Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA


Mkuu kama ulivyojieleza kuwa ni mwana cdm mzuri,tumekuelewa na tunaheshimu uwepo wako ndani ya cdm,naamini unazijua njia mzuri zaidi za kufuatilia mambo mazito kama hili,nikwenda ofisi ya cdm ukawasilisha malalamiko na hata kukutana na mh mbowe na kilizungumza hili suara kichama,kuliko kuamua kulianika mitandaoni.ni ushauri tu mkuu
 
Ni leo nimepata kuona habari mitandaoni na magazetini kuwa Mh mbowe katoa kauli ya kumkaribisha Aliyekuwa waziri mkuu wa zamani Edward Lowada kujiunga na chama chetu pendwa chadema.
Awalli sikutaka kuamini na bado sijaamini kuhusu hizi fununu,na kama ni kweli, namtaka Mh Aikael Freeman mbowe atoe maelezo fasaha amemkaribisha lowasa aje kufanya nini? Sote tunamjua Lowasa na tuhuma nzito za kifisadi, tuna mfahamu vizuri Lowasa na kundi lake la mbwa mwizi linalomzunguka.
B inafsi simkatai lowasa kama binadamu bali napinga tabia yake ya uwizi rushwa, uroho na ubinafsi.
Natahadharisha kusema kuwa CHADEMA tunaipenda toka moyoni ndio maana hatutingishiki na sunami za ccm kwa kuwa tunaamini Chadema ni chama safi na chenye uhakika wa kutuletea mabadtiko chanya kwa taifa. Kwa nilivyoona kauli hizi ni dhahiri chama kinaenda kuanguka kwa kuwakatisha tamaa wananchi.
Lowasa ni nani ktk chadema, cjama kimeimarika vya kutosha nila uwepo wa lowasa, nini mnachotegemea kwa Lowasa kwa sasa, ccm imemuona hafai ikamtema wewe unamkaribisha bila hata aibu, unataka kutuaminisha kuwa nyie ni maswahaba? Kama ndivyo iweje ccm tuinyoshee mkono?

Mh Mbowe umetukera sana sinaamani kabisa hadi uje utupe ufafanuzi zaidi nini maana yake.
 

ni kwamba lowasa alibebeshwa zigo la serekali yaani collective responsibility. Dr slaaa alimtuhumu kwa nafasi ya uwaziri mkuu kwa niaba ya gvt-hivi unadhani escrow pinda alikuwa awajibishwe kwanini? Collective responsibility
 
mbowe kwani si ndo yule jambazi,mpenda pesa mzee wa tamaa
 

Ni vigumu kumpata Mhe Mbowe kwa jambo tete kama hili, namshauri asubiri matamko tu maana hawa hawaishi kutoa matamko yasiyotekelezeka!Poleni kwa kuruhusu chama chenu kichezewe na wachache!
 
Kama habari hii ni ya kweli Chadema kitapoteza ile sura yake iliyojipambanua nayo kama chama kinachopiga vita Ufisadi,Rushwa na utumiaji mbaya wa ofisi za umma.Kiukweli Lowasa hapaswi hata kuwa mwanachama wa kawaida wa Chadema maana hana vigezo sitahiki.
 
Arusha mjini mbunge wetu Lema Arusha mjini hakuna alichofanya cha maana zaidi ya kuhimiza vijana kufanya maandamano na migomo isiyo na tija.
 

Umekerwa sio tumekerwa....
 
Tulieni sindano ipenye enyi ccm

Multiple IDz mupya mupya hazina tija..

Bado mtatoa ushauri hewa,cdm ikifa ndo furaha yenu.
 
Ni vigumu kumpata Mhe Mbowe kwa jambo tete kama hili, namshauri asubiri matamko tu maana hawa hawaishi kutoa matamko yasiyotekelezeka!Poleni kwa kuruhusu chama chenu kichezewe na wachache!

Mie nilidhania kumbe ni mwanachama mkuu kumbe ni mpitia njia?
 
Amekaribishwa kwenye chama kisafi kwa hiyo usijali mtoa mada lowasa akija atasafisha na atakuwa msafi
 
ila hii issue ya cdm na lowasa ..ingewekwa wazi na viongozi wa chama tujue moja tu maana sintofahamu zimekuwa nyingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…