Mbowe akiacha Uwenyekiti CHADEMA "inakufa''

Futa kauli "chadema itakufa" chadema haiwezi kufa mkuu kumbuka kuna nkiumbe anaitwa jibril mtoa roho, je akichukua roho yake itakuaje? CHADEMA itakufa?
 
Itabidi umtafute mbowe akupe haki yako ya msingi Roho yako itulie!

Ova
 
Hata uongee nini ili kuwatia hasira watu wa Chadema hutafanikiwa.

Mbowe is there to stay. Mshashindwa kila njia sasa mnakuja na kebehi zenu, hamtafanikiwa, Mbowe ni chuma na Chadema ni chama makini.

Nyie endeleeni na kituko chenu, anatukana wanawake hadharani mnashangilia, anaongea pumba ni vigelegele, anaongopa hakuna wa kubisha kwa vile mmeokotwa jalalani hamfurukuti. Bado wewe siku kwenye hiyo mikutano ya hadhara akuite ujibu jambo asifurahishwe na jibu usikie akikuambia "toa chupi lako chafu hapa, alah!" Halafu utashangaa hata mazombie ya ccm yakishangilia!
Kweli nyie hamna tofauti na ming'ombe!
 
Upinzani wa Tanzania ni ule upinzani ndani ya CCM sio hivi vyama ambavyo ni vya ukoo. Ukitaka kufahamu ni kwa nini Mbowe bado mwenyekiti, yeye hutumiwa tu kutokana na hulka yake. Rejea wakati wa EL, Dr Slaa, who is next …. ……. the movie has not yet started. Hivi sasa amepata mahali pa kuchotea pesa lakini baada ya 2021 atakuwa na wakati mgumu sana kwa sababu kura za urais kwa Chadema sitapungua mno hivyo ruzuku itapungua sana chijui ata-survive vipi?
 
Wakati utajibu
 
Hata uongee nini ili kuwatia hasira watu wa Chadema hutafanikiwa.
Mbowe is there to stay. Mshashindwa kila njia sasa mnakuja na kebehi zenu, hamtafanikiwa, Mbowe ni chuma na Chadema ni chama makini.
Nyie endeleeni na kituko chenu, anatukana wanawake hadharani mnashangilia, anaongea pumba ni vigelegele, anaongopa hakuna wa kubisha kwa vile mmeokotwa jalalani hamfurukuti. Bado wewe siku kwenye hiyo mikutano ya hadhara akuite ujibu jambo asifurahishwe na jibu usikie akikuambia "toa chupi lako chafu hapa, alah!" Halafu utashangaa hata mazombie ya ccm yakishangilia!
Kweli nyie hamna tofauti na ming'ombe!
Jenga hoja acha kuweweseka.
 
Kwani ina maana Mbowe akifa na Chadema inakufa? Watu wanaopenda chama na wenye uwezo wa kuongoza na kijitolea ni wengi
 
we nijibu tu nataka kukusaidia uondokane na msongo wa mawazo
 
Mkuu Kaka mkubwa Wakudadavua, mimi kama kawaida yangu, kila bandiko lako mimi huwa lazima niunge mkono asilimia 100%.
P
 
Cecilia ni Pandikizi la CCM Chadema msikubali

Ni kweli Cecil ni pandikizi la ccm, lakini huyo Cecil ni zaidi ya kina Lowassa na Sumaye? Au ni mambo ya hamli nguruwe lakini mchuzi wake mnakunywa? Cdm imejichanganya yenyewe kuanza kupokea wanaccm na kuwapa nafasi kubwa za madaraka kisha wanarudi ccm.
 
Back
Top Bottom