashara,wezi,wala rushwa,ufisadi ,madwa ya kulevya,majangili nk nk,mpaka pale wanachama wake watakapoamua kwa dhati sasa basi!!!!!!!!!!!!
Mimi ni upinzani toka umeanza,na wala silipingi wala sikatai,na wala sitaki kuhama chama ,chama changu ni CDM
Unajua kama CHAMA CHA UPINZANI,unatakiwa ujifunze kutokana na CHAMA KIKONGWE,kwa kuangalia maovu yake na kwanini maovu yaliingia.
Uwongo ni kitu ambacho chama chochote kipya cha upinzani kinatakiwa kiachane nacho.Wabadilike,wasimamie ukweli,kwa sasa si enzi za kuwadanganya watanzania,na muda umefika kwa watanzania kudai ukweli.Chama ambacho kitaendelea kwenye uwongo kwa sasa hakitufai kabisa.
Leo uko upinzani ni muongo wa kutupwa kesho ukiwa mtawala utakuwaje?Upinzani wajifunze ukweli ndiyo utakao tuweka huru WATANZANIA.
Mkuu baada ya kuona hizo picha hapo juu ngoja nitoke kwa muda hapa JF kutafakari upya michango yangu!
sijakuelewa na Story yako ni ndefuuuu sana
kifupi CCM haina mafisadi na wote wanaokuja kwa gia ya biashara watatoka taratibu kipindi hiki cha miaka 10 ya Urais wa Magufuli
ina maana picha hii huioni?Unakimbilia wapi?Mbona hizo picha sijaziona?
ina maana picha hii huioni?
TettyHahah Ukwaju mbona hii ni ya siku nyingi?
Tetty
Mkuu umenifurahisha sana kwani umeelewa Siasa hazina ugomvi na uelewe Lowassa na mbowe ni kitu kimoja hivyo mpokeeni kwa furaha zote kwani Fisadi anaweza kuwa kamanda wa CHADEMA kasoro hamjampa kipaumbele
View attachment 270296
Mwenyekiti wa CHADEMA taifa mh. Freemam Mbowe amemkaribisha Lowassa kujiunga na CHADEMA hakibagui mtu ili mradi tu afuate kanuni na taratibu za chama.
Source: Tanzania Daima, Mwananchi
Naona unatamani kweli huyo mwizi wa mali za umma aje CDM.Naona Makomeo anamnong'oneza Mullu kama ahamie wiki ijayo pale white house.
Hussein Bashe na RA wa Lowassa mmewakosa mmbakia midomo wazi kumsubiri Lowassa
chezea CHAMA kubwa
hasira hazisaidii utakufa na kijeba wakati CCM inawabeba na wale walikumbwa na mafuriko ya safari ya matumaini
Siujui kama unJielewa au umemua tu kufungua mdomo lililokutoka limekutoka basi utadhani uko chooni.
Rafiki huyo Lohassa hakuna mtu amtakaye kwa taarifa yako.Wote hao waliosimama hapo ni wachumia tumbo tu.
Huyo mama alipewa dhamana kubwa ya kututengenezea Katiba alishindwa hata kufungua mdomo kukemea mTusi yaliyokuwa yanarindima mle mjengoni leo mnamuona wa kuweza kutuongozea TAIFA!Aliyeshindwa kuwaongoz watu wazima 600,leo unampa nchi ya watu 48mil.
Huyo mzee wa kuropoka anayejua kukariri namba tu,aliyeshindwa kuondoa rushwa na ufisadi mkubwa uliofanywa kwenye wizara yake,kauz nyumba za serikali haitoshi kagawa nyingine kwa nyumba ndogo leo tunamuweka awe Rais wa Nchi.
Mtasema amesimamia barabara hizi zilizo chini ya kiwango cha kuitwa barabara mvua moja tu hatuna barabara.
Rafiki nend Songea iangalie barabara iliyojengwa ba Howard Humphreys nyakati za JKN halafu urudi kuangalia hizi zilizojengwa na Makomeo ndiyo utajua mtu anapoongele barabara anamaanisha nini!!!!
Mwenzio niko Upinzani ninavalue mchango wao sana lakini sijaach kuwaambia ukweli,kwangu daim mpaka nitakPo aga duni leo au nikiwa kijeb kama ulivyosema kwani kufik huko kwa hitaji Neema na barakaza Mungu nitKuwa Tif kwanza Chama baadaye.
Nakutakia kazi njema.
mmeongea mengi sana maneno matupu hayavunji mfupa, huyo ni mgombea wao leteni mgombea wenu. UKAWA wamefanya kosa kubwa sana kutokumtaja mgombea wao mpaka sasa na kuwapa CCM nafasi kubwa ya kumtambulisha na kufanya kampeni kabla ya wakati, ni maoni yangu kwamba kwa nafasi hii UKAWA wasubiri 2020