yomboo
JF-Expert Member
- May 9, 2015
- 6,225
- 4,906
Cecilia ndio mama yako?Mbowe akitoboa safari hii ni nitaamini uchawi upo
Cecilia amemshika pabaya
Cecilia ndio mama yako?Mbowe akitoboa safari hii ni nitaamini uchawi upo
Cecilia amemshika pabaya
Kamanda jenga hoja acha matusi.Cecilia ndio mama yako?
Aliacha uenyekiti Nyerere na ccm ipo mpaka leo. Yaani kweli hapo chadema hakuna mtu mwenye sifa ya kiwa mwenyekiti? Sasa 2015 wangechukua nchi ingekuwaje?Ndugu zangu,
Tuseme tu ukweli hakuna mfuasi yeyote wa Chadema mwenye akili hata asilimia moja ya alionayo Mbowe.
Mbowe hutoa hela zake mfukoni ili kukiendesha chama, yaani ni mwenye upendo wa hali ya juu.
Nimewaangalia kwa makini wafuasi wote wa chadema hawana uchungu na chadema kama Mbowe. Mara kadhaa Mbowe ameicha familia yake analala ofisini kuhakikisha Chadema insonga mbele.
Mshahara na marupurupu ya Mbowe wote unaingia kwenye mfuko wa kuendesha Chama kwa kifupi jamaa anajitolea kila senti yake kuhakikisha chama kinaendelea.
Baada ya chadema kukosa watu wa kugombea uenyekiti Mbowe akajitolea tena na hapa ikabidi ukomo wa uenyekiti uondolewe ili aendelee kujitolea kazi ambayo wengi hawawezi na wamemuachia mzigo mzito.
Mbowe ndiye mwenye ''connections' na CCM na makada wake kwani kipindi cha uchaguzi hukodisha wagombea ili kupaisha ruzuku ya chama, ni mwenye maono hususani kuendesha chama kwa mfumo wa kampuni.
Hayo ni machache unaweza kuongeza mengine; kwa hali ilivyo hakuna mwanachadema hata mmoja anayewezq kufanya hata jambo moja nililoorodhesha hapo juu, nasema hakuna mwanachadema hata mmoja mwenye kuipenda Chadema kama Mbowe, zaidi wafuasi wote wa Chadema ni wapitaji ila Mbowe tu ndiye wakudumu asiye na tamaa ya kwenda popote.
Nimeongea kwa sauti kubwa ili wote msikie, natumaini mmenielewa, mwenye kupinga haya ajenge hoja na si kumshambulia mleta hoja.
hakuna kwa sasa anayeweza kujitolea kama Mbowe.Aliacha uenyekiti Nyerere na ccm ipo mpaka leo. Yaani kweli hapo chadema hakuna mtu mwenye sifa ya kiwa mwenyekiti? Sasa 2015 wangechukua nchi ingekuwaje?
nini maoni yako mkuu?Ninauhakika 90% ya mnaochangia mada hii, muwe wapingaji au waungaji, sio wanachama wa chadema, bali ni wapiga debe tuu.
Kwa hiyo kama ni chama cha wavivu wangepewa madaraka ya kushika nchi ingekuwaje? Mbowe angekuwa waziri mkuu, waziri wa wizara zote? katibu mkuu kiongozi au?hakuna kwa sasa anayeweza kujitolea kama Mbowe.
Ndivyo tunavyoambiwa ''hakuna kama Mbowe'' hadi wafuasi wake wamemchukulia fomu na pia walikubalia kuondoa ukomo wa uenyekiti wake.Kwa hiyo kama ni chama cha wavivu wangepewa madaraka ya kushika nchi ingekuwaje? mbowe angekuwa waziri mkuu, waziri wa wizara zote? katibu mkuu kiongozi au?
Ndivyo Maisha yalivyo. Mfano clouds Ruge kaondoka na maisha yanaendelea, ni Dhana ya kijinga kabisa kusema bila Fulani Maisha hayaendelei but kunakukweri kabisa mtu akiondoka kunamawili yanatokea. Mabadiliko Chanya au hasi.Kwani Akifa inakuwaji(Hatuombei hicho) muwe na mitazamo chanya ya mabadiliko
Chama kimebaki kwenye makaratasi!Hameni kwani wangapi wamehama na chama kipo
Uwongo upi?wanachadema kama wanafanya uchaguzi lazima wakubaliane na hali halisiAcha ulongo wengi wa wana CHADEMA wanaombea HICHO!
Please, ignore. This account is hacked!!!Mbowe Aachie chama inatosha asiwafanye wanachama wote chadema ni wapumbavu na tusije kuanza kulaumiana Lissu akitimkia ACT.
Mbowe=Chadema sababu yeye ndiye mmiliki na anauchungu kuliko yeyote.Kwa hyo hakuna chadema bila mbowe? Huu ni udhalilishaji
Mbowe kashushwa toka mawinguni kuwa Mwenyekiti wa Chadema.Kwa upande wangu(si kada wa chama chochote),mh Mbowe ni kiongozi mzuri kwa upande wa vyama vya upinzani,nahisi anafaa sana kuendelea kuingozi CHADEMA kama mwenyekiti kitaifa,wengine ni wazuri pia lakini ni bora wakakomaa kwanza ili badae waongoze chama, kwani madaraka ya uenyekiti taifa ni makubwa sana na yanaitaji ueledi na ukomavu wa hekima wa hali ya juu.Asanteni
Ongeza sautiPlease, ignore. This account is hacked!!!
Mnataka msaada gani?Misemo ya mtu aliyefukuzwa kazi haiwez kutusaidia,