Ryaro wa Ryaro
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 2,659
- 1,430
Kumbe ukawa naamini hawana wagombea hadi kuwa kuwania mabaki
Unafiki ni dhambi na mshahara wa zambi ni mauti
mimi binafsi najiuliza maswali haya
1, slaa kwanini alimchafua lowasa na leo hii anayarudia matapishi yake?
2, je leo hii utatwambia nini sisi watanzania na unafiki wako wa wazi kiasi hiki?
3, unafiki ni dhambi na hii dambi slaa utaifutaje machoni mwa watanzania?
4, kumbe mkisemacho mdomoni sio kilichopo moyoni mwenu?
5, je tukiwaita wasakatonge tutakuwa tunawakosea?
6, je tukiwaita wanafiki tutakuwa tunawakosea?