Mbowe akiacha Uwenyekiti CHADEMA "inakufa''

Ndugu zangu,

Tuseme tu ukweli hakuna mfuasi yeyote wa Chadema mwenye akili hata asilimia moja ya alionayo Mbowe.

Mbowe hutoa hela zake mfukoni ili kukiendesha chama, yaani ni mwenye upendo wa hali ya juu.

Nimewaangalia kwa makini wafuasi wote wa chadema hawana uchungu na chadema kama Mbowe. Mara kadhaa Mbowe ameicha familia yake analala ofisini kuhakikisha Chadema insonga mbele.

Mshahara na marupurupu ya Mbowe wote unaingia kwenye mfuko wa kuendesha Chama kwa kifupi jamaa anajitolea kila senti yake kuhakikisha chama kinaendelea.

Baada ya chadema kukosa watu wa kugombea uenyekiti Mbowe akajitolea tena na hapa ikabidi ukomo wa uenyekiti uondolewe ili aendelee kujitolea kazi ambayo wengi hawawezi na wamemuachia mzigo mzito.

Mbowe ndiye mwenye ''connections' na CCM na makada wake kwani kipindi cha uchaguzi hukodisha wagombea ili kupaisha ruzuku ya chama, ni mwenye maono hususani kuendesha chama kwa mfumo wa kampuni.

Hayo ni machache unaweza kuongeza mengine; kwa hali ilivyo hakuna mwanachadema hata mmoja anayewezq kufanya hata jambo moja nililoorodhesha hapo juu, nasema hakuna mwanachadema hata mmoja mwenye kuipenda Chadema kama Mbowe, zaidi wafuasi wote wa Chadema ni wapitaji ila Mbowe tu ndiye wakudumu asiye na tamaa ya kwenda popote.

Nimeongea kwa sauti kubwa ili wote msikie, natumaini mmenielewa, mwenye kupinga haya ajenge hoja na si kumshambulia mleta hoja.
Kamwe Mweshimiwa Mbowe usiache uenyekiti hatutaki Chadema ipotee kama NCCR na CUF.....Umewashika pabaya sana Lumumba mpaka wanaweweseka.
 
Ni kweli kamanda bila Mbowe chadema inakufa kwani hakuna mwenye hela kuendesha shughuli za chama
 
Ndugu zangu,

Tuseme tu ukweli hakuna mfuasi yeyote wa Chadema mwenye akili hata asilimia moja ya alionayo Mbowe.

Mbowe hutoa hela zake mfukoni ili kukiendesha chama, yaani ni mwenye upendo wa hali ya juu.

Nimewaangalia kwa makini wafuasi wote wa chadema hawana uchungu na chadema kama Mbowe. Mara kadhaa Mbowe ameicha familia yake analala ofisini kuhakikisha Chadema insonga mbele.

Mshahara na marupurupu ya Mbowe wote unaingia kwenye mfuko wa kuendesha Chama kwa kifupi jamaa anajitolea kila senti yake kuhakikisha chama kinaendelea.

Baada ya chadema kukosa watu wa kugombea uenyekiti Mbowe akajitolea tena na hapa ikabidi ukomo wa uenyekiti uondolewe ili aendelee kujitolea kazi ambayo wengi hawawezi na wamemuachia mzigo mzito.

Mbowe ndiye mwenye ''connections' na CCM na makada wake kwani kipindi cha uchaguzi hukodisha wagombea ili kupaisha ruzuku ya chama, ni mwenye maono hususani kuendesha chama kwa mfumo wa kampuni.

Hayo ni machache unaweza kuongeza mengine; kwa hali ilivyo hakuna mwanachadema hata mmoja anayewezq kufanya hata jambo moja nililoorodhesha hapo juu, nasema hakuna mwanachadema hata mmoja mwenye kuipenda Chadema kama Mbowe, zaidi wafuasi wote wa Chadema ni wapitaji ila Mbowe tu ndiye wakudumu asiye na tamaa ya kwenda popote.

Nimeongea kwa sauti kubwa ili wote msikie, natumaini mmenielewa, mwenye kupinga haya ajenge hoja na si kumshambulia mleta hoja.
Hii ndio kasumba ya Afrika kwamba kuna kakikundi ka watu huwa kanaamini kuna kiongozi inabidi aongoze Maisha yake yote kwasababu niyeye tu anaefaa.
Kwani kujitolea kwa Chama nilazima pia uwe kiongozi wa Chama?
Wapo watu wamejitolea mpaka Maisha yao hatusemi Neno.
Unaweza kuwa mfadhili wa Chama na Kujitolea kwa hali na mali bila kuwa hata mjumbe wala kiongozi hata wa tawi tu la Chama.
 
