Kinjekitile junior
JF-Expert Member
- Apr 20, 2015
- 4,404
- 581
mkuu kama hii habari ni ya kweli mtakua sasa mmeanza kuvimbiwa!! huyu jamaa si wenyewe ndo mlimuandika kwenye ile list of shame?
Cjui mnazungumza nini wakati CDM imeshakabidhiwa kwa wawekezaji teh teh teh
Ha ha ha "wawekezaji" nimecheka sana aisee! Umegonga presure point! Tokea lini mchaga akafanya biashara kichaa!!? Lazima walambe fedha za EL wampe ugombea tu, Slaa atajiju!
ha ha ha ha mkuu hao wameikabidhi kwa Wawekezaji wazawa na mwarabu!
Duu hivi bado tu huelewi Katiba ya chama kitu gani?M/kiti kaivuruga kwa makusudi ili aendelee kuwepo na kuathiri maamuzi yule ni mfanya biashara ndo ujue keshakaribisha wawekezaji wenye hela teh teh teh WENYE CHAMA NDO WANAAMUA WENGINE MSIOTAKA AU KUKUBALIANA NA MAAMUZI YA WAMILIKI MUONDOKE!!!
Mambo ya siasa ni target mi sioni tatizo la EL kwenda chadema unafikili wao wanawaza kupenda kupoteza? Akija atafuata sheria na kanuni za chama. Kusema EL ni fisadi sisiem imeshindwa kuthibitisha kwakutomchukulia hatua. So tuache siasa ubaguzi kama sisiem. Sikuzote chama chochote nia ni kuongoza (kushika dola) kwanjia yoyote ile kwahiyo akienda CDM upinzani hoyeeee.
Umenifurahisha mahali nilipokuwa nimekasirika.Anyway hiyo kura unaipigia wapi?Mie ni mwanachama wa kawaida kabisa.Na ninasemea moyo wangu sababu naipenda sana nchi yangu.
Nimesikitishwa na baadhi ya mawazo ya wabunge wa CDM ya kumkaribisha Lowassa,hivi CDM imekuwa depsrate kiasi cha kutafuta mafisadi kuwa wagombea wa urais?
Hivi CDM hakuna presidential material mpaka tupate pumba toka CCM?Maan bora pumba ya mahindi ya mpunganile inayotumika kuchomea matofali huko kwetu.
Hivi Mbowe anajua ukaribisho wake maana yake nini kwa chama na watanzania?
Hivi Mbowe ametuona watanzania wapumbavu mno kiasi kwamba akisema chochote basi tutapiga makofi?
Kama hajui basi ningependa kumwambia CDM siyo taasisi yake anaweza kufukuzwa vile vile akaiacha.
Ila swali langu kwako mie kama mie naenda kupiga wapi kura ya kutokuwa na imani na mwenyekiti?
Ninachompendea Dr.Slaa anasimamia uamuzi wake.Na akiondoka hakika Mbowe ajue atabaki na yale makabrasha yake ampelekee Mtei.Ila ka.a atatuelewa akamwambie Mtei Taifa kwanza chama baadaye.Chama kwanza Lowassa baadaye.
Kama Mbowe hajui CDM ina nafasi gani kwa watanzania ni bora ajiuzulu apishe wengine.
Ni mmachame mwenzangu kwa hili sitomuunga mkono kamwe.
Kaka ni bora Taifa kuliko chama.Chama kitakufa lakini si Taifa.Ni Chama kwanza Lowassa baadaye.
Bila Lowassa CDM inaweza.
Nimekupenda bure
Bila Lowasa CDM inaweza:thumbup:
Mungu bariki CDM
Walijidai wameanza na Mungu sasa wanamaliza na shetani! Na ufalme wao umefitinika BABU kawalostisha maana yule ndo engne cdm!
Kama unataka kuchangia changia vitu vyenye maana,usitake kuudhi watu.
Wewe mwenyewe huijui katiba ya chama chako utajua vyama vingine?Hivi unadhani nani asiyejua chaguo la Mwenyekiti wako ni Kaka yake Maembe?Hivi nani asiyejua mipango ya mwenyekiti wako kukifanya CCM kuwa chama cha familia?
Hivi unadhani watanzania tupo wapumbavu mno hatujui wala kuelewa kilichotokea?Hivi buyo mnayesema ndiyo anapeperusha benderanya CCM si mwizi kama wengine?Si ndiyo huyo aliyeuza yumba za serikali mpaka kubonha nyingine kwa mahara na marafiki zake?
Hivi nani asiyejua Last Boy aliponenea chupuchupu kuondolewa lakini ikabidi mdingi auze part ya ardhi ya Bwagamoyo kunusuru maisha hq last boy
Ukitaka kuchangia hoja za kujenga njoo la unataka za kufanya watu wakutukane basi usi comment
Inabidi humu humu JF watapata ujumbe tu.
Bila Lowassa CDM inaweza haihitaji kuwezeshwa na fisadi.