William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,792
- 2,421
Wewe mtu wa CCM unahangaika sana.Kama chama kinamfia si unatakiwa ufurahi?
Wewe mtu wa CCM unahangaika sana.Kama chama kinamfia si unatakiwa ufurahi?
hahahaha, hehehe jf bhanaa!!!!nichagulie matusi ya kunitukana ila tafadhari usiniite Mi CCM tena
hahahaha, hehehe jf bhanaa!!!!
yaani kuitwa CCM ni zaidi ya tusi????
Dhambi imewarudia kazi kweli, kweli
kasi ya kusaka uwenyekiti wa terms 4!
Kama Zitto Kidume,ajiunge CCM halafu atangaze kugombea UENYEKITI wa CCM Taifa muda utakapowadia.
Wewe mtu wa CCM unahangaika sana.Kama chama kinamfia si unatakiwa ufurahi?
CCM sio mchezo, ile ni mwanzo mwisho, nilikuwa naanza kuwaona wale wanawezad kumbe, ni waigizaji tu, hela tu ndio chanzo, ulaji period tusidanganyane, ila basi Zitto amefanya mengi mbona hawampi nafasi, yaani wawe tu wa kaskazini haiwezekani, kwakweli CCM ndio chama tawala, wengine ni waigizaji, wachanga
Nimefanya utafiti juu ya JAMII FORUM; Hali ya Siasa Nchini na Ms Mstakabli wa Tanzania: Majibu ya Utafiti wangu ni Kama ifuatavyo:-
Hali ikiendelea hivi ndani ya jukwaa bila Mods kuchukua hatua, halitakwepa lawama ya kuwa chanzo cha kuivuruga nchi yetu.(Jukwaa limekuwa kilinge cha watu kutumia hoja dhaifu za udini, ukabila na ukanda kwa maslahi yasiyo na afya kwa nchi)
Jukwaa limekuwa ni source ya udaku wa siasa za Tanzania tofuati na miaka kadhaa nyuma ambapo Jukwaa lilikuwa ni sehemu ya kujadili matatizo ya nchi yetu (Elimu, nishati, miundombinu nk)..
Hali ikiendelea hivi, basi JAMII FORUM haitakuwa na muda mrefu na itapoteza sifa yake iliyojijengea...
Ushauri... Moderators lazima mbadilike, role yenu kubwa iwe ni ku-control flow ya topics.. Utakuta kuna topics karibu 30 zinazungumzia kitu kimoja, cha kufanya ni kuziunganisha ziwe kwenye folder moja.... (Epukeni upendeleo)
Kama Zitto Kidume,ajiunge CCM halafu atangaze kugombea UENYEKITI wa CCM Taifa muda utakapowadia.
Wewe mtu wa CCM unahangaika sana.Kama chama kinamfia si unatakiwa ufurahi?