Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

ndo uzuri wa chadema,wana msimamo halafu ambaye angekuwa rais anapigana tu apate uanachama
 
Tunamhitaji sana, kura za wafuasi wake, kura za chadema, Cuf, Nccr, zitatuvusha...kwa sasa lengo kubwa ni kuitoa CCM madarakani....hayo mengine baadae....
 

kamwambie slaa akawaombe watanzania msamaa kwa unafiki wake wakutudanganya na siasa za maji taka ndo uje hapa kutueleza haya .

 

kwanza nikupongeze kwa huo msimamo ila na mimi naomba unidhibitishie kwa ushahidi dhahiri kwenye red apo kuonyesha huyu bwn ametoa pesa kuteuliwa na kwamba asingetoa angeteuliwa ili na mimi nikupe majibu sahihi kwa maswali yako.pili apo kwenye swala la kurudisha mikopo jibu lake litatokana na ushahidi utakaotoa. naomba nikushauri tu ukiwa na msimamo fulani inapendeza zaidi uwe na misingi ya unachokisimamia badala ya kuangalia maslahi na hisia zako peke ake nadhani itakusaidia unapofanya maamuzi yanakayotokana na misimamo yako
 
Hii habari haipo confirmed nashangaa sana w wanaokurupuka na kuandika uongo mtakatifu l ulimsikia Mbowe akimkaribisha EL CDM?????

No research no right to talk
 
Pole sana slaa kwa kura matapishi yako ya mwebeyanga najua haukupenda lakini ndo madhara ya kuwa kwenye saccoss ya wachumia tumbo,
 
Makosa yaliyofanywa na chadema 2010 ya kuzoazoa majeruhi wa ccm ndo yanarudiwa mwaka huu,viongozi wa juu wa chadema waliwahi kutamka kwamba hawatachukua mtu aliyetemwa ccm lkn leo tunona kiongozi wa juu kabisa wa chama akimkaribisha mtu waliyekuwa wanamuita mwizi,fisadi,mla rushwa. Leo ukiwa uko ccm ni mchafu kesho ukiingia chadema umekuwa msafi usiye na doa. Hapo chadema mmedhihirisha kwamba ni kwa namna gani hamko serious mnawachezea akili wafuasi wenu wasiokuwa na kumbukumbu na ht kama wanazo hawawezi kuhoji wasijekuitwa wasaliti
 
Mbona Lowassa tuuuu, sijasikia labda mzee wa bunda S.Wassira aka Tyson akikaribishwa, maana hata yeye anautaka uraisi bhana.
Isije kuwa ni ule msemo ninaoutamka mara kadhaa Urais unatakiwa kaskazini kwa udi na uvumba, uwe msafi hama mchafu so hali hii yaweza kuwa kigezo hapa!!
Mwenyekiti wa CHADEMA taifa mh. Freemam Mbowe amemkaribisha Lowassa kujiunga na CHADEMA hakibagui mtu ili mradi tu afuate kanuni na taratibu za chama.

Source: Tanzania Daima, Mwananchi
 
OK, let's see who will lose in this, CHADEMA will regret their decision, if CHADEMA loose the presidency with Lowassa on the ticket then it will definitely go to the political wilderness for life.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…