Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

waliologwa na hawa wananchi ambao miaka nenda miaka rudi wanachagua na kuwapenda mafisadi.. wananchi hawataki kubadilikd. Chadema aint doing nothing wrong,just dancing the citizen's tune!
 
Mbona mnjamba jamba na mambo ya ukawa,magamba punguzeni presha dawa iwaingie.Mambo ya ukawa yanawahusu nini?

Wewe tulia msumari wa moto ukuingie masaburini, uongo na unafiki mwaka huu unawazika rasmi! Nyekundu imekua nyeusi kwa lazima!Bundi la hela limetua UKAWA kwishaaaaaaa!
 
Peleka UCCM wako huko Leo unaushirika na CHADEMA?Tunataka kuvunja mfumo mchafu wa CCM basi hayo mengine kuhusu Lowassa tutarekebisana!
 

Mbona kama unaandika kwa majonzi na masikitiko kana kwamba kuna kitu cha thamani ccm mmepoteza. Jiandae vizuri baba yenu ni mnafiki na amewaambukiza watoto. Subiri uone reward ya mnafiki ili iwe fundisho kwa wote watakakuwa na tabia yaunafiki ili Hali ni viongozi wa
 
ukawa/ chadema mtaisoma namba ccm ni ile ile mambo yote mbele kwa mbele
 

Umemaliza kujifariji au bado unaweweseka?
 

tetesi wapi ameambiwa na mtei kama hataki aondoke ,
wewe unaweza kubisha kwenye saccoss ya mtu na mkwe wake ,masikini SLAA amekaa kimia ,unacheza na njaa ni mbaya?

 
Ccm acheni kutapatapa tulieni kimbuga kinakuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…