Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

Juzi alisemwa na viongozi wa chadema,wanachadema ni fisadi,mwizi nk.leo amekuwa lulu?Padre slaa utauficha wapi uso wako kwa unafiki wa kusema hamtampokea Edubakar?
 
Juzi alisemwa na viongozi wa chadema,wanachadema ni fisadi,mwizi nk.leo amekuwa lulu?Padre slaa utauficha wapi uso wako kwa unafiki wa kusema hamtampokea Edubakar?
 
Mm naunga mkono lowassa kuja chadema ila kwanza hukohuko aliko ccm aweke wazi mambo yote ya ufisadi wa richmond na ahakikishe walio husuka na ufisadi ule wanafikishwa mahakamani,akiweza hivyo atakuwa hana sababu kwann asije chadema.
 
Unaongea kwa nguvu ya nini au ni Power ipo kichwani??
 

Umeshaongea na mwanaCCM hata mmoja?Naomba nikujibu kwa kukuuliza maswali?

Hivi wajua wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM baadhi yao walikuwa wamo kwenye payroll ya Lowassa?Hivi unadhani fujo yote ilikuwa ya nini mpaka kuwa na uhakika wa kupita kwenye uteuzi?

Je unadhani kati ga hao wawili Maembe na huyo Lohassa,kuna hata mmoja atakayetoka kifua mbele kusema hajawahonga wajumbe?

Hivi unadhani siri ya kuhonga si siri?Hivi wajua kwamba kwa sasa humo ndani bila kuwa na uwezo sahau uongozi?

Rafiki Bora TAIFA KULIKO LOWASSA.Mimi na Lowassa zote twaweza kufa pamoja na vyama vyetu lakini si Taifa letu.

Ninajua mahali utajiri wa Lohassa ulipoanzia,enzi za JKN wakati wa Njaa ya Lushoto akiwa kwenye kitengo cha maafa ofisi ya Waziri Mkuu.

Watanzania wakifa njaa kuna mpumbavu mmoja anajineemesha leo tunampigia makofi eti atatubu.Akatubu kwa aliyemuumba.

Nitakuwa supporter wa Dr.Slaa kwa kumkataa Lowassa kujoin CDM.Kama wanachama wa kawaida tunaokifanya chama kijulikane nasema BIG NO KWA LOWASSA.Anayetaka amtengenezee Chama.Kingine aingie.Siyo CDM,tumepiga kampeni sana kuonyesha weledi wa CDM,leo tunawek nyuso zetu wapi?

Atunajiteteaje kumkubali Mwizi wa mali za umma?Aliye kwapua chakula cha watanzania waliokuwa wanahitaji.Njaa ikiwa inawaua watanzania kuna mpuuzi mmoja anajineemesha na njaa ya maskini.

Yaani sijui tu.Lakini bado ni Bora nibaki Bila Chama lakini si kumpokea Lowassa.Leo semeni wanachama wote wasiomsupport Mwenyekiti kwa kumkaribisha Lowass warudishe kadi hakika nitakuwa wa kwanza.
 

Hizo herufi mbili za mwanzo wa ID yako zimekosa neno s mwisho
 
Naona maccm kwa kuogopa nguvu ya chadema mnaanza kupiga ramli.
 
Daaa BAVICHA wamesalimu amri kwa fisadi papa imekuja thread ya kujitoa Lowassa wameehuka wanatukana matusi mpaka break zimekatika teh teh teh njaa mbaya!
 
Itakuwa ni unafki dhahiri..huyuhuyu fisadi namba 1 bora nipgie kura pombe maguful
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…