Ningependa Mbowe awe mwenyekiti hadi 2020 baada ya uchaguzi ili apige mahesabu kamili ya kabla ya kumpokea Lowassa, wakati wakiwa na Lowassa na baada ya kuondoka Lowasa, tupate jibu la swali Je Lowasa ni asset au liability kwa CDM.
Idadi ya kura za urais, Idadi ya wabunge na idadi ya madiwani 2020 itatoa picha ya Kazi na uwezo wa Mbowe.
Lasivyo itakuja kuonekana uongozi Mpya baada ya Mbowe kuondoka ndio uliharibu kumbe mambo yalikorogeka 2015 baada ya kubadili gia angani.
Hata uongee nini ili kuwatia hasira watu wa Chadema hutafanikiwa.
Mbowe is there to stay. Mshashindwa kila njia sasa mnakuja na kebehi zenu, hamtafanikiwa, Mbowe ni chuma na Chadema ni chama makini.
Nyie endeleeni na kituko chenu, anatukana wanawake hadharani mnashangilia, anaongea pumba ni vigelegele, anaongopa hakuna wa kubisha kwa vile mmeokotwa jalalani hamfurukuti. Bado wewe siku kwenye hiyo mikutano ya hadhara akuite ujibu jambo asifurahishwe na jibu usikie akikuambia "toa chupi lako chafu hapa, alah!" Halafu utashangaa hata mazombie ya ccm yakishangilia!
Kweli nyie hamna tofauti na ming'ombe!
 
Mbowe=Chadema sababu yeye ndiye mmiliki na anauchungu kuliko yeyote.
Chama ni cha mbowe kama taasisi ya kibiashara ya mtu binafsi, akitoka atakosa maslahi binafsi, kama source ya pesa ya chama ni mbowe na si ruzuku kutoka serikalini inatia wasiwasi sana.
 
Ni uwekezaji
 
Baada ya chadema kukosa watu wa kugombea uenyekiti Mbowe akajitolea tena na hapa ikabidi ukomo wa uenyekiti uondolewe ili aendelee kujitolea kazi ambayo wengi hawawezi na wamemuachia mzigo mzito.
kwa sisi wafugaji kuna kipindii mifugo yetu inakusumbua sana sana, ukishaona hizo dalili uyjue anataka kupandwa abebe mimba, kiswahili cha mtaani wanasema yuko kwenye HEAT.... ila sijasema kuwa uko kwenye HEAT.
 
Ndugu zangu,

Tuseme tu ukweli hakuna mfuasi yeyote wa Chadema mwenye akili hata asilimia moja ya alionayo Mbowe.

Mbowe hutoa hela zake mfukoni ili kukiendesha chama, yaani ni mwenye upendo wa hali ya juu.

Nimewaangalia kwa makini wafuasi wote wa chadema hawana uchungu na chadema kama Mbowe. Mara kadhaa Mbowe ameicha familia yake analala ofisini kuhakikisha Chadema insonga mbele.

Mshahara na marupurupu ya Mbowe wote unaingia kwenye mfuko wa kuendesha Chama kwa kifupi jamaa anajitolea kila senti yake kuhakikisha chama kinaendelea.

Baada ya chadema kukosa watu wa kugombea uenyekiti Mbowe akajitolea tena na hapa ikabidi ukomo wa uenyekiti uondolewe ili aendelee kujitolea kazi ambayo wengi hawawezi na wamemuachia mzigo mzito.

Mbowe ndiye mwenye ''connections' na CCM na makada wake kwani kipindi cha uchaguzi hukodisha wagombea ili kupaisha ruzuku ya chama, ni mwenye maono hususani kuendesha chama kwa mfumo wa kampuni.

Hayo ni machache unaweza kuongeza mengine; kwa hali ilivyo hakuna mwanachadema hata mmoja anayewezq kufanya hata jambo moja nililoorodhesha hapo juu, nasema hakuna mwanachadema hata mmoja mwenye kuipenda Chadema kama Mbowe, zaidi wafuasi wote wa Chadema ni wapitaji ila Mbowe tu ndiye wakudumu asiye na tamaa ya kwenda popote.

Nimeongea kwa sauti kubwa ili wote msikie, natumaini mmenielewa, mwenye kupinga haya ajenge hoja na si kumshambulia mleta hoja.

MBOWE KAIANGAMIZA CHADEMA.

Chini ya Uongozi wa Mbowe Chadema imepoteza mwelekeo wa ki-taasisi na kuchukua sura na mfumo tegemezi kiasi kwamba amefanikiwa kuwaaminisha watu kama wewe (na wengineo wengi) kwamba mstakabali wa Chadema unategemea ufadhili wa Mbowe! Kiuhalisia Chadema ni kama mali binafsi ya Mbowe.

Akiendelea kuwa kiongozi mkuu wa Chadema ni suala la muda tu chama hicho hakitakuwa tofauti na NCCR Mageuzi au TLP.
 
Mbowe amuchie mwingine chama??? Ni sawa na kuuza nyumba yako halafu ukarudi kupanga tena nyumba hyo hyo...Mbowe pale ndo baba mwenye nyumba hang'oki ng'ooo
 
kwa sisi wafugaji kuna kipindii mifugo yetu inakusumbua sana sana, ukishaona hizo dalili uyjue anataka kupandwa abebe mimba, kiswahili cha mtaani wanasema yuko kwenye HEAT.... ila sijasema kuwa uko kwenye HEAT.
Hakuna mtu mwenye akili kama Mbowe chadema
 
Back
Top Bottom